Tuliwaambia kuwa bila kuchanja Afrika inaenda kutengwa.

Mkuu hayo ma variants yanazalishwa na mabeberu na yanakuja kuyatupa Africa.

Kifupi haya majamaa yanataka black race ipotee ulimwenguni.

Chanjo ni takataka tuu...
Subiri uone.
 
Haki tena mabeberu si watu.
Yani wana nia gani!?
 
Kama chanjo haikusaidii unachanja ili iweje? Yaani unachanja lakini bado unaishi kwa hofu? Nonsense.
 

Acha ujinga mkuu, marekani kwenyewe watu kibao hawajachanjwa
 
Wasiochanja wanaendelea na maisha yao wakizalisha aina mbalimbali ya virusi mwilini mwao na kuvisambaza. Wanaweza kutoa strains ambazo hazitasikia chanjo ya waliochanja. Wasiochanja ni hatari kwa afya ya jamii.
Hofu ndiyo mlango namba moja wa kuingilia corona kwenye mwili wa mtu,na huyu RedGiant anaonekana anahofu sana ya kuugua corona,inabidi waTanzania wwnzangu tumsaidie huyu mwenzetu arudi kwenye Hali ya kawaida.
 
H HiYo inaitwa sayansi binafsi,unaongea vitu vitu vya kujitungia mwenyewe.
 
Wasiochanja walikuwepo kabla ya kirusi kipya na kirusi hakikuja, waliochanja ndo wamekileta hicho kipya.
 
Leo former PM wa UK Gordon Brown amelizungumzia sana hili na kusema sio kuwa watu hawataki kuchanja bali chanjo zimenunuliwa kwa fujo na mataifa makubwa yenye hela

Baada ya miezi miwili mpaka mitatu mataifa ya Ulaya watateketeza chanjo zaidi ya 150m kwa sababu mda utakuwa umekwisha

Iwapo kama mataifa masikini hawatapewa chanjo za kutosha Ina maana virus wataendelea kuwepo na watakuja huku Ulaya hata wadhibiti namna gani

Kweli ni muhimu watu kuchanjwa ila cha ajabu hawa virus wapya ndio kichwa kinawauma bado

Ila Tz tuko vizuri maana hatuna mda wa magonjwa yanayotusumbua kama malaria bali tunataka kutengeneza chanjo ya Covid
 
Kachanje family yako,usituhimize tusiokuhusu!
 
Kachamje wewe mkuu

Mimi na ukoo wangu wote tumekataa.
 
Hamtaelewana. Mwenzio anaongea sayansi wewe unaongea ulevi wa kimpumu. Hamtaonana kamwe kwa vile directions zenu ni parallel. Red Giant
"Sio kazi ya asiyechanja kumlinda aliyechanjwa,ni kazi ya chanjo kumlinda aliyechanja" ukichanjwa ukae kimya usisumbue wasiochanja. Jiamini kwa kuwa umechagua kwa hiari,ruhusu wenzako wawe na hiari pia.
 
Inakuwaje asiyechanjwa ndo anafanya variants mpya zizaliwe? Explain the biology pls. It makes more sense to me that waliochanjwa ndo wanatuletea variants mpya, kama ambavyo mtu anatumia ma antibiotics muda mrefu Hadi bacteria anti resistant wanazaliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…