Mimi nafuata kilichoandikwa wewe badilisha utakavyo huku hujui kuwa Quran imekukataza kubadilisha maneno na tafsiri za Quran. is up to you me nishamaliza hilo bakia ulipo. am sure mmekuwa trained kukanusha mbele za watu ila pembeni mnaelewa vizuri.. Mtume wenu aliwaita Munafiq
Hakuna kitu nilicho badilisha na hakuna translations au kila translator akatafsiri sawa sawa na aliye tafsiri mwenzake, kitu muhimu neno atalo litumia lisiwe tofouti kwa mana na wenzake.
Wewe niwekee tofouti ya neno langu na hio tafsiri, afu tuwaulize watu wapi nimekosea. Nimeisha kueleza mawaidha siku zote ni kukumbishia, we kama unadhani mawaidha ni kuleta Story hazikuwepo, basi hayo sio mawaidha ni speech au ni mkutano wa siasa. Mana ya mawaidha dogo ni kuwakumbusha alicho ongea Mungu kwa njia za Mitume wake, na kuhimiza watu wafanye mazuri kwa kumkumbuka Mungu sana. Usidhani kama unavyo dhania kumkumbuka Mungu eti lazina uwe umemona. Ndio mana nikakuambia wewe ni story nyingi tu huna unalo lijua
Nilibadilisha maneno nikasahau kufuta hujakwepa ila umemlisha Allah maneno asiyoyasema i know mnamuepusha kwa aibu ya akili zake we know Allah is not exist Quran ni word of Noble Messenger Quran 69:40
Nimeisha kueleza mimi huwa situmii translations za Google kama wewe, lakini nilicho ongea wewe nionyeshe wapi kiko tofouti na hio Google translations 😄
Okay huelewi wewe tu, wenzio wanaelewa na kujifunza.. bora mimi ila Allah anajua Lugha moja tu kiarabu kisichokamilika, kaleta Quran kwa Kiarabu ila kaweka Maneno hadi ya Kigiriki na Aramaic asiyojua maana yake, Injil,Jibreel,Alif la meen,Samad Angejua maana ya Jina la Zakaria asingethubutu kuliweka kwenye Quran. and anamatatizo ya kusikia hadi ashuke Mbingu ya chini na aulize nani anaswali sasa hivi nimsikie.. and Allah hajui matatizo ya watu hadi aulize Quran 68:9 nani kati yenu aliye pandwa na wazimu?.
Allah ni mdhaifu
Vipi sielewi mimi lipi nisilo lielewa? Wewe una nilazimisha mimi nikubaliane na ujinga wako 😆 Aliye kuambia Allah anajua lugha moja tu ni nani? Kwa hio bibilia zilishushwa kwa lugha ipi? Kisukuma.
Unapo ongea uwe una dalili nani aliye pandwa na wazimu, kwa hio nauliza kwanini Yesu walitaka kumua si kuna wengine walimuona ni muongo, Wewe na bibilia zenu mnawazulia Mitume wa Mungu wa zinifu mtawacha wazulia wengine vichaa 😄
Acha ujinga Mawaidha ya Dini si ndio mnayozunguza zikiwemo Hadithi ambazo tukiwacheka mnasema n Dhaifu ila hamziachi.. and kwakuwa everything in Islam ni stupid na proof zote zipo so ni dhaifu and uislam pia ni Dhaifu.
Sio kila hadithi ni kweli ndio mana watoto wadogo hata wewe utoto wako mama yako au bibi zako, walikuambia hadithi njoo na uwongo kolea, na ukristo ni uwongo ulio kolea. Nyie hata Yesu mna mlazimisha kuwa ni Mungu alisha wambia yeye sio Mungu na bado tu mnamuona muongo 😄
iunaleta unafiq? Tafsiri zenu nikiweka zote ni jokes kila mtu ana tafsiri yake kuficha aibu ndio wanaharibu acheni kificha ficha kazi za sheitan mpasueni hana dili analeta vurugu tu na wamebet na Allah kupoteza watu aende nanyi hell.
