Tuliwaambia/Tunawaambia tena! Uongozi ni kipawa, Hayati Magufuli bado ni shujaa na atakuwa shujaa tuu!

Ondoka huko. Unakojoa kitandani. Kufika uchumi wa Kati sio kamari usema mshindi alipata wenge akamaliza. Sio hela ya kupewa ni mifumo inayokuw na kujishika ardhini vyema.


Amka ukafanye kazi Enzo yako ya bure imekata. Kama hujaweka akiba imekula kwako na utumoa kuliko uliowacheka.
 
Kinachonisikitisha ni kuanza kutunywesha maji ya visima huku wakifanya kalamu za kuzindua uchimbaji wa visima.

Nchi ya ajabu sana hii kweli Rais anakwenda zindua visima vya maji?? Kazi ya diwani anakwenda Rais ??[emoji23][emoji23][emoji1373][emoji1373]
 
 
Alikuwa anatengeneza Taifa la Wachuuzi...Mpuuzi yule

Wakati China ilifika huko na kuona ni dira ya kipumbavu....na kuamua kutengeneza wasomi ambao wameligeuza taifa la kuwa la wazalishaji badala ya kuchuuza bidhaa za kutoka Taiwan na Japan zilizokuwa zinazalisha bidhaa za nchi za magharibi..
Yeye akaona tuwe wachuuzi wa bidhaa hafifu za kichina....
 
Dah! Panya road usiwaseme ndugu yangu. Juzi usiku wa saa moka mbili jirani yangu kawavurusha kwa marisasi wakiwa zaidi ya kumi!
 
Huwa nawaambia watu siku zote"Kipawa Cha uongozi siyo makalio kwamba kila mtu anayo" na ndiyo maana ukienda Israel huwa wanaheshimu sana kabila lenye watu wenye vipawa vya kuongoza.
Ambalo ni kabila gani hilo?
 
It is always green on the other side,
Magu alikua rais alaaaar!
Namkumbuka Sana,pumzika shujaa.
 
Serikali ikipika takwimu zake inaweza kuonekana ina uchumi imara lakini siyo kweli. Kama serikali ilidanganya wazi wazi kwamba bongo hakuna corona wakati nchi jirani zina corona, basi jua wanaweza kudanganya hata kwenye takwimu za uchumi. Hata enzi za Nyerere walidanganywa kuhusu hali ya uchumi wakati kila mtu anaona maisha ugumu. Ndiyo Wajamaa jinsi walivyo. Ni waongo na matapeli.
 
Kuliongezea taifa madeni makubwa nao ni ushujaa??
 
Mwandikie Barua......
 
Jpm hakufaa hata kuwa mkuu wa wilaya
 
Sawa kabisaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…