Tuliwambia Yemen ni moto Israel hawawezi hao

Tuliwambia Yemen ni moto Israel hawawezi hao

Unajisumbua bure
Wewe ndio unajisumbua katika uislam Soma aya hii ujijue wanaomuamini Allah ni wajinga.
Quran 7:99 Kiarabu hapo down proof be honest Allah ni Taperi danganyifu ananjama (Makra)
Wanamuamini mpanga njama ni wajinga

أَفَأَمِنُوا۟ مَكْرَ ٱللَّهِ ۚ فَلَا يَأْمَنُ مَكْرَ ٱللَّهِ إِلَّا ٱلْقَوْمُ ٱلْخَٰسِرُونَ
 
Hakuna kitu nilicho badilisha na hakuna translations au kila translator akatafsiri sawa sawa na aliye tafsiri mwenzake, kitu muhimu neno atalo litumia lisiwe tofouti kwa mana na wenzake.
Wewe niwekee tofouti ya neno langu na hio tafsiri, afu tuwaulize watu wapi nimekosea. Nimeisha kueleza mawaidha siku zote ni kukumbishia, we kama unadhani mawaidha ni kuleta Story hazikuwepo, basi hayo sio mawaidha ni speech au ni mkutano wa siasa. Mana ya mawaidha dogo ni kuwakumbusha alicho ongea Mungu kwa njia za Mitume wake, na kuhimiza watu wafanye mazuri kwa kumkumbuka Mungu sana. Usidhani kama unavyo dhania kumkumbuka Mungu eti lazina uwe umemona. Ndio mana nikakuambia wewe ni story nyingi tu huna unalo lijua
Huwezi kukwepa kama hujamemorize Quran aya ipo clear kuwa utafufuliwa kipofu Period. and usiongezee kitu tena Allah na Mtume wenu hawajawaambia mfanye mazuri amewaambieni muwachukie Wasio waislam kwani ni adui za Allah.. Kichekesho Mtume wenu alisema Wayahudi na Wakristo na Sabian waabudu Nyota wataenda peponi pia hahaha.. hapa nimemaliza endelea kubishana na Quran na Allah. hata Aya zilizofuatia zinakutoa nishai unabishana na Allah
TAHA 20:126
He will say: So (it must be). Our revelations came unto thee but thou didst forget them. In like manner thou art forgotten this Day.
— M. Pickthall
(Mwenyezi Mungu) atasema: Ndivyo vivyo hivyo. Zilikufikia ishara zetu, nawe ukazisahau; na kadhaalika leo unasahauliwa.
— Ali Muhsin Al-Barwani
Nimeisha kueleza mimi huwa situmii translations za Google kama wewe, lakini nilicho ongea wewe nionyeshe wapi kiko tofouti na hio Google translations 😄
Nishakujibu pale umesema ukimsahau Mungu wakati katika aya Hamna hiyo kitu zaidi ya kusahau aya unayodai remembrace kasome tena acha kupoteza nguvu zako zitunze mabikira wengi jennah au kule bazaar kwenye picha za wanaume na wanawake uki desire una ingia humo kukidhi haja zako.
20:125
Na atakaye jiepusha na mawaidha yangu, basi kwa yakini atapata maisha yenye dhiki, na Siku ya Kiyama tutamfufua hali ya kuwa kipofu.
— Ali Muhsin Al-Barwani

Vipi sielewi mimi lipi nisilo lielewa? Wewe una nilazimisha mimi nikubaliane na ujinga wako 😆 Aliye kuambia Allah anajua lugha moja tu ni nani? Kwa hio bibilia zilishushwa kwa lugha ipi? Kisukuma.
Allah yes anajua kiarabu pekee ukifanya salat kwa Kiswahili Allah ana elewa? kwanza Allah ana matatizo ya kusikia hadi ashuke Mbingu ya chini third party of the night everyday so swala zenu hasikii asubuhi wala mchana wala jioni mnapoteza energy zenu tu.
Sahih Hadith The Book of Prayer - Travellers
: Sahih Muslim 758b
In-book reference: Book 6, Hadith 202
USC-MSA web (English) reference: Book 4, Hadith 165


