greenwoods
JF-Expert Member
- Sep 21, 2020
- 2,328
- 3,955
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kinachonisikitisha ni kuanza kutunywesha maji ya visima huku wakifanya kalamu za kuzindua uchimbaji wa visima.
Kwa nini tulifikia uchumi wa kati mdogo Kabla ya lengo halisi la serikali?
Malengo ya Serikali yake wakati wa uhai wake, ilikuwa tufikie uchumi wa kati 2022, lakini cha ajabu, Taifa lilifikia uchumi wa kati 2020 mapema kabisa, mbali na Dunia kuwa kwenye msukosuko wa Covd, lakini hakikuharibika kitu
Sera moja wapo ambayo nimeendelea kuikubali, ni Sera nzuri ya kuhakikisha kila mtanzania anakuwa mzalishaji!
Mfano,
Wamachinga kuendelea kufanya Kazi zao bila bughuza yoyote, hii inalifanya taifa kuwa na watu wenye uwezo wa kuzalisha na kuwa na kipato chao wenyewe na kumiliki uchumi wao,
Wachimbaji wadogowago kufanya Kazi zao za uchimbaji bila kubughudhiwa, hii pia inaangukia kwenye umilki wa uchumi wa mtu mmojammoja, tofauti na kuwa na watu wachache wanaomiliki uchumi na watu wengi kutegemea kuajiriwa
Wakulima pia kupewa motisha, mfano, kufutiwa ushuru mbambali wa mazao zisizo na maana kwao hata Kwa serikali, hii inawafanya wao wakulima kuendelea kuzalisha mazao Kwa wingi!
Umetimua wamachinga na mama Ntilie, unategemea kuona uchumi wa mtu mmojammoja ukiimarika kweli?.. Kuwatengenezea mazingira bora wamachinga ni suala zuri, lakini kitendo cha kuwatimua Kabla ya kuwandalia mazingira bora ya kufanyia biashara zao, ni kuuwa uchumi wao!
Badala yake, vijana wengi wamerudi mitaani na wasijue kazi ipi wafanye, matokeo yake tunaona kundi kubwa la panya load likiongezeka Kwa Kasi na ukabaji vichochoroni!
Tengeneza Sera bora za kila mtu awe mzalishaji na sio tegemezi,
Kwani kura umeanza kuibiwa 2020 acha upimbi kenge wewe kila siku wizi wizi, upinzani umelia kuibiwa kula tokea 1995.
Sent from my TECNO CD7 using JamiiForums mobile app
Dah! Panya road usiwaseme ndugu yangu. Juzi usiku wa saa moka mbili jirani yangu kawavurusha kwa marisasi wakiwa zaidi ya kumi!Kwa nini tulifikia uchumi wa kati mdogo Kabla ya lengo halisi la serikali?
Malengo ya Serikali yake wakati wa uhai wake, ilikuwa tufikie uchumi wa kati 2022, lakini cha ajabu, Taifa lilifikia uchumi wa kati 2020 mapema kabisa, mbali na Dunia kuwa kwenye msukosuko wa Covd, lakini hakikuharibika kitu
Sera moja wapo ambayo nimeendelea kuikubali, ni Sera nzuri ya kuhakikisha kila mtanzania anakuwa mzalishaji!
Mfano,
Wamachinga kuendelea kufanya Kazi zao bila bughuza yoyote, hii inalifanya taifa kuwa na watu wenye uwezo wa kuzalisha na kuwa na kipato chao wenyewe na kumiliki uchumi wao,
Wachimbaji wadogowago kufanya Kazi zao za uchimbaji bila kubughudhiwa, hii pia inaangukia kwenye umilki wa uchumi wa mtu mmojammoja, tofauti na kuwa na watu wachache wanaomiliki uchumi na watu wengi kutegemea kuajiriwa
Wakulima pia kupewa motisha, mfano, kufutiwa ushuru mbambali wa mazao zisizo na maana kwao hata Kwa serikali, hii inawafanya wao wakulima kuendelea kuzalisha mazao Kwa wingi!
Umetimua wamachinga na mama Ntilie, unategemea kuona uchumi wa mtu mmojammoja ukiimarika kweli?.. Kuwatengenezea mazingira bora wamachinga ni suala zuri, lakini kitendo cha kuwatimua Kabla ya kuwandalia mazingira bora ya kufanyia biashara zao, ni kuuwa uchumi wao!
Badala yake, vijana wengi wamerudi mitaani na wasijue kazi ipi wafanye, matokeo yake tunaona kundi kubwa la panya load likiongezeka Kwa Kasi na ukabaji vichochoroni!
Tengeneza Sera bora za kila mtu awe mzalishaji na sio tegemezi,
Mashindano yawe yenye tija, syo mashindano ya kuua demokrasia, uhuru,uuaji,utesaji, unyanganyi na ubaguzi.Mashindano ni mazuri sana mkuu kiutafutaji!
Jina jinga, TRA mapato yamepata hadi 2trilion kwa mwezi ukilinganisha na enzi za sheitwaaaniTRA hali mbaya sana mkuu kadri siku zinavyokwenda na mapato yanazidi kushuka.
Kwani kura umeanza kuibiwa 2020 acha upimbi kenge wewe kila siku wizi wizi, upinzani umelia kuibiwa kula tokea 1995.
