Pre GE2025 Tulishaandika humu kwamba Tulia Ackson hana ushawishi Mbeya bila Wasanii, Ona sasa anaponza Watoto wa watu wanapigwa Mawe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tulia anakubalika Mbeya mjini kuliko inavyofikiriwa, sifa ya soko matola ni uvutaji wa bangi, ikizigatiwa kutokana na kashfa zilizopo venue organiser alipaswa kuliona hili mapema sana, pia isitoshe muziki wa sasa ni wa ushindani, diamond ana watu, harmonise ana watu, organiser alipaswa kuliona hili mapema, kwa vyovyote kwa upepo wa sasa, DIAMOND & ZUCHU WAPUMZIKE KWA WAKATI HUU KWA MUDA,wapishe upepo huu.

-Adios amigo
 
Sugu alichomekeza watu wake maana alijua kabisa kwamba show imedhaminiwa na Tulia Trust na pia hao Wasanii ni Wafuasi wa CCM
 
Misukule ta mzee Mbowe bana kutwa nzima ni siasa tu ,hivi hamna shughuli za kufanya?
 
harafu eti watu kama nyiee ndoo mpewe nchi. hii itakuwa akili au matope? unamrushiaje mtu mawe jukwaani? kama aliyoyasema jukwaani yanakukera bora uondoke nasio huo ujinga!
Kati ya hao waliorusha mawe kuna ambaye anagombea kuongoza nchi au nawewe uchawa unakufanya unaweweseka.
 
Sugu alichomekeza watu wake maana alijua kabisa kwamba show imedhaminiwa na Tulia Trust na pia hao Wasanii ni Wafuasi wa CCM
Yule kawazingua wana mbeya tu
Lazima aliwaletea dharau tu
Watu wa mbeya hawana upwani
Kwanza mbeya na miziki ya kukata mauno wapi na wapi
Wale wazee wa ngumu

Ova
 
yaaani unajichanganya balaaa sas suala la tulia na zuchu vinaingiliana vipi watu walitaka aje mke wa p didy wewe unatuletea habari za tulia yaaani mnaokoteza okoteza habari mmeishiwa hja sasahivi maandamano yamewashinda mmebaki kuduwaaaa mama anachanja mbuga
 
harafu eti watu kama nyiee ndoo mpewe nchi. hii itakuwa akili au matope? unamrushiaje mtu mawe jukwaani? kama aliyoyasema jukwaani yanakukera bora uondoke nasio huo ujinga!
HAKAFU WANASEMA WANAWEZA MAANDAMANO YA AMANI HWA? SHIT ALL OF THEM
 
Wasanii wawe makini sana kwa Mbeya unawapelekea zuchu!
bora wa hip hop kidogo watakausha.
 
Hiyo chuki ipo wazi.Na itatamalaki zaidi wakati wa uchaguzi.Natabiri watu kuuana na kujeruhiana kwa wingi kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…