Wewe tatizo lako unadhani kila anaye fanya translations lazima akubaliane na wewe, na sio kila translations aliye translate yuko sawa 💯 na wenzake. Afu we weka hizo translations unazo sema ni jokes tuone ni kweli unacho ongea, au ni story kama unavyo nilazimisha mimi nimekosea,kwa kusema Kumkumbuka Mungu sio moja wapo ni katika Mawaidha
Okay but alikuja kusema hamkujua tu kuwa nipo nanyi siku zote hamuoni yote haya Vipofu wanaona N.K alifufua,Aliumba kuponya. Wayahudi walitaka kumuua kwa kusema yeye ndie katika uyahudi ni kosa kujiita Mungu.
Yesu hakuwahi kujita Mungu na kama alijita Mungu basi yeye atakuwa Shetani, hana tofouti na kina Firauni na Namrut. Punguzeni uwongo kuna sehemu nyingi sana Yesu anawambia yeye katumwa. Anakusudia ni Mtume hakuwahi kuwambia watu, yeye kwa mdomo wake mimi ni Mungu niabudini, wapi kasema vile huna, kwa hio punguza longo longo hapa
Sasa nikuite kilaza how many time nikufundishe kuwa Isaya alitabili,and Malaika alimuambia utazaa holly Son, Mariam ni Mwanamke aliyemzaa Yusu katika umbo la Binadamu. even Yesu alimuita Mariam Mwanamke.
Wewe si umesema mana ya Holly mtu hana dhambi, nikakueleza hata Malaika pia hawana dhambi, ukabisha au sio wewe 😄 Sa kusema Holly Son mtoto asiye kuwa na dhambi kwa hio kwa akili yako wale Malaika wasi na dhambi na wao ni miungu kama Yesu, hahaha we kweli hazikutoshi. Nimeisha kuekeza wewe unajikan'yaga afu tukikunasa unabadilisha point. Afu tunakupiga hapo hapo na point ulio leta. Unaona umeleta mwenyewe ile point ya Holly mtu hana dhambi sa na kuliza Gabriel ana dhambi au hana?
Yesu Massiah alikuja for Wayahudi ila walikataa agano ndio akawaambia Wanafunzi wake wafundishe gentile wote habari Njema Agano Jipya.. i hope umeelewa even nyie muslim mnatakiwa mfuate mafundisho yake hakuna mwingine is the way of life. Al Massiah mnamuita we don't hide kama nyie...
Alisema nimetumwa kwa Wayahudi tena walio potea sio wote wale makondoo tu Hizo point zingine ni Paulo aliota chini ya mkunazi wakati yuko njia panda 😄
Stupid Quran inakataa kusema three and hapo hapo inamtaja Yesu 3-1 Messenger,Roho and Word
Sa kuna Messenger ni Mungu 🙄 na nimekuliza Mungu ana riho ngapi, na hujibu, Yesu ana roho ngapi mbona hujibu, na kuna Word kumbe ni Mungu hi kali aisay
Umeuliza nikakujib vizuri wewe ni Kilaza sana Holly Spirit ni Roho ipo kwa Mungu
Nilikuambia bibilia zenu zina jibu hutaki kuangalia una ona aibu? The Holy Spirit ni Gabriel na Holy Ghost ni nani dogo , haha si we unadhani translations zote lazima ziwe sawa hahaha Hebu basi tazama Yalkut Exodus; Sot. 12b). Hmm, hamsemi pia kuwa kulikuwa kuna The Holy Spirit in Exodus, too? au nasema uwongo? Ni nani huyo.
Qur'an inasema nini kuhusu The Holy Spirit jibu: God says in Qur'an: 16:102
The Holy Spirit has brought the Revelation
with the Truth step by step from your Lord, to strengthen the believers and as guidance and good news to the muslims.
