Tulishakubaliana wanawake wa JF ni dada zetu kimasihara haiwahusu

Tulishakubaliana wanawake wa JF ni dada zetu kimasihara haiwahusu

I don’t believe in kimasihara, just interest.

Af sisi sio dada zenu
Wadogo zetu na kaka zetu sisi tunawajua
🤣
Acha basi wewe dada yaani unanisaliti leo kuwa hunijui hata mimi tulio kula sahani moja tangu utoto.....🤣🤣😅
 
Hawa wa humu mkilana, wanakufanya uwe bubu, unakua huwez Tena leta visa vyako vya mitaani.

Sasa muhuni kama Mimi , almost Kila wiki lazima nipige Mbususu tofauti 2-3 labda niwe sitaki tu.

Sasa hivo visa nitawaleteaje humu?.

Anyway Kuna Warembo wakali humu, nishajitahidi kuwatupia Ndoano zangu ila wanachomoka 🤣.

Utasikia nahukumiwa.... Wewe Carlos weeee uhuni wako wote huo nikupe? Nitakua Sina akili kabisa .

Basi nishaamua wa Humu , nitulie tu ,hawachelewi kukuumbua na kukuchamba 🤣🤣
 
Oya kuna Kimasihara nimeiweka muda Huu, nimeila Jana Jana mida ya saa Tano mpaka saa Saba.

na nmejuana nayo Jana hiyohiyo Asubuhi ya saa Nne .

anyway ni masihara ambayo ni matokeo ya Marupurupu ya kazi zetu hizi 🤣
 
Hawa wa humu mkilana, wanakufanya uwe bubu, unakua huwez Tena leta visa vyako vya mitaani.

Sasa muhuni kama Mimi , almost Kila wiki lazima nipige Mbususu tofauti 2-3 labda niwe sitaki tu.

Sasa hivo visa nitawaleteaje humu?.

Anyway Kuna Warembo wakali humu, nishajitahidi kuwatupia Ndoano zangu ila wanachoka 🤣.

Utasikia nahukumiwa.... Wewe Carlos weeee uhuni wako wote huo nikupe? Nitakua Sina akili kabisa .

Basi nishaamua wa Humu , nitulie tu ,hawachelewi kukuumbua na kukuchamba 🤣🤣
🤣🤣🤣🤣 hatari sana pale unapo mtaka Depal afu akuzingue.
 
Utafunguliwa Waraka ,Waraka wa kuchambwa , alafu unachambwa kisa mbususu

Kambususu kenyewe akifa, kanaoza, kanaliwa na funza, Kisha kanakia mbolea
Jf unadhani hawaliki wanalika, wewe tu na mkoko wako.....mkoko uchawi wa wanawake 😁😁😁🏌🏌🏌
 
Jidanganye

Uber zimejaa mjini
Mtu unahadaika na gari? Utakuwa mshamba au limbukeni?
Dada Depal usikatae kuna ukweli ndani yake
Wanawake wasio taka ndoa wanahangaika na magari. Ila wanawake wanaohangaika na nyumba ndio wanataka familia. .

Mademu wachache wanahangaika na baba mwenye nyumba na wengi wanahangaika na wenye magari. .
 
Nyumba labda uibebe kichwani mkuu utembee nayo barabarani.
Lakini gari yaani wala hutumii nguvu mkuu yaani sembuse boda boda wanakula ndiyo ije kuwa gari aseee.....😁
 
Back
Top Bottom