Sent from my TECNO CD7 using JamiiForums mobile app
Ambalo ni kabila gani hilo?Huwa nawaambia watu siku zote"Kipawa Cha uongozi siyo makalio kwamba kila mtu anayo" na ndiyo maana ukienda Israel huwa wanaheshimu sana kabila lenye watu wenye vipawa vya kuongoza.
Mzimu wa JPM unatutesa sanaa.
Maana mzee alikuwa anajua Takwimu za kila kitu mpaka na Mifugo.
Jina jinga, TRA mapato yamepata hadi 2trilion kwa mwezi ukilinganisha na enzi za sheitwaaani
Kuliongezea taifa madeni makubwa nao ni ushujaa??Kwa nini tulifikia uchumi wa kati mdogo Kabla ya lengo halisi la serikali?
Malengo ya Serikali yake wakati wa uhai wake, ilikuwa tufikie uchumi wa kati 2022, lakini cha ajabu, Taifa lilifikia uchumi wa kati 2020 mapema kabisa, mbali na Dunia kuwa kwenye msukosuko wa Covd, lakini hakikuharibika kitu
Sera moja wapo ambayo nimeendelea kuikubali, ni Sera nzuri ya kuhakikisha kila mtanzania anakuwa mzalishaji!
Mfano,
Wamachinga kuendelea kufanya Kazi zao bila bughuza yoyote, hii inalifanya taifa kuwa na watu wenye uwezo wa kuzalisha na kuwa na kipato chao wenyewe na kumiliki uchumi wao,
Wachimbaji wadogowago kufanya Kazi zao za uchimbaji bila kubughudhiwa, hii pia inaangukia kwenye umilki wa uchumi wa mtu mmojammoja, tofauti na kuwa na watu wachache wanaomiliki uchumi na watu wengi kutegemea kuajiriwa
Wakulima pia kupewa motisha, mfano, kufutiwa ushuru mbambali wa mazao zisizo na maana kwao hata Kwa serikali, hii inawafanya wao wakulima kuendelea kuzalisha mazao Kwa wingi!
Umetimua wamachinga na mama Ntilie, unategemea kuona uchumi wa mtu mmojammoja ukiimarika kweli?.. Kuwatengenezea mazingira bora wamachinga ni suala zuri, lakini kitendo cha kuwatimua Kabla ya kuwandalia mazingira bora ya kufanyia biashara zao, ni kuuwa uchumi wao!
Badala yake, vijana wengi wamerudi mitaani na wasijue kazi ipi wafanye, matokeo yake tunaona kundi kubwa la panya load likiongezeka Kwa Kasi na ukabaji vichochoroni!
Tengeneza Sera bora za kila mtu awe mzalishaji na sio tegemezi,
Mwandikie Barua......Mzimu wa JPM unatutesa sanaa.
Maana mzee alikuwa anajua Takwimu za kila kitu mpaka na Mifugo.
Ila sasa hata kujua mapato ya TRA kwa mwezi hakuna.
Hatakujua tuu kule migodini mapato yake hakuna.
Hata kule Bandari kujua madudu hakuna.
Sasa kila mtu anakula na kusepa.
Maana hakuna anae jua kitu chochote
Jpm hakufaa hata kuwa mkuu wa wilayaKwa nini tulifikia uchumi wa kati mdogo Kabla ya lengo halisi la serikali?
Malengo ya Serikali yake wakati wa uhai wake, ilikuwa tufikie uchumi wa kati 2022, lakini cha ajabu, Taifa lilifikia uchumi wa kati 2020 mapema kabisa, mbali na Dunia kuwa kwenye msukosuko wa Covd, lakini hakikuharibika kitu
Sera moja wapo ambayo nimeendelea kuikubali, ni Sera nzuri ya kuhakikisha kila mtanzania anakuwa mzalishaji!
Mfano,
Wamachinga kuendelea kufanya Kazi zao bila bughuza yoyote, hii inalifanya taifa kuwa na watu wenye uwezo wa kuzalisha na kuwa na kipato chao wenyewe na kumiliki uchumi wao,
Wachimbaji wadogowago kufanya Kazi zao za uchimbaji bila kubughudhiwa, hii pia inaangukia kwenye umilki wa uchumi wa mtu mmojammoja, tofauti na kuwa na watu wachache wanaomiliki uchumi na watu wengi kutegemea kuajiriwa
Wakulima pia kupewa motisha, mfano, kufutiwa ushuru mbambali wa mazao zisizo na maana kwao hata Kwa serikali, hii inawafanya wao wakulima kuendelea kuzalisha mazao Kwa wingi!
Umetimua wamachinga na mama Ntilie, unategemea kuona uchumi wa mtu mmojammoja ukiimarika kweli?.. Kuwatengenezea mazingira bora wamachinga ni suala zuri, lakini kitendo cha kuwatimua Kabla ya kuwandalia mazingira bora ya kufanyia biashara zao, ni kuuwa uchumi wao!
Badala yake, vijana wengi wamerudi mitaani na wasijue kazi ipi wafanye, matokeo yake tunaona kundi kubwa la panya load likiongezeka Kwa Kasi na ukabaji vichochoroni!
Tengeneza Sera bora za kila mtu awe mzalishaji na sio tegemezi,
Sawa kabisaaaaKwa nini tulifikia uchumi wa kati mdogo Kabla ya lengo halisi la serikali?