Abu Huraira reported Allah's Messenger (ﷺ) as saying:
Allah descends every night to the lowest heaven when one-third of the first part of the night is over and says: I am the Lord; I am the Lord: who is there to supplicate Me so that I answer him? Who is there to beg of Me so that I grant him? Who is there to beg forgiveness from Me so that I forgive him? He continues like this till the day breaks.
وَحَدَّثَنَا قُتَيْبَةُ بْنُ سَعِيدٍ، حَدَّثَنَا يَعْقُوبُ، - وَهُوَ ابْنُ عَبْدِ الرَّحْمَنِ الْقَارِيُّ - عَنْ سُهَيْلِ بْنِ أَبِي صَالِحٍ، عَنْ أَبِيهِ، عَنْ أَبِي هُرَيْرَةَ، عَنْ رَسُولِ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم قَالَ ‏"‏ يَنْزِلُ اللَّهُ إِلَى السَّمَاءِ الدُّنْيَا كُلَّ لَيْلَةٍ حِينَ يَمْضِي ثُلُثُ اللَّيْلِ الأَوَّلُ فَيَقُولُ أَنَا الْمَلِكُ أَنَا الْمَلِكُ مَنْ ذَا الَّذِي يَدْعُونِي فَأَسْتَجِيبَ لَهُ مَنْ ذَا الَّذِي يَسْأَلُنِي فَأُعْطِيَهُ مَنْ ذَا الَّذِي يَسْتَغْفِرُنِي فَأَغْفِرَ لَهُ فَلاَ يَزَالُ كَذَلِكَ حَتَّى يُضِيءَ الْفَجْرُ ‏"‏ ‏.‏



Unapo ongea uwe una dalili nani aliye pandwa na wazimu, kwa hio nauliza kwanini Yesu walitaka kumua si kuna wengine walimuona ni muongo, Wewe na bibilia zenu mnawazulia Mitume wa Mungu wa zinifu mtawacha wazulia wengine vichaa 😄
Nani ana mzulia mtume wenu uzinifu wakati aya ndio zimeandika afanye uzinifu kwa mateka,wake za watu n.k hadi mke wa mwanae wa kufukia is it Mtume wa Mungu hebu jiulize au mtume wa Sex Quran 33:50
Usitusingizie sisi ni Allah ndie ameandika kwenye Quran hahaha
Sio kila hadithi ni kweli ndio mana watoto wadogo hata wewe utoto wako mama yako au bibi zako, walikuambia hadithi njoo na uwongo kolea, na ukristo ni uwongo ulio kolea. Nyie hata Yesu mna mlazimisha kuwa ni Mungu alisha wambia yeye sio Mungu na bado tu mnamuona muongo 😄
Allah ndie kasema there is no God but Allah we agree kwa hilo.. nakushangaa according to Quran Ukristo ufuasi wa Yesu ni aliuanzisha Allah
Wewe tatizo lako unadhani kila anaye fanya translations lazima akubaliane na wewe, na sio kila translations aliye translate yuko sawa 💯 na wenzake. Afu we weka hizo translations unazo sema ni jokes tuone ni kweli unacho ongea, au ni story kama unavyo nilazimisha mimi nimekosea,kwa kusema Kumkumbuka Mungu sio moja wapo ni katika Mawaidha.
Download Quran app and one by one aliyotafsir Barwan na aliyotafsir Abdullah


Yesu hakuwahi kujita Mungu na kama alijita Mungu basi yeye atakuwa Shetani, hana tofouti na kina Firauni na Namrut. Punguzeni uwongo kuna sehemu nyingi sana Yesu anawambia yeye katumwa. Anakusudia ni Mtume hakuwahi kuwambia watu, yeye kwa mdomo wake mimi ni Mungu niabudini, wapi kasema vile huna, kwa hio punguza longo longo hapa
Kuhusu Yesu ni Mungu tushakufundisha ila bichwalako ni kopo utajifunza ukikua. hapa nishamaliza
Wewe si umesema mana ya Holly mtu hana dhambi, nikakueleza hata Malaika pia hawana dhambi, ukabisha au sio wewe 😄
Malaika sio watu
Sa kusema Holly Son mtoto asiye kuwa na dhambi kwa hio kwa akili yako wale Malaika wasi na dhambi na wao ni miungu kama Yesu, hahaha we kweli hazikutoshi.
Quran ndio imeandika Holly son so Mwandishi wa Quran ndie Mjinga
Nimeisha kuekeza wewe unajikan'yaga afu tukikunasa unabadilisha point. Afu tunakupiga hapo hapo na point ulio leta. Unaona umeleta mwenyewe ile point ya Holly mtu hana dhambi sa na kuliza Gabriel ana dhambi au hana?
nilishakujibu kuna malaika walioasi na wasio asi Gabriel hajawahi kuasi.. katika Uislam Malaika wote sio Holly kwani Allah aliwa accuse kwa udanganyifu walipokuwa na Adam kuhusu majina ya viumbe
Alisema nimetumwa kwa Wayahudi tena walio potea sio wote wale makondoo tu Hizo point zingine ni Paulo aliota chini ya mkunazi wakati yuko njia panda 😄
Nilishamaliza siku za nyuma kuhusu Paulo ni mtume wa Yesu so alitumwa unataka tena Aya maana Muslim kila siku anauliza same swali umekuwa trained for a certain question hata mkijibiwa mnauliza na wengine kila siku. Paulo ni Mtume katika Quran kama unamkubali Yohana au Yahya au unamkataa Paulo kama hujui anaitwa Bulus kiarabu

