Tuliwambia Yemen ni moto Israel hawawezi hao

The Houth's are pushing very hard to become another Gaza same like Hizbullah soon they'll get what they deserve.
 
USA na wenzake ndio wanamuokoa huyo myahudi wako.
Akizidiwa wao hutumia mwamvuli wa UN kumtetea.
Mwenzio alishakuwah yupo kila mahali. Kwa kukusaidia ni kuwa vita vinapiganwa kwanza mezan then ndio watu wanaenda front wakiwa washamaliza mchezo. Mashariki ya kati yote ulaya America na hata urusi na ukorofi wote jews wameweka watu kwenye system kila mahali. We baki ukipigana vita ya mwaka wa 47 utegemee ushindi.
 
Pole yako😂😂😂😂.
Acha kukariri conspiracy kichwani.
Israel huwa inaanzaga fujo ila ikifikia hatua inakwama wanakimbilia Washington DC.
Russia itoe,Israel haiwezi jihusisha na Russia and vice versa.
Na ikatokea Israel akajichanganya kwa Russia amekwisha,atapigika hakuna wa kumsaidia.
 
Sio inakimbilia bab jiongeze. Maeneo yote muhim ndan ya moyo wa marekan yanaongozwa na jews ni suala kwamba tumezidiwa hapa toa tamko. Hilo taifa limeanzishwa kwa vita so kwao ili waishi lazima wapigane na ili washinde lazima wahakikishe wako kwenye kila mfumo wenye maamuzi ya mwisho hapa dunian. Juz kati kwa kuitumia marekan wamefanya maelewano na waarabu karibu wote walikuwa wanamalizia na Saudi Arabia ndio nitolee. Sasa wewe baki na stor za kanga wenzio walishakuwah mbali mno. Juz umeona walichowafanyia hezbollah. Wameua mfumo wote wa mawasiliano then wakaua commanding Chen yote then ndio wakaazisha kipondo. So kwasasa hezbollah haina mfumo rasmi wa mawasiliano wa kuwasiliana ndio maana pampja na kuwa na silah nying wameshindwa kutoa kipondo kinavyotakiwa kwasababu wamekatiwa ni mtu awe front na maamuzi alipue tu kombora lakin kusema oder itoke kwa nani imeshakatika.
 
Hayo mliosema Yemen hata jibu mko wapi, huko Israel kunawaka moto. Missiles za Al Houth zimeisha fika Central Israel na bado watajuta, wanafatwa kwa miguu safari hii.

View: https://youtu.be/dIWXyXTnj3k?si=YrLy3AD2WsCCrH67

Tela Aviv watasema zime land kwenye empty spaces kama kawaida yao 😄

Imefika 6km karibu ya Air port ya Ben Gurion Air port hakuna hata Rada ya Israel imeiona imetembea 2000km kwa dakika 15 tu kutoka Yemen.

View: https://youtu.be/rq0FwQRyf78?si=cMwLbRQcUUUJ12vp

Israel ni kama Yanga hapa nchini haipewi heshima yake inayostahili.
 
Sio inakimbilia bab jiongeze. Maeneo yote muhim ndan ya moyo wa marekan yanaongozwa na jews ni suala kwamba tumezidiwa hapa toa tamko. Hilo taifa limeanzishwa kwa vita so kwao ili waishi lazima wapigane na ili washinde lazima wahakikishe wako kwenye kila mfumo wenye maamuzi ya mwisho hapa dunian. Juz kati kwa kuitumia marekan wamefanya maelewano na waarabu karibu wote walikuwa wanamalizia na Saudi Arabia ndio nitolee. Sasa wewe baki na stor za kanga wenzio walishakuwah mbali mno. Juz umeona walichowafanyia hezbollah. Wameua mfumo wote wa mawasiliano then wakaua commanding Chen yote then ndio wakaazisha kipondo. So kwasasa hezbollah haina mfumo rasmi wa mawasiliano wa kuwasiliana ndio maana pampja na kuwa na silah nying wameshindwa kutoa kipondo kinavyotakiwa kwasababu wamekatiwa ni mtu awe front na maamuzi alipue tu kombora lakin kusema oder itoke kwa nani imeshakatika.
Usikanganye taarifa.
USA mifumo yake haiongozwi na jews BIG NO.
Bali kuna mutual interests baina ya Israel na USA.
Na hilo taifa la Israel halikuanzishwa kwa vita bali mipaka yake iliongezwa kwa vita, usikanganye taarifa.
Na sasa hivi Israel ishaanza kupoteza influence duniani kupitia USA.
Ndio maana safari hii unaiona Israel ikiwa imepatwa na majanga mengi kuliko awali.
Yeye kakimbilia kwa USA waarabu wamekimbilia kwa Russia na China.
Kumekua na balance of power.
Unadhani hiyo Houthi kuifunga red sea imefanya yenyewe tu pasi na kuwa na usaidizi wa wenye nguvu!?
Unadhani Hamas pesa za kujenga mahandaki mji mzima wa Gaza wamezichimba ardhini!?
Unadhani dunia nzima kumgeuka USA na kupiga kura dhidi ya Israel limetokea bure tu hivi hivi??
Hao kina Saudi Arabia wanafiki tu sio wa kuwaamini.
Hao na Egypt ndio waliounda Cairo Summit mwaka jana wakishirikiana na Qatar kuisema Israel kidiplomasia.
Kafuatilie Cairo Summit 2023 uone waarabu walivyoamka.
 