Roho takatifu = Gabrieli, hiyo malaika anayemtumikia Mungu na kupitia huyu Malaika Gabriel, Mungu alituma ufunuo kwa manabii wake. Sijui kwa nini unaleta story za uwongo. Hizo hizo bibilia zenu zina sema waziwazi Mungu ni mmoja na hawezi kuunganisha Mungu na chochote.
Kitabu cha Agano la Kale cha Kumbukumbu la Torati sura ya. 6 mst.4 Musa anasema “Bwana Mungu wetu ni Bwana mmoja” Kitabu cha Isaya sura ya 43 mst. bwana wala hakuna mwingine. pia kitabu cha Isaya sura ya 45 mst.5/kitabu cha Isaya sura ya 45 mst. 46 mst.9 hakuna Mungu ila mimi. Pia kitabu cha Kutoka sura ya. 20 mst.3-5 / kitabu cha Kumbukumbu la Torati sura ya 2. 5 mst.7-9 Mungu Mwenyezi anasema: Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu cho chote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia. Sa nyie hamchongi masanamu? Mnaliweka kanisani eti Yesu. Mwenye kusilimu kwa Mungu mmoja basi huyo ni Muislamu, ndio sisi kama kina Mtume Ibrahim, Mussa, Yesu na Muhammad na Mitume wote wa Mungu, je Paulo yuko hapo 😄
Christianity and Jewish hatuna kitu kinachoitwa Jini tuna mapepo machafu ambao ndio malaika waasi
Si mnajitungia wewe unajua nini mana ya Malàika? Hao hawakatai amri ya Mungu sa na kuliza Ghost ni nani, kwanini kuna The Holy Ghost tupe mana ya Ghost ni yule shetani wa Paulo au? Nini mana ya Ghost, vipi Ghost iwe roho ya Mungu nikiwambia Paulo ni balaa mpaa Ghost kamtukuza kamuita The Holy Ghost 😄
As per story Yesu ndie Mwokozi wetu mimi na wewe pia even Mtume wenu alikubali Alimita Al massiha
Nini mana ya Massiah? Na Dijali pia anaitwa Massiah kwa hio na yeye ni mkombozi, hebu tuonyeshe wapi Qur'an inasema Yesu ndio muokozi, si tunavyo fahamu Mtume Muhammad ndio muokozi wa dunia yote sio Yesu
Mimi nakupa Aya from you own beliefs wewe unaleta blah blah kusumbua tu sijui kama kuna mtu anakuelewa kuongea bila evidance una kipaji cha utumwa wa Allah
We wacha uwongo unaleta Aya huzijui hata zinaongea nini, unadhani Waislam kama wakristo hawajui kitabu Chao
Unataka kusema Mtume wenu Mudy hakuingiwa na uwendawazimu? hakurogwa? hakuingiwa na Iblis? hakutaka kujiua mara Nyingi? Hakuoa kibinti cha miaka 6 akakizogomoa kilipofika miaka 9? Hakusema mnywe mikojo ya Punda? hakusema mkiona Nyoka ndan ya Nyumba msimuue hadi siku ya sijuiya tatu kwa atakuwa ni Jinni? Hakuiba chupi kisha akaja na Aya kuwa mtume wa Allah hawezi kuiba,Hakuleta aya kuwalala wake za watu akivutiwa nao,alizini na mkwe wa mwanae wa kufukia akisema Allah alileta upepo ukafunua nguo ya mkwewe akamshukuru Allah, hakunyonya uume wa mtoto,hakusema amepanda punda aliyempeleka mbinguni kisha akapewa salat 50 kisha Nabii musa akamsaidia mbinu za kubargain hadi Tano? for sure alikuwa Mwendawazimu.