Yohana na peter na Paulo Mitume wa Jesus Quran 36:14
We sent them two messengers, but they rejected both. So We reinforced ˹the two˺ with a third, and they declared, “We have indeed been sent to you ˹as messengers˺.”
— Dr. Mustafa Khattab,
Sa kuna Messenger ni Mungu 🙄
Sasa ishara zote ni from nani? Unaamini Isaya aliyesema atakuja Emmanuel yaani Mungu pamoja nasi.. Mungu ndie Prophet mwenyewe anayejua nini kitatokea. Allah hajui kitu hata Mudy alipoiba chupi ya wizi genge la majambazi wenzake Mudy wakamtuhumu eti Aya ikashuka kuwa sio kwa mtume wa allah kuiba ila siku ya kiama atasema aliyeiba na atapata adhabu.. fake one.
na nimekuliza Mungu ana riho ngapi,
He is almight anajua yeye but us we have notice Roho yake ipo na inaweza kwenda popote
na hujibu, Yesu ana roho ngapi mbona hujibu, na kuna Word kumbe ni Mungu hi kali aisay
Yesu in human form same roho iliyokuwa ndani yake, word katika uislam nimekupa aya kwakuwa unaogopa Quran unajitoa ufahamu.. usishangae even mtume wenu alikuwa akikwama na kuchanganyikiwa akaambiwa waulize watu wa Kitabu
Nilikuambia bibilia zenu zina jibu hutaki kuangalia una ona aibu?
nilikujibu ila kwakuwa ni wewe ni fake muslim huwezi elewa ukakubali ndio maana nakufundisha kwenye quran uone upumbavu wa Quran ndipo nitakuleta kwenye bible. mimi sina aibu
The Holy Spirit ni Gabriel
labda kwenu kwetu ni Malaika tu
na Holy Ghost ni nani dogo ,
Roho wa Mungu Yesu alipobatizwa akaja roho wa Mungu pamoja nae
haha si we unadhani translations zote lazima ziwe sawa hahaha Hebu basi tazama Yalkut Exodus; Sot. 12b). Hmm, hamsemi pia kuwa kulikuwa kuna The Holy Spirit in Exodus, too? au nasema uwongo? Ni nani huyo.
soma juu
Qur'an inasema nini kuhusu The Holy Spirit jibu: God says in Qur'an: 16:102

The Holy Spirit has brought the Revelation

with the Truth step by step from your Lord, to strengthen the believers and as guidance and good news to the muslims.
Contradiction Quran imeletwa na adui wake Jibreel Quran 2:97
Sema: Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha Qur'ani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini.
— Ali Muhsin Al-Barwani

