Tulitaka kutengenezewa ukame bwawa la Mtera, tupazeni sauti tukiona ndivyo sivyo

Napenda kumshauri mama ,huyu meneja wa mtera ,apandishwe cheo ,pili alindwe,tatu muweke karibu yaani awe jicho lako kwenye hii wizara.Ni mzalendo na anaaminika vya kutosha.nne huyu wazr achana nae,anakuharibia vya kutosha,atakupa kazi ngumu kwa wananchi .
 
Mungu mchukue makamba na zitto na washenzi wengibe wote wenye nia mbaya na nchi hii.
Amina. ss watu wa jmt sote kwa moyo mmoja na bila kinyongo chochote tunakubali umchukue huyu mtu ee bwana!! bwana ametoa na bwana ametwaa,jina la bwana na libarikiwe!
 
“Kiwango cha juu” means umeme wa kutosha,labda utuambie wewe unadhani inabidi bwawa liwe na maji kiasi gani ili kuzalisha umeme wa kusemwa unatosha?

Weka mahaba ya kisambaa pembeni ongea facts!
Inaelekea hujaelewa,kwa mujibu wa huyo mhandishi wa Tanesco ni kwamba licha ya kupungua kwa maji kwenye Bwawa ,ujazo uliopo unaweza kuzalisha hizo megawatt kwa kipindi tajwa hadi hapo kina cha chini kabisa kufikiwa.Hapo wamekadiria rate of evaporation ndio kuja na huo uzalishaji kwa miezi tajwa.

Licha ya hiyo haiondoi ukweli kwamba Maji yamepungua na umeme ambao ulistahili kuzalishwa sio huo mgwat 80..

Acheni fitina za kijinga nyie watu, Mwenzangu hawezi kosa lawama kwa hili.
 
Wala!

2010 kuja 2015 kulikuwa na wapinzani kibao ila ule mgao wa umeme wa Jk ulikuwa unavunja rekodi
 
Wala!

2010 kuja 2015 kulikuwa na wapinzani kibao ila ule mgao wa umeme wa Jk ulikuwa unavunja rekodi
Huo ndio ukweli, wapinzani nchi hii walitumika na haohao wanaccm kumalizana kwenye dili zao walipozurumiana
 
Pumba
 
“Kiwango cha juu” means umeme wa kutosha,labda utuambie wewe unadhani inabidi bwawa liwe na maji kiasi gani ili kuzalisha umeme wa kusemwa unatosha?

Weka mahaba ya kisambaa pembeni ongea facts!
Umeme wa kutosha ni kiasi gani?,mahitaji yetu ni kiasi gani?.
 
Dawa ya hawa watu ni risasi tu

Unakaa zako kona unaiweka Chemba makamba anapita anakula tatu za kichwa habari inaishia hapo. Atakayekuja atajua watanzania hatutanii, heshima itakuwepo.
Wazo la kichina ,lina sense pia
 
Kama nipo sawa mtera haikutajwa kwenye orodha ya vyanzo vyenye ukame. Ilitajwa vile vya morogoro kidatu na kihansi
 
Mita 5.76 ni bwawa gani hilo mkuu, nakumbuka 2015 nilipita Mtera Dam maji hamna ila tope na viboko wakihangaika kutafuta hifadhi
Soma hiyo wewe kalumanzila
Your browser is not able to display this video.
 
Makini sana, hekima
 
Sasa helicopter itafika mtera au haitafika ? Hata huko kwingine Luna.haja gani ya ziara ya anga kukagua vyanzo wakati washaambiwa hakuna maji! Basi wachukue rocker wakakague mvua kuwa utanyesha lini

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
“Kwa kina hiki cha mita 5.76 tunaweza kuzalishha umeme kwa kiwango cha juu cha megawatts 80 kwa miezi saba ijayo hata kama tone moja la mvua halitaingia kwenye bwawa la Mtera”

- Meneja wa Kituo cha kuzalisha umeme Mtera, Elias Mwalupilo
Duh 🙆🏿‍♂️ Sasa Tanesco wanavyosema maji hayatoshi waliongea na meneja wao au ilikuwaje ?? Mbona ni mkanganyiko huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…