Tuliwaambia kuwa bila kuchanja Afrika inaenda kutengwa.

IMG_20211129_174145.jpg
 
Kirusi kipya kikali kimeibuka huko SA. Nchi nyingi zimepiga marufuku safari za wanaotoka Africa, hasa huku kusini.

Kwa kiasi kikubwa Variants hizi hatari huzaliwa ndani ya wale ambao hawajachanja. Ili kupambana na korona kikamilifu inatakiwa wote wachanjwe, kuchanja kuwe lazima. Bila ya hivyo, wale ambao hawajachanja watafanya variants zizaliwe ambazo hazisikii hata chanjo zilizopo.

Kuchanja kunatakiwa kuwa lazima.
Mnawashwa sana na hizo chanjo zenu utadhani wazungu ni waume zenu wa ndoa kila wanachowaambia mnajibu ndio mume wangu.

Me sishangai ndo maana wanawake now days wanakomaa kivyao sababu wanaume wa kuwalinda hakuna kabisa.
 
Munamnadi sana corona wakati ni kurusi mfu. Imeshakuwa chanjo chanjo kila siku wakati utendaji kazi wa chanjo mshatuqmbia na tukaona hauna maana kwa mwanadam.

Kama utengenezaji wa chanjo ni kuunda kirusi fek kiufundishe mwili kupambana na kirusi harisi basi si tunamsubiri kirusi harisi ndo aifundishe miili yetu kupambana nae. Nasiyo huyo fek wa chanjo
Hawa watu hawana akili.
 
Hiki ni kirusi kipya. Unazungumzia watu wachanjwe chanjo ya kirusi cha zamani. Fafanua vizuri Mkuu.

Chanjo ya kirusi Cha zamani inafanya kazi vipi na kwa kiwango gani kwa hiki mnaita "kirusi kipya kikali??" Red Giant
Haujamuelewa mleta uzi.Mleta uzi anamaanisha kuwa watu wanapochanjwa wote/kwa wingi huondoa/hupunguza chances ya variant mpya kuzaliwa.

Yaani kama watu wote walichanjwa wakati kukiwa na ile variant ya kwanza basi hiki kirusi kipya kingeshindwa kutokea.
 
Ni rahisi sana kutupa lawama. Ni rahisi sana kusema tunachotaka kusema.
Ila sidhani kama hali iko hivyo unavyosema. Germany na Netherlands mbona wanapambana na maambukizi mapya ambayo sio ya huyo variant wa SA.
Huu ugonjwa umetoka wapi? Nini chanzo chake? Na unamsaidia nani kifedha sasa hivi?
Mkuu, Naomba tusaidie jina la huyu variant mpya wa huko Germany na Nerthelands.

Huyu wa SA anaitwa "Omicron"
 
Hiari yao inahatarisha wengine. Unaifahamu hospitali ya kibong'oto? Kule huwekwa wagonjwa wenye TB sugu, lengo ni ili wasiambukize wengine. Hawapewi eti hiari ya waishi watakavyo huku wakihatarisha wengine.

Ndivyo ilivyo kwa wasiochanja, ni kiwanda cha kuzalisha virusi vipya kilichoachwa kuvisambaza.
Kwani TB nayo huwa ina chanjo?
 
Kirusi kipya kikali kimeibuka huko SA. Nchi nyingi zimepiga marufuku safari za wanaotoka Africa, hasa huku kusini.

Kwa kiasi kikubwa Variants hizi hatari huzaliwa ndani ya wale ambao hawajachanja. Ili kupambana na korona kikamilifu inatakiwa wote wachanjwe, kuchanja kuwe lazima. Bila ya hivyo, wale ambao hawajachanja watafanya variants zizaliwe ambazo hazisikii hata chanjo zilizopo.

Kuchanja kunatakiwa kuwa lazima.
HERD IMMUNITY
 
Ukimua kuchanjwa unachanja na unatakiwa ukae kwa kutulia! Tulioamua kutochanja pia tunaendelea na life letu 😅
 
Wazungu ni manipulators wazuri sana, taarifa ni kwamba kirusi kipya kimeanzia kwao, wiki nne zilizopita wakaona wakipandikize na Afrika, viongozi wetu wawe makini na hawa watu sio wema kihivyo
 
Ukimua kuchanjwa unachanja na unatakiwa ukae kwa kutulia! Tulioamua kutochanja pia tunaendelea na life letu 😅
Wasiochanja wanaendelea na maisha yao wakizalisha aina mbalimbali ya virusi mwilini mwao na kuvisambaza. Wanaweza kutoa strains ambazo hazitasikia chanjo ya waliochanja. Wasiochanja ni hatari kwa afya ya jamii.
 