So ni shetani uthibitisho Quran imeletwa na iblis and Mudy ni false Messenger.
And Quran haina good news wala good guideness and elewa Good news ni injil only ya JESUS
Roho takatifu = Gabrieli, hiyo malaika anayemtumikia Mungu na kupitia huyu Malaika Gabriel, Mungu alituma ufunuo kwa manabii wake.
According to muslim Jibril ana Physical body alipomtokea Mariam and katika Quran Allah alipulizia roho yake kwa Adam na Maryam pekee kwahiyo unamaanisha Gabriel aliingia ndani ya body ya Adam na pia aliingia ndani ya Body ya Mariam with his physical body? Ukisoma aya zinasema after Adam kila kitu kimezaliwa kwa sexual na shahawa sasa Isa amezaliwa kwa shahawa za nani? Allah au Jibril? and Isa ni Binadamu hajatokana na shahawa za binadamu, uislam unasema muwaite kwa ubini wa baba zao Quran 33:5 so Yesu mnamuita kwa ubini wa Baba yake?
Sijui kwa nini unaleta story za uwongo. Hizo hizo bibilia zenu zina sema waziwazi Mungu ni mmoja na hawezi kuunganisha Mungu na chochote.
Yah Mungu ndie huyo huyo Jesus it about to turn to human form for sometimes ni almighty
Kitabu cha Agano la Kale cha Kumbukumbu la Torati sura ya. 6 mst.4 Musa anasema “Bwana Mungu wetu ni Bwana mmoja” Kitabu cha Isaya sura ya 43 mst. bwana wala hakuna mwingine. pia kitabu cha Isaya sura ya 45 mst.5/kitabu cha Isaya sura ya 45 mst. 46 mst.9 hakuna Mungu ila mimi. Pia kitabu cha Kutoka sura ya. 20 mst.3-5 / kitabu cha Kumbukumbu la Torati sura ya 2. 5 mst.7-9 Mungu Mwenyezi anasema: Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu cho chote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia. Sa nyie hamchongi masanamu? Mnaliweka kanisani eti Yesu. Mwenye kusilimu kwa Mungu mmoja basi huyo ni Muislamu, ndio sisi kama kina Mtume Ibrahim, Mussa, Yesu na Muhammad na Mitume wote wa Mungu,
Christian beleifs we dont make idols some community they do wanakuwa kama nyinyi tu, Suleiman ni mtume wenu si ndio nae aliambiwa na Allah achonge sanamu na aweke katika temple la Allah.. tofauti zinaonekana Mungu weu anakataza na Nyie Allah anaruhusu tena amewatuma Majini kwa mja wake hahahaha Allah ndie iblis anatumia majini kumfurahisha Suleiman.. and vipi zile juu ya misikiti Moon god na nyota za wasabian.
Quran 34:13
They made for him what he willed: synagogues and statues, basins like wells and boilers built into the ground. Give thanks, O House of David! Few of My bondmen are thankful.
— M. Pickthall
Walikuwa wakimfanyia alipendalo, kama mihrabu, na masanamu, na madeste makubwa kama mahodhi, na masufuria makubwa yasiyo ondolewa mahala pake. Enyi watu wa Daudi! Fanyeni kazi kwa kushukuru. Ni wachache katika waja wangu wanao shukuru.
— Ali Muhsin Al-Barwani

je Paulo yuko hapo 😄
Kiwango chako cha upumbavu ni kiasi gani ? nimekupa aya mara ngapi kuhusu mtume wa Yesu Paulo (Bulus)na ukatulia kumbe hushiki kichwani? mitume wanatumwa na Yesu kukuonesha Jesus ndie Mungu Quran 36:13

(When We sent to them two Messengers, they denied them both😉 means, they hastened to disbelieve in them.

فَعَزَّزْنَا بِثَالِثٍ
(so We reinforced them with a third,) means, `We supported and strengthened them with a third Messenger. ' Ibn Jurayj narrated from Wahb bin Sulayman, from Shu`ayb Al-Jaba'i, "The names of the first two Messengers were Sham`un and Yuhanna, and the name of the third was Bulus, and the city was Antioch (Antakiyah).

فَقَالُواْ
(and they said) means, to the people of that city,
Si mnajitungia wewe unajua nini mana ya Malàika? Hao hawakatai amri ya Mungu sa na kuliza Ghost ni nani, kwanini kuna The Holy Ghost tupe mana ya Ghost ni yule shetani wa Paulo au? Nini mana ya Ghost, vipi Ghost iwe roho ya Mungu nikiwambia Paulo ni balaa mpaa Ghost kamtukuza kamuita The Holy Ghost 😄
Kasome bible maana kila nachokuambia wajifanya hutaki elewa
Nini mana ya Massiah? Na Dijali pia anaitwa Massiah kwa hio na yeye ni mkombozi, hebu tuonyeshe wapi Qur'an inasema Yesu ndio muokozi,

si tunavyo fahamu Mtume Muhammad ndio muokozi wa dunia yote sio Yesu
Hahahaha Kipofu wa baadae Quran inasema Mohamad yeye ni muonyaji tu na sio Mwokozi hahaha.
Quran 42:7 na Quran 6:92 tena Quran inathibitisha Tourat na Injil Mudy ni muonyaji wa mecca na pembezoni mwake na sio dunia nzima au kwenu sigimbi hahaha

