Mkuu hayo ma variants yanazalishwa na mabeberu na yanakuja kuyatupa Africa.Kirusi kipya kikali kimeibuka huko SA. Nchi nyingi zimepiga marufuku safari za wanaotoka Africa, hasa huku kusini.
Kwa kiasi kikubwa Variants hizi hatari huzaliwa ndani ya wale ambao hawajachanja. Ili kupambana na korona kikamilifu inatakiwa wote wachanjwe, kuchanja kuwe lazima. Bila ya hivyo, wale ambao hawajachanja watafanya variants zizaliwe ambazo hazisikii hata chanjo zilizopo.
Kuchanja kunatakiwa kuwa lazima.
Haki tena mabeberu si watu.Ni rahisi sana kutupa lawama. Ni rahisi sana kusema tunachotaka kusema.
Ila sidhani kama hali iko hivyo unavyosema. Germany na Netherlands mbona wanapambana na maambukizi mapya ambayo sio ya huyo variant wa SA.
Huu ugonjwa umetoka wapi? Nini chanzo chake? Na unamsaidia nani kifedha sasa hivi?
Kama chanjo haikusaidii unachanja ili iweje? Yaani unachanja lakini bado unaishi kwa hofu? Nonsense.Kusema chanjo ni hiari ni sawa na kusema mgonjwa wa kipindupindu ana haki ya kukaa kambini au kuendelea na mambo yake. Au wagonjwa wa ukoma wajichanganye na watu kawaida. Kwanini chanjo ya manjano siyo hiari kwa wanaotaka kusafiri? Suala la kusema chanjo ni hiari ni habari za kisiasa.
Hapa plan B way forward ni kusubiri chanjo mpya aku kuangalia kati ya chanjo zilizopo ambayo ni effective kwa hiki kirusi kipya na kufanya kuchoma iwe lazima. Ni muhimu pia tukapata uwezo wa kuzalisha chanjo, hata hizo kopi za wazungu.
Kirusi kipya kikali kimeibuka huko SA. Nchi nyingi zimepiga marufuku safari za wanaotoka Africa, hasa huku kusini.
Kwa kiasi kikubwa Variants hizi hatari huzaliwa ndani ya wale ambao hawajachanja. Ili kupambana na korona kikamilifu inatakiwa wote wachanjwe, kuchanja kuwe lazima. Bila ya hivyo, wale ambao hawajachanja watafanya variants zizaliwe ambazo hazisikii hata chanjo zilizopo.
Kuchanja kunatakiwa kuwa lazima.
Wapumbavu sana..Wazungu ni manipulators wazuri sana, taarifa ni kwamba kirusi kipya kimeanzia kwao, wiki nne zilizopita wakaona wakipandikize na Afrika, viongozi wetu wawe makini na hawa watu sio wema kihivyo
Hofu ndiyo mlango namba moja wa kuingilia corona kwenye mwili wa mtu,na huyu RedGiant anaonekana anahofu sana ya kuugua corona,inabidi waTanzania wwnzangu tumsaidie huyu mwenzetu arudi kwenye Hali ya kawaida.Wasiochanja wanaendelea na maisha yao wakizalisha aina mbalimbali ya virusi mwilini mwao na kuvisambaza. Wanaweza kutoa strains ambazo hazitasikia chanjo ya waliochanja. Wasiochanja ni hatari kwa afya ya jamii.
Mkuu, Naomba tusaidie jina la huyu variant mpya wa huko Germany na Nerthelands.
Huyu wa SA anaitwa "Omicron"
HiYo inaitwa sayansi binafsi,unaongea vitu vitu vya kujitungia mwenyewe.Kirusi siku zote kinabadilika. Kinajibadilisha wakati wa kujizalisha. Kikipata mazalia mazuri(kwa mtu asiyechanja) ndiyo kinavyozaliana zaidi na kuzaliana zaidi ndiyo kunafanya mabadiliko mengi zaidi kutokea. Sasa basi, kama wengi hawajachanja maana yake mazalia yanakuwa mengi na kasi ya kubadilika inakuwa kubwa hata zaidi.
Wasiochanja walikuwepo kabla ya kirusi kipya na kirusi hakikuja, waliochanja ndo wamekileta hicho kipya.Sisemi wachanjwe ya zamani, maana inaweza kuwa haipo active kwa kirusi hiki. Ila wale wasiochanjwa ndiyo huwa mazalia ya aina mpya za virusi. So ilitakiwa iwe lazima kuchanja toka zamani, na ikipatikana chanjo ambayo ni active kwa hii strain mpya inabidi wote wachanje. Kama hawachanji wengi itakuwa ni kazi ya kutwanga maji kwenye kinu. Kila siku itaibuka strain mpya.
Nimekuelewa sana waliochanja ndo waliosababisha kirusi kibadilike.Kwa jinsi ulivyoeleza ni kama vile huelewi, sasa hiki kirusi kitabalikaje kwenye mwili wa mtu ambae hajachanja. Yana hujaweka dawa ya kupambana nacha then ghafla kitengeneze aina mpya tena ya virus.
Kachanje family yako,usituhimize tusiokuhusu!Kirusi kipya kikali kimeibuka huko SA. Nchi nyingi zimepiga marufuku safari za wanaotoka Africa, hasa huku kusini.
Kwa kiasi kikubwa Variants hizi hatari huzaliwa ndani ya wale ambao hawajachanja. Ili kupambana na korona kikamilifu inatakiwa wote wachanjwe, kuchanja kuwe lazima. Bila ya hivyo, wale ambao hawajachanja watafanya variants zizaliwe ambazo hazisikii hata chanjo zilizopo.
Kuchanja kunatakiwa kuwa lazima.
Swali zuri sanaHiki ni kirusi kipya. Unazungumzia watu wachanjwe chanjo ya kirusi cha zamani. Fafanua vizuri Mkuu.
Chanjo ya kirusi Cha zamani inafanya kazi vipi na kwa kiwango gani kwa hiki mnaita "kirusi kipya kikali??" Red Giant
Kachamje wewe mkuuKirusi kipya kikali kimeibuka huko SA. Nchi nyingi zimepiga marufuku safari za wanaotoka Africa, hasa huku kusini.
Kwa kiasi kikubwa Variants hizi hatari huzaliwa ndani ya wale ambao hawajachanja. Ili kupambana na korona kikamilifu inatakiwa wote wachanjwe, kuchanja kuwe lazima. Bila ya hivyo, wale ambao hawajachanja watafanya variants zizaliwe ambazo hazisikii hata chanjo zilizopo.
Kuchanja kunatakiwa kuwa lazima.
"Sio kazi ya asiyechanja kumlinda aliyechanjwa,ni kazi ya chanjo kumlinda aliyechanja" ukichanjwa ukae kimya usisumbue wasiochanja. Jiamini kwa kuwa umechagua kwa hiari,ruhusu wenzako wawe na hiari pia.