Tuliwaambia kuwa bila kuchanja Afrika inaenda kutengwa.

Tuliwaambia kuwa bila kuchanja Afrika inaenda kutengwa.

Inakuwaje asiyechanjwa ndo anafanya variants mpya zizaliwe? Explain the biology pls. It makes more sense to me that waliochanjwa ndo wanatuletea variants mpya, kama ambavyo mtu anatumia ma antibiotics muda mrefu Hadi bacteria anti resistant wanazaliwa
Hata Mimi sikuelewa hii lugha ya wasiochanjwa wanazalisha new variants.

Red Giant njoo huku please utupatie shule na muongozo evidence based research .....
 
Kirusi kipya kikali kimeibuka huko SA. Nchi nyingi zimepiga marufuku safari za wanaotoka Africa, hasa huku kusini.

Kwa kiasi kikubwa Variants hizi hatari huzaliwa ndani ya wale ambao hawajachanja. Ili kupambana na korona kikamilifu inatakiwa wote wachanjwe, kuchanja kuwe lazima. Bila ya hivyo, wale ambao hawajachanja watafanya variants zizaliwe ambazo hazisikii hata chanjo zilizopo.

Kuchanja kunatakiwa kuwa lazima.
Africa tunaweza kuishi bila hao jamaa ila wao hawawezi. They need us more than how we need them. Enzi za ujima tunaweza kuzirudia na wao wabaki na GMOs zao siye tutakula ubuyu. Ila hatuchanji.

Kabla ya kutuletea ma BOEING miaka 60 iliyopita tulikuwa hatuendi ulaya siye, watuache wao na masuria wao.
 
Kwa jinsi ulivyoeleza ni kama vile huelewi, sasa hiki kirusi kitabalikaje kwenye mwili wa mtu ambae hajachanja. Yana hujaweka dawa ya kupambana nacha then ghafla kitengeneze aina mpya tena ya virus.
Nilikuwa najiuliza sana. Huyu ambaye hajachanja lakini pia ana afya njema tuu.... Mwili wake unatengenezaje such a virulent variant ??
 
kama chanjo hazifui dafu kwa hiki kirusi naweza kushauri km mtu wakawaida sana kwamba, itengenezwe dawa ya kukifubaza kirusi hicho kuliko kuleta chanjo zinazofanya kirusi kiwe sugu nakuleta aina mpya za virusi kila siku.....hii fursa ya corona bado mbichi sana mpaka watu wawematajiri wakubwa duniani masikin wengi watakua wamekufa sana
 
Kirusi kipya kikali kimeibuka huko SA. Nchi nyingi zimepiga marufuku safari za wanaotoka Africa, hasa huku kusini.

Kwa kiasi kikubwa Variants hizi hatari huzaliwa ndani ya wale ambao hawajachanja. Ili kupambana na korona kikamilifu inatakiwa wote wachanjwe, kuchanja kuwe lazima. Bila ya hivyo, wale ambao hawajachanja watafanya variants zizaliwe ambazo hazisikii hata chanjo zilizopo.

Kuchanja kunatakiwa kuwa lazima.
Yaan kila nikiandika tusi nafuta sijaona linalokufaa kwa usahihi.
Ila sikuachi bure, wewe ni mnduku!
 
Africa tunaweza kuishi bila hao jamaa ila wao hawawezi. They need us more than how we need them. Enzi za ujima tunaweza kuzirudia na wao wabaki na GMOs zao siye tutakula ubuyu. Ila hatuchanji.

Kabla ya kutuletea ma BOEING miaka 60 iliyopita tulikuwa hatuendi ulaya siye, watuache wao na masuria wao.
Ni kinyume chake.
 
Hiari yao inahatarisha wengine. Unaifahamu hospitali ya kibong'oto? Kule huwekwa wagonjwa wenye TB sugu, lengo ni ili wasiambukize wengine. Hawapewi eti hiari ya waishi watakavyo huku wakihatarisha wengine.

