Sasa mbona hamas anakimbilia nyuma ya migongo ya wanawake na watoto na kwenye kambi za wakimbizi, hospitali na mashuleni. Nafikiri hamas angepigana hadharani na sio kwenye migongo ya civilians hii vita ingekuwa imeisha muda sana na mshindi angeshajulikana na mshindwa asingeomba vita tena.
Mbinu hii ameitumia baba yangu alikuwa akikuta watoto wawili wanapigana anawapa uwanja mtwangane hadi mshindi anapatikana kweupeeeee baada ya hapo yule mshindwa anamwambia usimchokoze tena huyo aliyekupiga ama sivyo angekuuwa. Mbinu hii imefanya sisi watoto wake jumla tupo 22 nao wafahamu tunaheshimiana na hatuchokozani maana kila mmoja anaujua mziki wa mwenzake.