Kwamba Israeli haikuanzishwa kwa vita? Inatosha kujua najadiliana na mtoto hapa. Kwa kukusaidia urusi tangu day one wamekuwa upande wa waarabu na bado kipondo kikawepo tu kama kawaida. Na Russia kwa sasa wana makubaliano maalum na Israeli ndio maana kamuachia anajipigia hapo syria anavyotaka.
 
shehe ubwabwa acha propaganda ebu tuambie israel wamekufa wangapi kwa huo moto na lebanon wamshakufa wangapi?
 
Usikanganye taarifa.
USA mifumo yake haiongozwi na jews BIG NO.
Bali kuna mutual interests baina ya Israel na USA.
Na hilo taifa la Israel halikuanzishwa kwa vita bali mipaka yake iliongezwa kwa vita, usikanganye taarifa.
Na sasa hivi Israel ishaanza kupoteza influence duniani kupitia USA.
Ndio maana safari hii unaiona Israel ikiwa imepatwa na majanga mengi kuliko awali.
Yeye kakimbilia kwa USA waarabu wamekimbilia kwa Russia na China.
Kumekua na balance of power.
Unadhani hiyo Houthi kuifunga red sea imefanya yenyewe tu pasi na kuwa na usaidizi wa wenye nguvu!?
Unadhani Hamas pesa za kujenga mahandaki mji mzima wa Gaza wamezichimba ardhini!?
Unadhani dunia nzima kumgeuka USA na kupiga kura dhidi ya Israel limetokea bure tu hivi hivi??
Hao kina Saudi Arabia wanafiki tu sio wa kuwaamini.
Hao na Egypt ndio waliounda Cairo Summit mwaka jana wakishirikiana na Qatar kuisema Israel kidiplomasia.
Kafuatilie Cairo Summit 2023 uone waarabu walivyoamka.
kuanzia 6 days war israel yuko upande wa US na waarabu wako upande wa urusi
 
Kwamba Israeli haikuanzishwa kwa vita? Inatosha kujua najadiliana na mtoto hapa. Kwa kukusaidia urusi tangu day one wamekuwa upande wa waarabu na bado kipondo kikawepo tu kama kawaida. Na Russia kwa sasa wana makubaliano maalum na Israeli ndio maana kamuachia anajipigia hapo syria anavyotaka.
Kama hujui kitu uwe unanyamaza.
Baada ya Jerusalem revolution 1946 kufeli ambapo wayahudi walitaka kupindua British Palestine,Great Britain 1947 ilikaa na hao jamaa wawili na waarabu wengine mipaka ikachorwa ili kuundwe taifa la Israel.Ila resolution zilikua tatu ambapo mbili waarabu hawakukubaliana nazo ikiwemo moja ya Israel kupewa 56% ya eneo na Palestina 41% na 3% chini ya UNSC.
Mwaka huo huo 1947 Israel ilishatambulika kama taifa tayari.
1948 kilichofanyika ni expansion of zionism settlements kwa mapigano ili kuwakaribisha na wale waliotoka uhamiaji mataifa mengine.
Kama hujui kitu nyamaza.
*Hiyo Israel mara kibao imechezea kichapo,usifananishe miaka ile ya 1900s na miaka hii ya 2000s.
Unakumbuka 2006 Israel kilimkuta nini Bint Jubeir!??
*Israel na Russia HAWANA MAKUBALIANO HATA MAMOJA,hapo Syria wamegawana territory kati ya Russia na Iran.
Maeneo ambayo Israel anamshambulia ni yale ambayo Iran anayalinda kwa jeshi lake.
Ila hata siku moja hutosikia Israel akishambulia,aliwahi kujaribu 2021 alipoteza ndege mbili kwa kudunguliwa na S-300.
Juzi pia akajaribu kurusha makombora 13 kuelekea Tartus ambako kuna Russian navy base yote yakadunguliwa.
 