Kama ukichanja utakufa na usipochanja utakufa pia hamna lenye unafuu!
 
Kwan shida ipo wapi ...... Mbona mnajifanya mpo smart. Hivi malaria imekwisha, TB, umasikini, pambaneni na hivyo kwanza maana ndio vinatumaliza kwa kasi. Hayo macorona ni magonjwa ya wazungu waache wapambane nayo.

Kama hawataki tuende kwao poa na wao wasije kwetu kila mtu abakie na utamu wake.
 
Kirusi kipya kikali kimeibuka huko SA. Nchi nyingi zimepiga marufuku safari za wanaotoka Africa, hasa huku kusini.

Kwa kiasi kikubwa Variants hizi hatari huzaliwa ndani ya wale ambao hawajachanja. Ili kupambana na korona kikamilifu inatakiwa wote wachanjwe, kuchanja kuwe lazima. Bila ya hivyo, wale ambao hawajachanja watafanya variants zizaliwe ambazo hazisikii hata chanjo zilizopo.

Kuchanja kunatakiwa kuwa lazima.
Kwa jinsi ulivyoeleza ni kama vile huelewi, sasa hiki kirusi kitabalikaje kwenye mwili wa mtu ambae hajachanja. Yana hujaweka dawa ya kupambana nacha then ghafla kitengeneze aina mpya tena ya virus.
 
Hata ukila utakufa na usipokula utakufa, ukiendesha recklessly utakufa na ukiendesha kistaarabu utakufa, ukipigwa risasi utakufa na usipopigwa risasi utakufa........
 
Kwan shida ipo wapi ...... Mbona mnajifanya mpo smart. Hivi malaria imekwisha, TB, umasikini, pambaneni na hivyo kwanza maana ndio vinatumaliza kwa kasi. Hayo macorona ni magonjwa ya wazungu waache wapambane nayo.

Kama hawataki tuende kwao poa na wao wasije kwetu kila mtu abakie na utamu wake.
Wakiwafungia maana yake biashara na uchumi utaporomoka. Hamtakufa kwa Korona bali kwa njaa na vita vya wenyewe.
 
Kirusi kipya kikali kimeibuka huko SA. Nchi nyingi zimepiga marufuku safari za wanaotoka Africa, hasa huku kusini.

Kwa kiasi kikubwa Variants hizi hatari huzaliwa ndani ya wale ambao hawajachanja. Ili kupambana na korona kikamilifu inatakiwa wote wachanjwe, kuchanja kuwe lazima. Bila ya hivyo, wale ambao hawajachanja watafanya variants zizaliwe ambazo hazisikii hata chanjo zilizopo.

Kuchanja kunatakiwa kuwa lazima.
Tuanze kwa kumkamata Askofu Gwajima adungwe chanjo hadharani. Yule ndio kawapa kiburi sana wabongo wasichanjwe
 
Kwa jinsi ulivyoeleza ni kama vile huelewi, sasa hiki kirusi kitabalikaje kwenye mwili wa mtu ambae hajachanja. Yana hujaweka dawa ya kupambana nacha then ghafla kitengeneze aina mpya tena ya virus.
Kirusi siku zote kinabadilika. Kinajibadilisha wakati wa kujizalisha. Kikipata mazalia mazuri(kwa mtu asiyechanja) ndiyo kinavyozaliana zaidi na kuzaliana zaidi ndiyo kunafanya mabadiliko mengi zaidi kutokea. Sasa basi, kama wengi hawajachanja maana yake mazalia yanakuwa mengi na kasi ya kubadilika inakuwa kubwa hata zaidi.
 
Kirusi kipya kikali kimeibuka huko SA. Nchi nyingi zimepiga marufuku safari za wanaotoka Africa, hasa huku kusini.

Kwa kiasi kikubwa Variants hizi hatari huzaliwa ndani ya wale ambao hawajachanja. Ili kupambana na korona kikamilifu inatakiwa wote wachanjwe, kuchanja kuwe lazima. Bila ya hivyo, wale ambao hawajachanja watafanya variants zizaliwe ambazo hazisikii hata chanjo zilizopo.

Kuchanja kunatakiwa kuwa lazima.
Vipi waliochanjwa mbona Germany hali tete
 
Back
Top Bottom