Tulipotezeana kwa muda kisa tu anahisi mimi nina mtu mwingine

"lakini baadae nikajua anatoka na mtu mwingine"

Unaonekana hata hujalala, asubuhi subuh tu nyuzi za videm. Kwa kifupi kama unataka kuendelea nae jua kabisa wewe ni bogaz. Tafuta namba za madaktar wa mirembe mapema.
 
Hahaha mkuu nimelala vzr tu ila mimi cpendag kuzungushwa kama pia thus why nimeomba ushauri kwenu wana MMU
 
Sawaa mkuu ngoja nikae kimya maana inaonyesha ni kweli sio bahati yangu kwa sababu muda wote alitaka nimjulia hali lakn yeye kunitumia text ilikuwa mara chache sanaa
Huyo ndio jua linachomoza 21yrs ubabaifu lazima uwe mwingi na kama hajatulia basi awezi tulia kwa mmoja hata uyo alienae ni suala la muda
 
Duu utoto Raha sana Yani mnapendana sana wakati muda huohuo unagundua anatoka na mtu mwingine?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hampendani, wewe ndiyo unampenda na unamng'ang'ania.

Hamtafika popote, it takes two to tangle.

The earlier you accept the truth, the earlier you'll move on.

Acha kujishobokesha kwa wasiokupenda.
Sawa mkuu nashukuru kwa ushauri mzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…