Ndivyo ilivyo kwa wasiochanja, ni kiwanda cha kuzalisha virusi vipya kilichoachwa kuvisambaza.
Kipya kinatokana vp na asiechanja km tu chazamani kimegwaya? wasiochanja si mlisema watakufa na kuokotwa mitaani?
Mbona hofu zaidi ni kwawaliochanja.
Tusiochanja hata wazo la korona hatuna, tunadunda tu!
 
"Sio kazi ya asiyechanja kumlinda aliyechanjwa,ni kazi ya chanjo kumlinda aliyechanja" ukichanjwa ukae kimya usisumbue wasiochanja. Jiamini kwa kuwa umechagua kwa hiari,ruhusu wenzako wawe na hiari pia.
Cha ajabu waliochanja wana kimuhemuhe kinoma..wasio chanja wala hawana habar..ndo ujue agenda ni kubwa sana
 
"Sio kazi ya asiyechanja kumlinda aliyechanjwa,ni kazi ya chanjo kumlinda aliyechanja" ukichanjwa ukae kimya usisumbue wasiochanja. Jiamini kwa kuwa umechagua kwa hiari,ruhusu wenzako wawe na hiari pia.
Usiochanja unasambaza gonjwa kwa haraka sana kwa wasiochanja wenzio,kirusi kinajibadili kinakwenda kuwatibua hata walio chanja
 
Kusema chanjo ni hiari ni sawa na kusema mgonjwa wa kipindupindu ana haki ya kukaa kambini au kuendelea na mambo yake. Au wagonjwa wa ukoma wajichanganye na watu kawaida. Kwanini chanjo ya manjano siyo hiari kwa wanaotaka kusafiri? Suala la kusema chanjo ni hiari ni habari za kisiasa.

Hapa plan B way forward ni kusubiri chanjo mpya aku kuangalia kati ya chanjo zilizopo ambayo ni effective kwa hiki kirusi kipya na kufanya kuchoma iwe lazima. Ni muhimu pia tukapata uwezo wa kuzalisha chanjo, hata hizo kopi za wazungu.
Kwa nini unafananisha wasiochanjwa na wagonjwa?
Kama ushachanjwa amini kuwa kwa sasa upo na kinga ya kutosha.
Subiri chanjo mpya yaja usiwe na wasiwasi.
 
Nilikuwa najiuliza sana. Huyu ambaye hajachanja lakini pia ana afya njema tuu.... Mwili wake unatengenezaje such a virulent variant ??
Ipo namna hii mkuu. Kwanza ufahamu kuwa kirusi kadri kinavyoendelea kujizalisha ndivyo kinavyojibadili. Kikipata tu mazingira ya kujizalisha na kujibadili kunatokea.


Assume wanaoambukizwa na kirusi A ni watu laki nne, ama hawajapata chanjo. Lakini wakipata chanjo yenye ufanisi wa asilimia 90 maana yake badala ya kuambukizwa watu laki nne wanaambukizwa watu elfu arobaini tu.

Hapo unapunguza mazalia ya virusi kutoka watu laki nne hadi elfu arobaini. Variants zitakazozalishwa kutoka kwa watu laki nne zinaweza kuwa nyingi mara kumi ya zile zitokazo kwa watu arobaini. Na ni rahisi kupata variants nyingi na hatari kwa hao wasiochanjwa kuliko kwa waliochanja. Kama ambao waliochanja ni wachache sana basi wale wasiochanja wanaweza zalisha strains ambazo hazisikii chanjo ya wale waliochanja. Hii ni ishu ya afya ya umma, kama tu kipindupindu.

Na hizi variants chache zilizotoka kwa watu elfu arobaini ni rahisi kuzidhibiti kwa kuzitengenezea chanjo yake specific. Kwa mtindo huo wa watu kupata chanjo mwanzoni na booster kwaajili ya variants ndipo mnaweza kutokomeza ugonjwa. Mfano makampuni ya madawa yanasema booster ya hii Omicron inaweza kuwa tayari mwanzoni mwakani. Lakini wanaangalia kwanza kama chanjo ya zamani ni effective kwa omicron.
 
Back
Top Bottom