Quran 42:7And thus We have inspired in thee a Lecture in Arabic, that thou mayst warn the mother-town and those around it, and mayst warn of a day of assembling whereof there is no doubt. A host will be in the Garden, and a host of them in the Flame.
— M. Pickthall
Quran 42:27 Na namna hivi tumekufunulia Qur'ani kwa Kiarabu ili uwaonye watu wa Mama wa Miji na walio pembezoni mwake. Na uhadharishe na Siku ya Mkutano, haina shaka hiyo. Kundi moja litakuwa Peponi, na kundi jengine Motoni.
— Ali Muhsin Al-Barwani

Quran 6:92 And this is a blessed Scripture which We have revealed, confirming that which (was revealed) before it, that thou mayst warn the Mother of Villages and those around her. Those who believe in the Hereafter believe herein, and they are careful of their worship.
— M. Pickthall
Quran 6:92 Na hiki ni Kitabu tulicho kiteremsha, kilicho barikiwa, chenye kuhakikisha yaliyo tangulia, na ili uuwonye Mama wa Miji na walio pembezoni mwake. Na wenye kuamini Akhera wanakiamini hichi, nao wanazihifadhi Sala zao.
— Ali Muhsin Al-Barwani
We wacha uwongo unaleta Aya huzijui hata zinaongea nini, unadhani Waislam kama wakristo hawajui kitabu Chao
Waisla hawajui na kama unajua huwezi bishana na Aya unaonesha u fake muslim
Kwanza shika adabu yako wewe anaitwa Mtume Muhammad sio mudy huyo mudy labda yule wa India.
Mtume wenu alija jina la Allah Alizaliwa akiitwa Qutham ambaye alikuwa ni mkabaji wa magenge yaliyokuwa yanavamia caravan ubaya alikuwa anawaibia wezi wenzake chupi akampa Aisha hahaha ,ndio maana Quran haina maelezo katokea wapi yaani mmemzusha tu hebu tuoneshe Quran inamzungumziaje Mohammad kuwa kazaliwa wapi katokea wapi baba yake nani mama yake nani katokea ukoo gani n.k Shia wanaamini sio binadamu hahahaha
Wapi Qur'an inasema alirogwa, au kapata wazimu leta dalili. Mtume anatajwa na Qur'an kwa adabu yake nzuri, we kama ni shoga ni wewe tu na Paulo roll model wenu, ndio mana hakuoa kabisa mtu mzima anafatana na vijana vidogo dogo 😄
Hata Yesu hakuona si mtume wenu nae unamcheka? Allah hana Mtoto mnadai nae unamcheka hahaha Aliulizwa akasema hawezi pata mtoto hadi awe na Thuwaiba girl friend na akitaka basi atasex na Houris au Malaika cha kushangaza Malaika ni wanaume pengine ni mwanamke?
Hizo tafsiri sio kila anaye jita flani na katumia jina la kislam ni mwislam. Nimeisha kueleza kuna hadithi nyingi zimeandikwa kanisani kwa kutumia majina ya Bukhari, Sahihi Muslim na huyo unaye mtaja, sio wao wameongea au wametafsiri. Tafsiri ya Samad is the master who has complete control. Hizi tafsiri zingine labda za kanisani 😄
Quran pia imeandikwa na Waraqah ibn Nawfal si mnasema hanif wa kwanza kumuamini mudy, alikuwa mkristo mjomba wake Khadija na Waraq alipokufa Mudy ndio ukichaa ulimpanda na alijaribu kujiua mara nyingi sana kwa kutaka kujitupa chini ya mlima baada ya kuona aya hamna tena.

