Tulishauri, tukatoa tahadhari na tukaonya lakini kama walivosema wahenga, sikio la kufa halisikii dawa!

Yaani unamshauri mpinzani ajitoe? Huu ushamba wa wapi?
 
Nadhani amekuwa mateka wa nguvu tusiyo Iona. He is not himself
 
Hahahaa! kama Mugabe au Paul Bia, yaani mtu mmoja tu anaamini bila yeye kuwa mwenyekiti taasisi haiwezi kusimama. Yaan anaprove right kuwa yeye ni mkubwa kuliko taasisi, vitu vya hovyo sana hivi.
Tàtizo anachaguliwa kwa kura nyingi.
 
Yaani unamshauri mpinzani ajitoe? Huu ushamba wa wapi?
Huu ushauri ni katika kumsaidia Mh. Mbowe na kama hata hilo hulioni ni wazi huu mnakasha unakuzidi kimo. Kuliko kujadiliana nawe heri nijadiliane na meza kwani sidhani kama hata unalielewa neno "kushauri",
 
Hahahaa! kama Mugabe au Paul Bia, yaani mtu mmoja tu anaamini bila yeye kuwa mwenyekiti taasisi haiwezi kusimama. Yaan anaprove right kuwa yeye ni mkubwa kuliko taasisi, vitu vya hovyo sana hivi.
Mwamba nilikua namkubali ila alipokuja na mambo za Paul Biya nimemuona hana maana tena..
 
Huu ushauri ni katika kumsaidia Mh. Mbowe na kama hata hilo hulioni ni wazi huu mnakasha unakuzidi kimo. Kuliko kujadiliana nawe heri nijadiliane na meza kwani sidhani kama hata unalielewa neno "kushauri",
Nakushauri umwambie Lissu ndiye ajiuzulu.
 
KWANINI HAMUACHI KURA ZIAMUE NANI KAWALOGA,MWISHO MTAONEKANA MNAMWOGOPA MBOWE.ACHENI KURA ZIPIGWE.
 
Najitokeza tena kumshauri Mh. F. A. Mobwe kuwa leo hii na bila kuchelewa achukue maamuzi mazito kuliko yote aliyowahi kuchukua maishani ya kutogombea uenyekiti Chadema.
Hahaha daah
 
Na hio ndio Demokrasia kuachiana nafasi na sio kuwapa nafasi wapiga Kura wachague ? Ni kama vile kukemea Ubabe kwa kufanya Ubabe...
 
Ni kweli. Mbowe asingepaswa kugombea ili kulinda heshima yake aliyoijenga muda mrefu.
 
Kwa uzoefu wa kucheza na kura katika chaguzi, bado ana imani hata safari hii atafanikisha zoezi (mvumilivu hula mbivu).
 
Tutahesabu kura yadi saa SITA, usiogope.
 
Chawa wanufaika wa pesa za mbowe akina mdee wenje sugu kileo mzee wa Tindikali kule Tabora mzee wa Sumu kwa zito na akina malya wauaji wa chawa wangwe watakula wapi endapo Mbowe atakaa bench? Hivyo vikundi wanufaika wa pesa za wizi toka kwa mbowe ndiyo humpa moyo na kumchochea Mbowe abakie mpaka sasa
 
Ila, kwa jicho la tatu, wafuasi wa lissu wanaonekana Wana wasiwasi kuliko wa mbowe. Hawatulii, hapo Kuna maana kubwa kwa wenye akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…