Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Tulia anakubalika Mbeya mjini kuliko inavyofikiriwa, sifa ya soko matola ni uvutaji wa bangi, ikizigatiwa kutokana na kashfa zilizopo venue organiser alipaswa kuliona hili mapema sana, pia isitoshe muziki wa sasa ni wa ushindani, diamond ana watu, harmonise ana watu, organiser alipaswa kuliona hili mapema, kwa vyovyote kwa upepo wa sasa, DIAMOND & ZUCHU WAPUMZIKE KWA WAKATI HUU KWA MUDA,wapishe upepo huu.Na hili Wasanii wa Tanzania wanapaswa kulifahamu, Hii ni kwa sababu ukiambatana na asiyependwa kuwa Tayari kuvurumishiwa mawe na Wananchi.
Yaliyompata Zuchu huko Mbeya ni Ushahidi wa hoja yangu.
Kingine ni hiki, ni lini Mlimuona Tulia Ackson akifanya Mkutano wa hadhara Mbeya bila Wasanii wa Dar au ngoma za asili ?
Hawezi, na ni kwa vile anafahamu kwamba Hakubaliki.
-Adios amigo