Samad sio Kiarabu ni Aramaic Syrian na alikuwa one of the idols Pagn Goddess hukwepi hilo mtume wenu alibugi aliwachukia sana wayahudi kwani walikuwa wakitega wakitoa taarifa wanaenda kwa debate wayahudi wanatuma shushushu anajifanya anajua watakayokuja kuuliza anampa majibu ya uongo na mudy akawa anaingia mkenge anajibu majibu ya mitego maana hajui lugha zao Waraqah ndie alikuwa mtafsiri wake story zote za Uyahudi na Injil ndio kibaya surar Mariam aya ya kwanza Tafisiri yake ni Christ is my lord hakuelewa akapachika hivyo hivyo ki aramic Kãf-Ha-Ya-’Aĩn- Ṣãd.
Jibu lipi hilo unalo ongelea we falaa, muimba kwaya.
Quran nayo ni kwaya mkiisoma?
Hivi unaelewa mana ya creator nini? Allah says no one can create like He does. People produce things but they produce from existing materials. He creates from nothing. Usidhani kaumbwa ni yule anaye umba ni mundaji kwa lugha ingine, nikikuanbia wewe huna elimu unabisha eti creator kajifananisha sio kila creator kaumbwa na Mungu hakuna aliye mumba.
Naomba Debate kuhusu chochote alichoumba allah nikuoneshe uongo kuwa sio yeye aliyeumba kwanza as per muslim aliumba Kalam japo sio kiarabu pia hilo neno na Kalam(word) ndio likafanya kila kitu Allah hajui akawa anaona tu vitu tayari kichekesho akiadithia alichoumba unakuta ni uongo mean was not him or her, hajui hata aliumba nini kwanza anajichanganya mtu muongo njia yake fupi Allah ni Mtume wenu Mohamad.. mlishambiwa mkikuta kitabu kina Contradition nyingi basi hicho sio kitabu cha Allah Mashia wamekili wanasema Quran ya kweli atakuja nayo Mehdi
We kasome Aya vizuri inasena nini usikurupuke tu. Yesu hawezi judge mtu ni Mungu ndio ana Judge.
Hahaha yaani nimekupa aya ipo open kuwa Yesu ndie akarudi kujudge and Waislam wenzio wote wanakubali hilo wewe fake unakataa hata wale wa speaker corner mbishi kuliko wote msomali and Mjinga mwenzenu Zakir Naik alienda Naigeria akakubali. And Jesus ndio anajua siku ya Mwisho Quran 43:61
Mimi na mheshimu Yesu kwa kuwa ni Mtume wa Mungu,
huna Heshima kwake huna unachomfuate.. je unaamini ni Sawa Yesu kumuita Allah Baba? jibu
nyie ndio mnamzulia uwongo kumfananisha na Mungu, wapi Yesu kasema yeye ni Mungu tumuabudu?
Bible ukisoma unapata majibu murua nimekufundisha kwa aya za Bible mara kadhaa wewe na wenzoko wamekubali .

Soma Hii.. Allah anawaambia wanaabubu ambae hawezi hata ku create fly - Kumbuka Wanamuabudu Yesu ali create Ndege kwa kutumia udongo na kuupulizia roho ndege akapaa.
Sahih International: O people, an example is presented, so listen to it. Indeed, those you invoke besides Allah will never create [as much as] a fly, even if they gathered together for that purpose. And if the fly should steal away from them a [tiny] thing, they could not recover it from him. Weak are the pursuer and pursued.

Soma hapa Walitakiwa kumuabudu Allah na Massiah

Quran 9:31
ٱتَّخَذُوٓا۟ أَحْبَارَهُمْ وَرُهْبَـٰنَهُمْ أَرْبَابًۭا مِّن دُونِ ٱللَّهِ وَٱلْمَسِيحَ ٱبْنَ مَرْيَمَ وَمَآ أُمِرُوٓا۟ إِلَّا لِيَعْبُدُوٓا۟ إِلَـٰهًۭا وَٰحِدًۭا ۖ لَّآ إِلَـٰهَ إِلَّا هُوَ ۚ سُبْحَـٰنَهُۥ عَمَّا يُشْرِكُونَ ٣١
Wakawafanya marabi wao na watawa wao kuwa ni miungu badala ya Mwenyezi Mungu na Masihi bin Maryamu, na hawakuamrishwa ila wamuabudu ۰هۭۭۭۭۭۖ ۖHakuna mungu ila Yeye.
Aya hujui inasema nini kama huko juu unasema Yesu ata Judge, wapi kuna Aya ya Qur'an inasema Yesu ndio ata Judge watu haha.
Hujui kusoma au unakwepa
In the Quran 2:127 it states “And [mention] when Abraham was raising the foundations of the House and [with him] Ishmael, [saying], "Our Lord, accept [this] from us. Indeed You are the Hearing, the Knowing

