Mkulungwa01
JF-Expert Member
- Jul 14, 2021
- 3,977
- 5,339
Sentensi ya mwisho baada ya neno 'dude' ndiyo jibu sahihi na limemaliza kila kitu, mjadala uishie hapa.Kwahiyo unafikiri kwamba hao wazungu wanatumia uwezo wa akili zao kufikiri? Mbona sisi Waafrika tumeshindwa? C'mon dude hao watu wana siri zao.
Unaambiwa hata teknolojia ya kupaa kwa ndege ni siri. Unaweza tengeneza ndege yako vizuri tu na isipae. Kuna vingi nyuma ya teknolojia.! Ilhali wengi wanajaribu kufanya spinning ili kuwapoteza watu maboya.Kila kitu kina siri na ukijua siri lazima uwe msiri, dunia inaendeshwa na mfumo na sio kwamba watu weusi wameshindwa hapana, mfumo uliopo hautambui au kuwapa nafasi watu weusi. Rejelea watu wa jamii ya misri ya kale waliyoyafanya katika nyakati hizo.
Watu hawataki kuamini hili, wakati hata vitabu vya zamani zaidi kama biblia vimeweka wazibinadamu hana uwezo huo unao ufikiria wewe. kuna msaada wa creations nyingine ndio unaleta haya mapinduzi ya technology
Sasa kwa nini wasitengeneze? Kuna tuvijana tubishi mnoSiri gani. Umeshindwa wewe.. kuna watu afrika wanaweza tengeneza ndege, mashine tofauti na n.k sema afrika uchawi umetawala
Kama vipi?Sijaona cha ajabu hapo kama uko na akili sawa, utanielewa... hizo teknolojia iligunduliwa na nani? hapa sawa na kusema Computer iko na uwezo kuzidi aliyeitengeneza nitakucheka sana maana mwanadamu hata robo ya uwezo wake bado hajautumia . Watu walifanya vitu vikubwa zaidi ya hivi wandugu.
Hakuna mtu atakayekuonyesha nja iliyonyookaUnaambiwa hata teknolojia ya kupaa kwa ndege ni siri. Unaweza tengeneza ndege yako vizuri tu na isipae. Kuna vingi nyuma ya teknolojia.! Ilhali wengi wanajaribu kufanya spinning ili kuwapoteza watu maboya.
Ewaaaaa... ulaji wa ugali/sembe uliokithiri. Na haya ndiyo long run effectsMimi Nina wasiwasi pia kwenye Lishe [emoji38]
Haujagusa hata sehemu hiyoKwani hatutumii uwezo wote saivi?
Bado kuna kitu nakifanyia kazi kulingana na career yangu ChatGPT akifanikiwa basi naamia Burundi π!.Niliiambia ChatGPT initengezee program ndogo ya kutafuta namba witiri na shufwa ikatoa jibu kwa muda wa sekunde! Ili-code program kwa kasi ya ajabu.
Kwanini?Haujagusa hata sehemu hiyo
Bogus brain Baki na ulichokaririshwa battle ya maneno sihataji ushajipambanua kua upo empty basi, piga kimya sio kujitia ujuaji mwingiNataka hoja zako hapa!! sio kelele sijui unaelewa kweli kiswahili mbona naleta hoja hata nenda kagoogle .
kabane Cd hamna unachojua umeshindwa kutoa points bado mdogo sana kazania kusoma uelewe sio kukariri hata kituπππBogus brain Baki na ulichokaririshwa battle ya maneno sihataji ushajipambanua kua upo empty basi, piga kimya sio kujitia ujuaji mwingi
Mjinga mpe Cheo haya wewe unajua kila kitu furahi wewe sasa,kabane Cd hamna unachojua umeshindwa kutoa points bado mdogo sana kazania kusoma uelewe sio kukariri hata kituπππ
Nature ya kazi ya HR sio close supervision labda unaaanisha Administrative Officers.Nop tunaaangalia future ya wafanyakazi.
Mfano HR Wanaofanya close supervision ya wafanyakazi (binadamu) chini ya robot za Al ni kitengo cha IT pekee kitakuwa na uwezo wa kucontrol vitengo vyote ambavyo operators ni robots.
kwa maana hyo hapo HR labda wajifunze mambo ya IT ndo watabaki kazini na hao wafanyakazi kazi zao zimechukuliwa na robots
Nimekupa uwanja hapa useme makosa yangu yapo wapi ? Unatakiwa kama kijana unajiamini useme hivi hivi watu wajue sasa wewe unakaa kimya.Mjinga mpe Cheo haya wewe unajua kila kitu furahi wewe sasa,
Dahh, hii AI ni noma asee, nmeskiza hyo track Jay Z mwenyewe Og anasubiriKuna wimbo hapa una sauti ya Jay Z ila umetengenezwa na AI
Twende kwa hoja sasa kama unajua!Bogus brain Baki na ulichokaririshwa battle ya maneno sihataji ushajipambanua kua upo empty basi, piga kimya sio kujitia ujuaji mwingi
Mimi Nina wasiwasi pia kwenye Lishe π
Hvo vifaa vimeundwa na watu wenye akiliHakuna uchawi wala ushirikina kwenye issues za Computer hata wewe ukielekezwa na ukizingatia unafanya, I was like you siku nabuni AI ya Sauti niliondokana na hio mentality ya kijinga, hata wewe unaweza kikubwa uwe na vifaa km hauna vifaa sahau kufanya makubwa na vifaa sio gharama ndogo
Hata wewe unaweza ukiwa na vifaa na Ukapewa elimu kidogoHvo vifaa vimeundwa na watu wenye akili
Kwahyo inabidi uwaheshimu hao waliounda vifaa maana sio kazi ndogo, Kingine ni kuwa hapo unakuwa unapangilia sio kuvumbua. Kuna tofauti kubwa Kati ya uvumbuzi na uchomekajiHata wewe unaweza ukiwa na vifaa na Ukapewa elimu kidogo