ww huna akili kama mpak sasa huez kemea Matendo ya Putin halaf unatokeaa nchi dhaif za AfrikaNdugu acha kujichosha bila sababu...unataka russia wakubali tu hata kama hawajahusika...huo ni mchezo wa zelensky kuwaprovoke NATO ili awagombanishe na Urusi... kama wanaamini urusi ndio kashambulia wanasubiri nini mpaka wanaanza kujiuzauliza... Then nimegundua NATO ni wazembe kumbe kwenye masuala ya ulinzi hadi muda huu hawajui mashambulizi yametoka wapi....
wewe ni kichaa na hujiujui , kwann hujiuliz Marekan hatumii silaha kupokewa na Mataifa ya east ila Putin ndugu yao anatumia Silaha , Urusi anawaonea sana majiran zake anawaona kama makoloni yake , na hicho ndo hawakitak majiran zake , ifike muda muwaenz babh zenu waliomwaga damu kuwapigania nyiny muwe mnatype kwa uhuru hapo sio leo hii unashabikia matendo ya Urusi yenye uhusiano na ukoloni , huez mpangia mtu nan awe rais nchini mwake huo ni ukolon walikuwa neutral ila Urusi hakuridhika akataka mpk serikali ya Ukraine ipangwe moscow 2013 , Walipogoma akaivamia nchi kwann Usifikirie kujiunga na NATO kama ungekuwa ww umevamiwa na kuporwa eneo lako na jiran bado anapandikiza civil wars , WASWAHILI WENGI WANASHABIKIA BILA KUUMIZA VICHWA VYAO KUJUA WANASHABIKIA NINI WAO WANAJARI KUWA HAWAIPEND USA naWANASHABIKIA UPANDE WENYE UADUI NA USA , SHITHOLE CIUNTRIESSio angejua ila Russia ilikuwa lazima aingie vitan Ukraine, isingekuwa mwezi February bas ingekuja tu maana marekani lengo lake ni kuiangusha Russia ila kupitia Ukraine.
Hebu jibainisheni halafu muingieAkibainika ni yeye mbona analo, natamani sana iwe hivyo ili huu upuzi uishe mapema.
Hata kama sio yeye,sisi wamsingizie tu Ili wamalize biashara mapema kama walivyomsingizia Iraq kuwa anatengeneza nuclear!
mnywa gongo unaongea kwa kibur bar wkt mumeo analipa bill huko jikon kwa kuosha viomboNdio Urusi amerusha ifanyeni Urusi kuwa majivu,mbeha nyie
unahisi ni vichaa kama Urusi yenu inapigania vijimbo vinne wkt hajafika popote na linnchi likubwa , China imemkuta na kumuacha mbali , Hata India kamkuta na kumuacha mbaliHiyo NATO miezi yote ilikuwa wapi au ndio imeundwa jana?
mwenzio tangu jana anaomba msamaha tuNami naomba iwe hivyo Ili tuone hao NATO watafanya nini
Kama kombola linaonyesha kabisa ni la Urusi, kuna aja gani tena ya kumuliza mtu Urusi.nyie ndo mnatakiwa kuchukua maamuzi
Ukraine anashusha mkong'oto kwanza amtoe mazima nchin mwakeShida anae wapigania, USA, hataki hiyo propaganda yenu ya kujilipua. Kama ni wanaume, Poland na Ukraine wajibu kama wao ni madume.
Kwan hii ina uhusiano gan na thread , kwan jf kila kitu kinazungumziwa kweny international platform ?Haya ni maoni yako au ndio uhalisia ulivyo??
Tupo nchi ambayo kilamtua anaweza kuongea tena mambo mazito ya taifa flani bila woga. Lakin hapoalipo hana umeme , maji yanamsumbua na hata uhakika wa chakula chake haupo ila anaweza washaur wa rusi.
endelea kucheka tuNATO wanachekesha
watu wa jina lako huwa ni wakurupukaj sana na mnahisi kila mtu mkurupukaj km wavaa kobaz ma andunje , West mpk kuingia vitan wanakuwa na sabab za msingi tyrKama kombola linaonyesha kabisa ni la Urusi, kuna aja gani tena ya kumuliza mtu Urusi.nyie ndo mnatakiwa kuchukua maamuzi
NATO ni waoga sana Bomu Hilo limewaonyesha kuwa ulinzi wao no mdogoNdugu acha kujichosha bila sababu...unataka russia wakubali tu hata kama hawajahusika...huo ni mchezo wa zelensky kuwaprovoke NATO ili awagombanishe na Urusi... kama wanaamini urusi ndio kashambulia wanasubiri nini mpaka wanaanza kujiuzauliza... Then nimegundua NATO ni wazembe kumbe kwenye masuala ya ulinzi hadi muda huu hawajui mashambulizi yametoka wapi....
kwann wanalipua bembea za watoto huko Ukraine na hawakatai ? kwann wanalipua makaz ya watu na hawakatai ?Sasa kama sio wao waseme ni sisi ?
Unadhani hao ni Al Shabaab ? Pia unadhani kupigana vita vingi ndio umahili / Sifa ? Unafanya mambo ikiwa absolutely necessarily