Upagani ni huo mlio fundishwa 1=3 😄
Nimekuuliza how Ibrahim met Allah maana story ya Ibrahim alikuwa hanif na aliacha kuabudu Miungu inayokuja na kupotea ndio maana Nyota aliacha,Mwezi aliacha na Jua Akbar aliacha sasa huyo Allah ambaye hakuja wala kupotea asingeweza kuamuabudu jibu linakuja Allah ni sanamu la pale kabba sababu lilikuwepo pale halikuondoka pengine ndio maana ni Hanif.
Issue za Faundation quran imejump tu eti Allah anaamrishwa kujenga so Hanif ni pagani sababu Mudy ndie alikuwa wa kwanza kupewa kitabu pale mecca Ibrahim hakuwa na kitu kitabu
Bibilia zinakubali jiwe lilikuwa peponi wewe unabisha, si ajabu hii pia Jesus confirmed the Black stone in the book of Matthew 21:42-43.
Kasome bibilia utapata jibu lilikuwa jeupe limebadilika na kuwa Jeusi, we usidhani hilo la mbeya this stone was given to Adam on his expulsion from paradise in order to obtain forgiveness of his sins. Kwa Adam lilikuwa jeupe mlipozidisha dhambi limebadilika na kuwa jeusi msidhani sisi tulilipaint 😄
Jiwe kuwa jueusi story zimejaa kwenye vitabu vyenu mungu wa kipagani walikuwa wanamuomba wasio pata mimba kuwe damu zao za hedhi, na wanaume shahawa palikuwa pachafu nyie ni wajinga kuambiwa jiwe lilikuwa leupe ila dhambi za waislam zikafanya jiwe liwe jeusi.. hahaha dhambi zinashikika? dhambi ni physical?
We endelea tu na 1=3 tuwacheni sisi tunaye amini Mungu ni mmoja hazaliwi, hazai, hafananishwi na chochote kile
Kwenu kila kitu kime base na Tatu, ukitawadha kila kitu tatu tatu kusukutua,kusema kusafisha pua n.k
 
hahaha wewe kuna lipi ulilojadili and Google ni Prophet katika uislam.. kila sheikh utasikia nenda kagoogle utapata Google muaminifu kuliko mtume wenu.

Elezea Umma who is Allah historia yake yaani tupe wasifu wake mostly muslim wanaiga tu waarabu hawajui hata jina hilo kuwa sio la kiarabu.
Niondolee upumbavu kijana
hahaha wewe kuna lipi ulilojadili and Google ni Prophet katika uislam.. kila sheikh utasikia nenda kagoogle utapata Google muaminifu kuliko mtume wenu.

Elezea Umma who is Allah historia yake yaani tupe wasifu wake mostly muslim wanaiga tu waarabu hawajui hata jina hilo kuwa sio la kiarabu.
HAhahah hizi ni pumba kupitia kwako google kwangu unaonenekana kichaaa soma ndio uje tujadili hapa
 
Niondolee upumbavu kijana
HAhahah hizi ni pumba kupitia kwako google kwangu unaonenekana kichaaa soma ndio uje tujadili hapa
Huyo nimeisha muignore nimefata ushari wa mdogo wangu Kosugi

Hana analo lijua kazi yake ni kucopy tu, na nilicheka kuna sehemu kaona Mungu anasema yeye ni the best creators akaja sema Mungu eti anajisifu yeye ni bora katika wengine anadhani kwa kufanana na wengine ki sura au kimaumbile hajui creator ni Mumbaji ambaye is the one who creates things from nothing with no precedents. Hapo ndio ujuwe unaogea na mtu hata form one hajafika 😄
 
Hayo mliosema Yemen hata jibu mko wapi, huko Israel kunawaka moto. Missiles za Al Houth zimeisha fika Central Israel na bado watajuta, wanafatwa kwa miguu safari hii.


View: https://youtu.be/dIWXyXTnj3k?si=YrLy3AD2WsCCrH67

Tela Aviv watasema zime land kwenye empty spaces kama kawaida yao 😄

Imefika 6km karibu ya Air port ya Ben Gurion Air port hakuna hata Rada ya Israel imeiona imetembea 2000km kwa dakika 15 tu kutoka Yemen.


View: https://youtu.be/rq0FwQRyf78?si=cMwLbRQcUUUJ12vp

Yaan unatuletea vi clip vya masjid hapa embu toa upuuz wa madrasa hapa
 
Mirungi ikianza kulipukia tumboni ndio Houthi wataelewa.
 
