Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 7,681
- 9,892
Yemen anawabisha Israel wanao jidai wana technology ya hali ya juu kugundua Missiles kabla hazijafika kwao. 2000 KM kutoka Yemen missile imepenya bila kuguswa. Hio missile ni moja tu Yemen ametest kabla ya kuleta mvua.Yaan nyie watu bhana Israel akijibu mnalaum umoja wa mataifa wameshindwa kumaliza vita
napenda ngoma iende mguu kwa mguu...wateule wa mchongo a.k.a mashoga heavy weight wataomba po tuHayo mliosema Yemen hata jibu mko wapi, huko Israel kunawaka moto. Missiles za Al Houth zimeisha fika Central Israel na bado watajuta, wanafatwa kwa miguu safari hii.
View: https://youtu.be/dIWXyXTnj3k?si=YrLy3AD2WsCCrH67
Tela Aviv watasema zime land kwenye empty spaces kama kawaida yao 😄
Imefika 6km karibu ya Air port ya Ben Gurion Air port hakuna hata Rada ya Israel imeiona imetembea 2000km kwa dakika 15 tu kutoka Yemen.
View: https://youtu.be/rq0FwQRyf78?si=cMwLbRQcUUUJ12vp
Siri inanza kuvuja mara missile imepiga empty space mara watano wameumia walikuwa wanakimbia kujificha kwenye bunker 😄Takbiiirrr.......Shia fanyeni mambo
Vipi ngoma ikienda uso kwa uso hakuna mtu kukimbilia nyuma ya migongo ya wanawake na watoto. Hapo vipi jamaanapenda ngoma iende mguu kwa mguu...wateule wa mchongo a.k.a mashoga heavy weight wataomba po tu
Hahaha Israel hawawezi vita ya uso kwa uso hata siku moja.Vipi ngoma ikienda uso kwa uso hakuna mtu kukimbilia nyuma ya migongo ya wanawake na watoto. Hapo vipi jamaa
Sasa mbona hamas anakimbilia nyuma ya migongo ya wanawake na watoto na kwenye kambi za wakimbizi, hospitali na mashuleni. Nafikiri hamas angepigana hadharani na sio kwenye migongo ya civilians hii vita ingekuwa imeisha muda sana na mshindi angeshajulikana na mshindwa asingeomba vita tena.Hahaha Israel hawawezi vita ya uso kwa uso hata siku moja.
Kitu kikubwa ni kisasi kitalipwa. hili ndilo la kuzingtiaKumbukeni mara ya mwisho drone moja ilisababisha bandari kulipuliwa.
Leo mmetuma BM lazima muwashiwe moto, Israel haachi kipoe
Yaan nyie watu bhana Israel akijibu mnalaum umoja wa mataifa wameshindwa kumaliza vita
Kama vita na mgambo hadi wameishiwa wanajeshi ,hawawezi kituVipi ngoma ikienda uso kwa uso hakuna mtu kukimbilia nyuma ya migongo ya wanawake na watoto. Hapo vipi jamaa