Hata Mimi sikuelewa hii lugha ya wasiochanjwa wanazalisha new variants.Inakuwaje asiyechanjwa ndo anafanya variants mpya zizaliwe? Explain the biology pls. It makes more sense to me that waliochanjwa ndo wanatuletea variants mpya, kama ambavyo mtu anatumia ma antibiotics muda mrefu Hadi bacteria anti resistant wanazaliwa
Africa tunaweza kuishi bila hao jamaa ila wao hawawezi. They need us more than how we need them. Enzi za ujima tunaweza kuzirudia na wao wabaki na GMOs zao siye tutakula ubuyu. Ila hatuchanji.Kirusi kipya kikali kimeibuka huko SA. Nchi nyingi zimepiga marufuku safari za wanaotoka Africa, hasa huku kusini.
Kwa kiasi kikubwa Variants hizi hatari huzaliwa ndani ya wale ambao hawajachanja. Ili kupambana na korona kikamilifu inatakiwa wote wachanjwe, kuchanja kuwe lazima. Bila ya hivyo, wale ambao hawajachanja watafanya variants zizaliwe ambazo hazisikii hata chanjo zilizopo.
Kuchanja kunatakiwa kuwa lazima.
Nilikuwa najiuliza sana. Huyu ambaye hajachanja lakini pia ana afya njema tuu.... Mwili wake unatengenezaje such a virulent variant ??Kwa jinsi ulivyoeleza ni kama vile huelewi, sasa hiki kirusi kitabalikaje kwenye mwili wa mtu ambae hajachanja. Yana hujaweka dawa ya kupambana nacha then ghafla kitengeneze aina mpya tena ya virus.
Yaan kila nikiandika tusi nafuta sijaona linalokufaa kwa usahihi.Kirusi kipya kikali kimeibuka huko SA. Nchi nyingi zimepiga marufuku safari za wanaotoka Africa, hasa huku kusini.
Kwa kiasi kikubwa Variants hizi hatari huzaliwa ndani ya wale ambao hawajachanja. Ili kupambana na korona kikamilifu inatakiwa wote wachanjwe, kuchanja kuwe lazima. Bila ya hivyo, wale ambao hawajachanja watafanya variants zizaliwe ambazo hazisikii hata chanjo zilizopo.
Kuchanja kunatakiwa kuwa lazima.
Ni kinyume chake.Africa tunaweza kuishi bila hao jamaa ila wao hawawezi. They need us more than how we need them. Enzi za ujima tunaweza kuzirudia na wao wabaki na GMOs zao siye tutakula ubuyu. Ila hatuchanji.
Kabla ya kutuletea ma BOEING miaka 60 iliyopita tulikuwa hatuendi ulaya siye, watuache wao na masuria wao.
Kipya kinatokana vp na asiechanja km tu chazamani kimegwaya? wasiochanja si mlisema watakufa na kuokotwa mitaani?Hiari yao inahatarisha wengine. Unaifahamu hospitali ya kibong'oto? Kule huwekwa wagonjwa wenye TB sugu, lengo ni ili wasiambukize wengine. Hawapewi eti hiari ya waishi watakavyo huku wakihatarisha wengine.
Ndivyo ilivyo kwa wasiochanja, ni kiwanda cha kuzalisha virusi vipya kilichoachwa kuvisambaza.
Cha ajabu waliochanja wana kimuhemuhe kinoma..wasio chanja wala hawana habar..ndo ujue agenda ni kubwa sana"Sio kazi ya asiyechanja kumlinda aliyechanjwa,ni kazi ya chanjo kumlinda aliyechanja" ukichanjwa ukae kimya usisumbue wasiochanja. Jiamini kwa kuwa umechagua kwa hiari,ruhusu wenzako wawe na hiari pia.
Usiochanja unasambaza gonjwa kwa haraka sana kwa wasiochanja wenzio,kirusi kinajibadili kinakwenda kuwatibua hata walio chanja"Sio kazi ya asiyechanja kumlinda aliyechanjwa,ni kazi ya chanjo kumlinda aliyechanja" ukichanjwa ukae kimya usisumbue wasiochanja. Jiamini kwa kuwa umechagua kwa hiari,ruhusu wenzako wawe na hiari pia.
Kwa nini unafananisha wasiochanjwa na wagonjwa?Kusema chanjo ni hiari ni sawa na kusema mgonjwa wa kipindupindu ana haki ya kukaa kambini au kuendelea na mambo yake. Au wagonjwa wa ukoma wajichanganye na watu kawaida. Kwanini chanjo ya manjano siyo hiari kwa wanaotaka kusafiri? Suala la kusema chanjo ni hiari ni habari za kisiasa.
Hapa plan B way forward ni kusubiri chanjo mpya aku kuangalia kati ya chanjo zilizopo ambayo ni effective kwa hiki kirusi kipya na kufanya kuchoma iwe lazima. Ni muhimu pia tukapata uwezo wa kuzalisha chanjo, hata hizo kopi za wazungu.
Ipo namna hii mkuu. Kwanza ufahamu kuwa kirusi kadri kinavyoendelea kujizalisha ndivyo kinavyojibadili. Kikipata tu mazingira ya kujizalisha na kujibadili kunatokea.Nilikuwa najiuliza sana. Huyu ambaye hajachanja lakini pia ana afya njema tuu.... Mwili wake unatengenezaje such a virulent variant ??
TB joshua alichanja,,Kwa nini unafananisha wasiochanjwa na wagonjwa?
Kama ushachanjwa amini kuwa kwa sasa upo na kinga ya kutosha.
Subiri chanjo mpya yaja usiwe na wasiwasi.