Mbona unajichanganya. Kumbe walipigana vikund vya jews na arabs ndio wakaenda kwenye kujadiliana sio?
 
Vikundi vya jews and arabs kiaje!?
Huo ukanda wote unaouona ulikua ukijulikana kama Palestina toka enzi za Ottoman.
Na UK alipoipora iliitwa hivyo hivyo Palestine lakini haikuwa koloni kamili bali lilikua ni mandatory state.
Achana na mapigano ya jews and arabs,mimi nazungumzia mapinduzi yaliyopangwa na jews wa Jerusalem kuipindua British Palestine mandate state ikiwa iko chini ya Great Britain.
Inamaana aliyetaka kupinduliwa ni UK 1946.
Mapinduzi yalipofeli UK akaamua kuiachia uhuru Palestina kwa kuvunjwa mataifa mawili ya Israel na Palestina 1947.
Ukisema Israel imeundwa kwa vita ni sawa useme ilipigana ikamwaga damu na kutangaza uhuru kwa vita.
That is a big NO.
 
Palestina ni jina la eneo ambapo ndani yake walikuwepo jews, arabs, druze, na Samaritan na beduins. So kilicholeta shida ni jews walitaka taifa lao alongside arabs wakati huo arabs hawakutaka so kila kikundi kilikuwa na wapiganaji wao kutetea ardhi. Waingereza walitafuta solutions ili wote waish kwa aman. Akabid awarudishie UN kwa solutions napo waarabu wakakataa. Waarabu wakisaidiwa na nchi so Israel akatangaza taifa. Na nchi za kiarabu kwa kuwasapoti waarabu wenzao wakaanzisha vita na Israel ikashindikana. Kusema kuwa taifa liliundwa in natural way sio kweli kila kikundi kilikuwa na makundi ya migambo wakigombea kutawala eneo. Shida ya hilo eneo ni ugomvi kugeuzwa wa kidini. Waislam wanawaunga mkono waarabu kwasababu ya uislam na jews wanaungwa mkono na mataifa ya western ambayo ni wakristo. Nothing more. Hapo Sudan waafrica wanauana kaka kuku ila watu wako kimya hapo congo wanauana watu wapo kimya. Kila siku Palestina na Israel tu upuuz mtupu.
 
The Houth's are pushing very hard to become another Gaza same like Hizbullah soon they'll get what they deserve.
USA and Saudi Arabia failed tu contain Houthi.
Who is Israel to contain them and with which ability!?
Mtu mzima na ndevu yamshinde wewe mtoto wa juzi uweze!?
 
Palestina ni jina la eneo ambapo ndani yake walikuwepo jews, arabs, druze, na Samaritan na beduins. So kilicholeta shida ni jews walitaka taifa lao alongside arabs wakati huo arabs hawakutaka so kila kikundi kilikuwa na wapiganaji wao kutetea ardhi. Waingereza walitafuta solutions ili wote waish kwa aman. Akabid awarudishie UN kwa solutions napo waarabu wakakataa. Waarabu wakisaidiwa na nchi so Israel akatangaza taifa. Na nchi za kiarabu kwa kuwasapoti waarabu wenzao wakaanzisha vita na Israel ikashindikana. Kusema kuwa taifa liliundwa in natural way sio kweli kila kikundi kilikuwa na makundi ya migambo wakigombea kutawala eneo. Shida ya hilo eneo ni ugomvi kugeuzwa wa kidini. Waislam wanawaunga mkono waarabu kwasababu ya uislam na jews wanaungwa mkono na mataifa ya western ambayo ni wakristo. Nothing more. Hapo Sudan waafrica wanauana kaka kuku ila watu wako kimya hapo congo wanauana watu wapo kimya. Kila siku Palestina na Israel tu upuuz mtupu.
Screenshot_2024-09-27-15-36-30-28_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
Screenshot_2024-09-27-15-36-36-32_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
Screenshot_2024-09-27-15-36-43-59_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
Screenshot_2024-09-27-15-36-59-42_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
 
Back
Top Bottom