Tulishauri, tukatoa tahadhari na tukaonya lakini kama walivosema wahenga, sikio la kufa halisikii dawa!

Boksi la kura litaamua

Hajitoi mtu,kapigeni kura
Ukimsoma mleta uzi between the line, hasemi kwamba Mbowe ajitoe kwasababu haamini katika BOX la KURA, between the line anaona kama Mbowe anakwenda kupoteza HESHIMA yake alioijenga over 30 years; atapata KURA za aibu lakini pia akishinda bado atakua kakiua chama alicho kianzisha na kukijenga kwa miongo zaidi ya 3 cause mashabiki, wanachama wa Chadema ambao sio wapiga KURA hawamkubali Mbowe, wanamkubali Lissu. Hilo ndilo analoa ambiwa mwamba
 
Wanufaika wa pesa toka kwa mbowe hawataki Mbowe atoke hata wale wabunge haramu 19 hawataki mbowe atoke wakiamini uwepo wake ni nafuu kwake
 
Mbowe tayari ana Kamati ya Roho mbaya ikiongozwa na Mdee, wenje, Boniface, Sugu na wenzao kazi yake kuu ni kumdhoofisha lisu na pia kufanya uchakachuaji kuiba kura kupora ushindi wa Lisu na mbowe kuwa mwenyekiti haramu alinde madudu yake yote aliyowatendea chadema miaka yote
 
Mbowe kajiandaa kuiba kura kupora ushindi wa Lisu kwa uchakachuaji mkubwa chini ya kamati yake ya Roho mbaya ikiongozwa na mdee wenje na wenzao
 
Linaeleweka hilo bro, akishinda ni kama "ushindi" wanao upataga ccm, no merits. So again, ukimsoma mleta uzi between the line, anajua yote hayo BUT anaona kama Mbowe atakua kapoteza HESHIMA yake alioijenga over 30 years. Yaani Mbowe akishinda ni kama kashindwa na akishindwa ni kama kashindwa tu, ili heshima yake ibaki kwenye vitabu vya historia ni yeye kusema, "INATOSHA" ajitoe kama alivowahi kufanya mzee Jumanne Malecela mwaka 1995 enzi za Mchonga
 
Huyu Mbowe ananishangaza sana

Kama aliweza kumpa Lowasa nafasi kwanini asimpe na Lisu

Awe na Hofu ya Mungu basi
 
Mbowe kajiandaa kuiba kura kupora ushindi wa Lisu kwa uchakachuaji mkubwa chini ya kamati yake ya Roho mbaya ikiongozwa na mdee wenje na wenzao
Halafu nyie makanda uchwara kila siku mnalaumu kuporwa kura na chama tawala kumbe mnajiibia wenyewe huko huko😎
 
Ila Jerr Silaa alifungwa breki ya kufa mtu

Wananchiwameporwa mpaka na mabalozi wa CCM Ardhi zao
 
Kwani kura si ndio ziamue? Kwanini utake ajitoe? Apambane hadi mwisho lakini aache Demokrasia iamue.
 
Kwani kura si ndio ziamue? Kwanini utake ajitoe? Apambane hadi mwisho lakini aache Demokrasia iamue.
Hata nikitumia lugha gani bado hutanielewa kwa sababu huo uwezo wa kunielewa yawezekana huna. Namshauri Mbowe kwa faida yake, simlazimishi
 

Haukuwa peke yako ila Kuna haya:

Retire'd, Fundi Nchundo, Drlfter, Erythrocytes, Alen Kilewela, Fortila, Yericko, Tlaatlaah na myenzao:



Haijulikani yalikula ngapi ngapi kwenye join the cheini!

Yanao mchango wao kwenye kuendelea kumzuga!
 
Niimemsikiliza lema Leo Tena
Mmh ,hii nchi wanasuasa wanapitia mengi sn,Mungu awasaidie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…