Kunguru wa Unguja
JF-Expert Member
- Aug 18, 2021
- 1,762
- 1,823
- Thread starter
-
- #61
Mzee hili ni KOSA KUBWA SANA ambalo mwanamume hautakiwi kulifanya, avoid her to see you as an insecure guy in need of affection
Usiwashobokee hawa viumbe hasa ukishajua hajakuelewa
Mfanye yeye ndo akutafute na akijileta chakata mbususu siku au wiki kadhaa ukishaikinai then
ntumie namba yake nimuombe arudi kwako mkuuKheri ya Eid pili wakuu na jumapili njema wenzangu na mimi, moja kwa moja kwenye mada wakuu mimi nilikuwa kwenye mahusiano na mdada mmoja almost ana miaka 21 na mahusiano yetu yaliendelea vizuri kwa muda wa miezi 3 lakini 3 past weeks huyo mwenzangu alikuwa analalamika sanaa kwamba mimi niko na mtu mwingine lakini sio kweli.
So nilimbembeleza na kumweleza ukweli lakini bado hanielewi anadai haitaki kugombana na huyo mtu ambaye yeye anahisi mimi natoka naye.
Lakini baadae nikaona huyu anataka kunipanda kichwani mimi nikaamua kukaa kimya kwa muda ili kuclear air lakini baadae nikajua anatoka na mtu mwingine but sikumchana kwamba anatoka na mtu flani so nikaanza kumcheki kwa ujumbe wa maandishi nikaona anarespond na yeye akaanza kunishirikisha mambo yake lakini mwanzoni alikuwa anapenda kuniita my lakini sasa hivu ameacha kabisa.
So wakuu wa MMU naombeni ushauri wenu jinsi ya kumrudisha kwenye line b'se tunapendana sanaa lakini hataki kunielewa kwamba mimi sina mtu mwingine zaidi yake.
black puretatizo wewe ni kunguru sasa sijui ni wa rangi gani?,tuanzie hapo
Hahaha akili mkuu ...unataka ule tunda kimasihara?ntumie namba yake nimuombe arudi kwako mkuu
HAPO NDIPO SHIDA ILIPO BORA UNGEKUWA NA BAKAblack pure
Hahah kwann mkuu ?HAPO NDIPO SHIDA ILIPO BORA UNGEKUWA NA BAKA
Yeah,si wako huyoSawa sister ngoja niachane nae
Ahsnte nimeamua kumtoa moyoni dadaYeah,si wako huyo
Sawa kiongoziNi hatua za ukuaji hizi kila mtu anazipitia hakuna haja ya ushauri yatapita tu na utakua salama.
NB: Tambua tu huyo hatakua Mpenzi wako wa mwisho.
ushauri...
Achana na mapenzi, ❤️
Tafuta pesa,
Acha utoto huo sasa, mwanaume unalilia kuitwa my hem kama una mambo za kufanya fanya kwanzaKheri ya Eid pili wakuu na jumapili njema wenzangu na mimi, moja kwa moja kwenye mada wakuu mimi nilikuwa kwenye mahusiano na mdada mmoja almost ana miaka 21 na mahusiano yetu yaliendelea vizuri kwa muda wa miezi 3 lakini 3 past weeks huyo mwenzangu alikuwa analalamika sanaa kwamba mimi niko na mtu mwingine lakini sio kweli.
So nilimbembeleza na kumweleza ukweli lakini bado hanielewi anadai haitaki kugombana na huyo mtu ambaye yeye anahisi mimi natoka naye.
Lakini baadae nikaona huyu anataka kunipanda kichwani mimi nikaamua kukaa kimya kwa muda ili kuclear air lakini baadae nikajua anatoka na mtu mwingine but sikumchana kwamba anatoka na mtu flani so nikaanza kumcheki kwa ujumbe wa maandishi nikaona anarespond na yeye akaanza kunishirikisha mambo yake lakini mwanzoni alikuwa anapenda kuniita my lakini sasa hivu ameacha kabisa.
So wakuu wa MMU naombeni ushauri wenu jinsi ya kumrudisha kwenye line b'se tunapendana sanaa lakini hataki kunielewa kwamba mimi sina mtu mwingine zaidi yake.
Umchane we ni kisu,? Vunga kijana kibingwa mwache huyo karumbembe ahangaike na tamaa zake kwanzaSawaa mkuu ila mimi nataka nimchane
Pole sana kijanaKheri ya Eid pili wakuu na jumapili njema wenzangu na mimi, moja kwa moja kwenye mada wakuu mimi nilikuwa kwenye mahusiano na mdada mmoja almost ana miaka 21 na mahusiano yetu yaliendelea vizuri kwa muda wa miezi 3 lakini 3 past weeks huyo mwenzangu alikuwa analalamika sanaa kwamba mimi niko na mtu mwingine lakini sio kweli.
So nilimbembeleza na kumweleza ukweli lakini bado hanielewi anadai haitaki kugombana na huyo mtu ambaye yeye anahisi mimi natoka naye.
Lakini baadae nikaona huyu anataka kunipanda kichwani mimi nikaamua kukaa kimya kwa muda ili kuclear air lakini baadae nikajua anatoka na mtu mwingine but sikumchana kwamba anatoka na mtu flani so nikaanza kumcheki kwa ujumbe wa maandishi nikaona anarespond na yeye akaanza kunishirikisha mambo yake lakini mwanzoni alikuwa anapenda kuniita my lakini sasa hivu ameacha kabisa.
So wakuu wa MMU naombeni ushauri wenu jinsi ya kumrudisha kwenye line b'se tunapendana sanaa lakini hataki kunielewa kwamba mimi sina mtu mwingine zaidi yake.
Sawa kiongozi ntazingatia ushaur wakoUmchane we ni kisu,? Vunga kijana kibingwa mwache huyo karumbembe ahangaike na tamaa zake kwanza
26
Nashkuru sanaa mkuu kwa ushauri wako mzuriPole sana kijana
Lakini kwa scenario jinsi ilivyo huyo demu alikuwa anakutafutia sababu yakukuweka mbali ili afurahie penzi lake hilo na huyo mshikaji mwingine ,kiufupi hiyo mbinu aliyotumia huyo demu wako mademu wengi wanaitumia pindi wanapokuwa wanatongozwa na mtu mwingine au wanarudiana na ma ex wao ,,alichofanya kakupa kosa kwanza wewe then ukakubali kwa kukaa kimya na yeye akapata ahueni huko na mahusiano yake coz humsumbui tena ila mnawasiliana pale tu anapotaka yeye haitoshi hakuiti tena majina mazuri (my)[emoji1] lengo kujitoa kabsa but trust me huyo manzi akigombana na huyo mwamba wewe itakuwa rahisi kula mbususu ila ukiomba kwasasa hupati ng'00..
Kama unahitaji mahusiano serious acha huyo demu aendelee na mambo yake kama ukimshikilia niamini mimi kila siku utakuwa unalialia na mapenzi kama mtoto..
Sawa mkuuWe kajamaa bna, wewe una umri gani??
Kama mko sawa au umemzidi mwaka mmoja achana nae kakuzidi akili huyo, humuwezi. Jisubiri ukue kue labda utammudu.
naombeni ushauri wenu jinsi ya kumrudisha kwenye line b'se tunapendana sanaa.