Aliyeandika Quran naye ni Mjinga maana kasema Yesu ni MessengerYesu ni Neno la Allah na Yesu ni Roho inayoishi kwa mwili wa Yesu sasa vitatu hivyo ni equal to 1 Jesus .. fake Muslim wewe usiyejua dini ya wapiga mabusu vijiwe vya kaaba.. Marwa na Safa hawajambo?
Mjinga ushajulikanwa
 
Huyo nimeisha muignore nimefata ushari wa mdogo wangu Kosugi

Hana analo lijua kazi yake ni kucopy tu, na nilicheka kuna sehemu kaona Mungu anasema yeye ni the best creators akaja sema Mungu eti anajisifu yeye ni bora katika wengine anadhani kwa kufanana na wengine ki sura au kimaumbile hajui creator ni Mumbaji ambaye is the one who creates things from nothing with no precedents.
Akili za kiislam wanalazimisha wanavyotaka wao.. wapi nimedhania unayofikilia kwenye akili yako ya kimudy? Ujinga wa Mtume wenu aliandikiwa barua alipoisoma imeandikwa Allah is a best of creators akafurahi akaweka kwenye Quran.. sasa anything kikijisifu kuwa ni bora kuliko vyote lazima kutakuwa na vingine ili kuendana na hiyo sentensi.. Huwezi kuwa best of student and student kumbe ni wewe pekee ni ukicha tu. Yaanii mama yako akisifie Mwanangu amekuwa wa Kwanza Darasani alfu hilo darasa lina mwanafunzi mmoja ambae ni wewe... So Allah kama ni best of creators mean kuna wengine.. Ujinga wenu Muslims hamuelewi mnasoma haraka haraka ingekuwa imeandikwa creator at least lakini imeandikwa creators yaani wengi na yeye ndie best.
Hapo ndio ujuwe unaogea na mtu hata form one hajafika 😄
Ni kweli upo sawa hata kusoa sikui kama Mtume wenu Mohammad (Short wave Short) alikuwa hajasoma

Allah ni jiwe haliwezi kuwa Mungu na wala halina roho pale kaaba.

Eleze chochote kile alichoumba Allah nikutoe nishai... step by step. yaani anything tujadili kwa kina tuone kama kuna ukweli Allah ni mashaka kacopy and ni aibu kuelezea
 
Mjinga ushajulikanwa
Wewe hata Aya za Quran hujui soma tu mijadala navyowapasua fake muslim wenzako.. Naposema Allah ni mjinga simsimgizii ndio ushahidi umeandika.. tatizo lenu mnaona kama nasingizia mnakasilika i love muslim but i hate Islam kwani ndio umewafanya muwe wajinga so Ujinga ni wakutokomezwa Piga vita ujinga na umasikini kauli ya chama Nyerere aliona mlivyokuwa enzi hizo
 
Umesikia huko, mtu amajua simu kinamlipikia mkononi
Hamna lolote hizo pager na walkietalkies wali bahatika kuweka PTNE ndio wakaziripua, na wamewahi kuziripua bada ya kuona Hezbullah wameisha gundua walicho weka kwenye hizo pager na walkie talkies. Umeona Israel kinavyo waka moto huko lakini au bado.
 
Ongelea vita vya ndugu zako wa Sudan juha wewe achana na Houthi, Hezbollah na Hamas.
 
Ipo siku waisrael asilimia 80 watakuja kuwalaani wale waliotoa wazo kuanzizwa nchiyao ktk eneo la waarabu bola wangeazisha uko ulaya au uku kwetu Africa na America kusini. Seem izo wangeopogwa kwamaguvuyao. lkn sio bara arabu apo kayatimba vibaya apo waharabu na dini ya uislamu nitouti na jamii nyengine awa kufa kwao sio ishu watapigana akuna kuomba poa madhali wanajua ni haki yao apo ata miaka 300 adi adui kwao akimbie na chup mkononi. Ipo siku watajutia kupelekwa kule,, ukweli waisraie wapo watu wazuli wenye kuchukia kuona ali umaskini wa wengine wanaumia sana ndiomana uwa wanasadia sana watu wengine kuliko msaada wanaopewa wao. Shida hii vita ndio inazidi kuwafanya waonekane watu makatili yani jina la waisrael linachafuliwa na wahuni wa ulaya wazungu awa ndio makatili itakuja kujulikana uko mbele. Muisrael mwenyewe asa ashiki bunduki. Mm nawapeni angalizo.
 
Back
Top Bottom