Tuliwambia Yemen ni moto Israel hawawezi hao

Soma mkuu utaelewa.
Anzia 1917 kuja hadi 1948.
Ndio nakuambia kulikuwepo na makundi ya kiarakati ya kiyahud na kiarabu wanaviziana kupigana ndio maana uingereza baada ya kuona hawez tena kuyacontrol alipeleka kesi un iamuliwe huko maana alishindwa amkabidhi nan nchi
 
Mkuu kuna mapigano ya kikabila ama kiasili kati ya wayahudi na waarabu na kuna uanzishwaji wa taifa la Israel.
Taifa la Israel halijaanzishwa kwa mapigano ama kwa vita,limeanzishwa kwa majadiliano yaliyochochewa na vurugu baina ya waarabu na wayahudi.
 
Hizo vurugu chanzo ninini na mpaka Israel afikie kutangaza taifa. Kwamba unataka kukataa Israel hawakuwa na kundi la migambo na waarabu nao hivyo hivyo na wote walikuwa wanapigana kila wakati. Tena Israel walikuwa na makund mawili. Ukiacha kundi Ben Gurion kuna kundi lingine nalo lilikuwa linaongozwa na jamaa jina limenitoka
 
Doh bro unanipa mashaka na uelewa wako.
Israel haikutangazwa kwa kumwagwa damu we jamaa!!
Ugomvi baina ya wayahudi na waarabu ulikua toka enzi na enzi.
Ila taifa la Israel halikuundwa kwa vita bali kwa resolutions tatu zilizofanyika.
Embu nitajie vita gani hiyo alopigana Israel ikapelekea kuleta uhuru wa taifa la Israel!??
Nasubiri nipe jibu mkuu.
 
Back
Top Bottom