Tulitangazwa bure Burj Khalifa...

Shida siyo Sa100 bali tatizo kubwa ni fisiemu..

Tushughulike nayo
 
Kama sikuhiz akiongea saut inatetema?mie sikuhiz namute clips anazokuwa anaongea nikizikuta popote🙏 just tired of hearing her powerless voice🤣
Ina athari gani kwake? Kwanza ni nani kwake wewe?!!!!! Akiamua si anakuona sisimizi tu. Nashauri muhame kabisa nchi sababu yupo sana na historia ya kimaendeleo ya kiuchumi inaenda kubadilika.......na si mwingine anayeleta mabadiliko hayo ni Dr Samia Suluhu Hassan. Ikakupoteka kalipambilile (in Field Marshal Tongolanga's voice)
 
😄😄😄😄😄
Mnajitahidi, si mbaya endeleeni kuzusha hili na lile labda malengo yenu yatatimia.
 
Waislamu wakiwaona waarabu wanama kama wamekutana na mungu, full kujikomba wakati waarabu wanawadharau kama nnya.
Huujui uislamu wewe, uuslamu hauangalii mwarabu, mzungu wala mchina, ni total different aspect na fikra zenu, nyie pambaneni na roho zenu mbaya za kumchukia rais bila kuhusisha uislamu wake wala uanamke wake, hao wakristo wenu wamefanya ya ajabu mengi tu, nyerere mkapa na jiwe wote na mabaya yao makubwa hamyasemi......
 
Tufahamu ya kuwa hakuna mgeni atakuja kutuletea maendeleo sisi tukishindwa. Nasema tena hakuna.
Hayupo mwekezaji atakuja kuibadili hali yako, kama umeshindwa.

Tena kwa mikataba mibovu kama hii, ndio kabisa tutarajia wao kuvuna zaidi na sisi kubaki kama tulivyo.
 
Na kinachonikera mimi ni kwamba badala ya kujibu hoja wao wanajibu mipasho. Sasa kusema kwamba unaziba masikio ndio unajibu hoja hapo?!
 

Vitu kama hivi hautakiwi kukurupuka. Tahadhari kubwa inatakiwa.

SGR kulikuwa na zabuni tukachagua, Bwawa la Nyerere tulifanya hivyo hivyo tukachagua nk. Hatutakiwi kuwa desperate.
 
Mleta hoja tarajia blah blah za hawa viumbe ccm wanaofanana na binadamu watakavyosema!
ccm inatupeleka ktk shimo baya sana kuwahi kutokea!
 
Povu zito
 
Sijui kwa nin najikuta nina mashaka na Madelu na yule msambaa asiyeota nywele
 
Wameshaanza kulegea. Kwamba makubaliano mliyoweka saini zenu si mkataba? Kumbe ni nini?

 
Kwahyo tukitangazwa bure dubai na sisi tugawe bandari zetu maana tatizo sio muwekezaji tatizo ni hayo makubaliano ya kwenye mkataba hanatupa nn na muarabu anapata nn hapo ndio kimbembe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…