Tulivyoachana aliniambia mtoto siyo wa kwangu, ameachwa tena anataka nimrudie

Ishu kama hiyo ndo ungetakiwa uonyeshe nini maana ya uanaume siyo usubiri tukupe ushauri wa kibabe.
 
Sasa ndyo naelewa
Juzi kuna page moja nimeifollow istagram yule jamaa anaandika mambo mengi hasa haya ya kijasusi na humu jf yupo pia.Sasa kuna post moja aliiweka instagram kwenye comment kuna jamaa akamuuliza mbona cku hz sikuon ukichangia huku jf jamaa akajibu kuna utoto mwingi sana huku jf leo nimeamini.Jf kuna wahamiaji wengi kutoka fb ndyo tatizo
 
Hivi kweli hadi hatua hii unahitaji ushauri nini cha kufanya? Wewe hujitambui ndiyo maana huyo mwanamke anakuzingua. Ulishachukua maamuzi sahihi kumpiga chini baada ya kujiridhishs kuwa huyo demu ni kicheche sasa unataka tena kumrudia? Umerogwa si bure
 
Sasa siku za hivi karibuni ananisumbua eti nisamehe ni shetani alimuingia, mara ulikuwa ni utoto mtoto ni wangu, na ameniambia kule pia kaachika, nifanyaje kaka?

Binafsi naamini sikuletwa duniani kuwajali watu wasionijali.

Sasa, sijui kwa upande wako mkuu.
 
Huyu ni mpuuzi ana mada kibao hata haeleweki.
Mods chezeni nae huyu mtu
 


Ni Kupungukiwa Akili Kukubwa Sana Ndugu Zangu

By Jiwe
 
Miezi 8 baadae baada ya mtoto kuzaliwa, nilimfumania na mwanaume mwingine wakiwa faragha, badala aniombe msamaha alinitukana sana mbele ya umati wa watu na kusema hata mtoto siyo wa kwangu, ni kihelehele changu tu cha kuhudumia....
Dunia hii kuna watu wana majanga aisee.
Pole mkuu kwa huu mkasa. Unauma sana.
 
Miaka 6 watoto nane? Hii chai imeqahi sana
 
Wewe ni chizi au ni kichaa?Unachotaka ni mtoto,mke au ni kihereher tu cha kutaka kujisikia kwamba unapendwa.
 
Mmeo ni mtu mbadi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…