Kwanza shika adabu yako wewe anaitwa Mtume Muhammad sio mudy huyo mudy labda yule wa India. Wapi Qur'an inasema alirogwa, au kapata wazimu leta dalili. Mtume anatajwa na Qur'an kwa adabu yake nzuri, we kama ni shoga ni wewe tu na Paulo roll model wenu, ndio mana hakuoa kabisa mtu mzima anafatana na vijana vidogo dogo 😄
Mnasema Quran 112:2 Allah as Samad? Kasome Quran aya 7:70 Tafsir ya Ibn khathir ujue Samad ni one of Miungu ya wapagani Quraish Masanamu Samad ni original language Aramaic Syriac Samad Idol stone for worship
(They said: "You have come to us that we should worship Allah Alone") Later on, the disbelievers of Quraysh said,
وَإِذْ قَالُواْ اللَّهُمَّ إِن كَانَ هَـذَا هُوَ الْحَقَّ مِنْ عِندِكَ فَأَمْطِرْ عَلَيْنَا حِجَارَةً مِّنَ السَّمَآءِ أَوِ ائْتِنَا بِعَذَابٍ أَلِيمٍ
(And (remember) when they said: "O Allah! If this (the Qur'an) is indeed the truth (revealed) from You, then rain down stones on us from the sky or bring on us a painful torment.") Muhammad bin Ishaq said that the people of Hud used to worship several idols, such as Suda', Samud and Al-Haba'. This is why Hud, peace be upon him, said to them,
Hizo tafsiri sio kila anaye jita flani na katumia jina la kislam ni mwislam. Nimeisha kueleza kuna hadithi nyingi zimeandikwa kanisani kwa kutumia majina ya Bukhari, Sahihi Muslim na huyo unaye mtaja, sio wao wameongea au wametafsiri. Tafsiri ya Samad is the master who has complete control. Hizi tafsiri zingine labda za kanisani 😄
ushajibu na nimemaliza juu
Jibu lipi hilo unalo ongelea we falaa, muimba kwaya.
Wewe huwezi mfananisha ila Allah anajifananisha na vingi akiwepo baal,Jesus and anajiita best of creators mean kuna wengine ila yeye ndie best,kila kitu anasema sisi tumefanya hiki na kile ila ukianza kuelezea utacheka ufe mbumbumbu.. akielezea binadamu alivyoumbwa utacheka kufa. hebu nikumbushe alichoumba Allah akakiweza and kikawa tucheke mchana huu
Hivi unaelewa mana ya creator nini? Allah says no one can create like He does. People produce things but they produce from existing materials. He creates from nothing. Usidhani kaumbwa ni yule anaye umba ni mundaji kwa lugha ingine, nikikuanbia wewe huna elimu unabisha eti creator kajifananisha sio kila creator kaumbwa na Mungu hakuna aliye mumba.
Mjinga ni Allah maana na yeye kasema Yesu alimnyakua alimuepusha na kifo cha msalabani and akamuua yeye na kumfufua and Yesu atarudi tena kuja kuhukumu, mcheke na Allah pia Quran 4:158 and Quran 3:55
We kasome Aya vizuri inasena nini usikurupuke tu. Yesu hawezi judge mtu ni Mungu ndio ana Judge.
Kwa lipi unamheshimu Yesu au kwa sababu anamuita Mungu baba? kwa kusema yeye ni Njia bila yeye hamna atakaye ona pepo.. Mtume wenu kasema Wafuasi ya Isa ndio watakuwa na Nguvu duniani hadi siku ya Kiama, na Mtume wenu alisema wakristo wataenda Mbinguni sect moja kati ya 72 eti eh Mohamed ana lipi jipya zaidi ya ufuska tu
Mimi na mheshimu Yesu kwa kuwa ni Mtume wa Mungu, nyie ndio mnamzulia uwongo kumfananisha na Mungu, wapi Yesu kasema yeye ni Mungu tumuabudu?
Si nimeshakupa aya unauliza tena ushasahau au unawaza mito ya pombe ya Jannah?
We never send a Messenger or Warner before you Mudy. Surah 34:44 Hii aya Allah anathibitisha Mecca hakujawahi kuwa na Mtume wa Prophet kabla yake means Ibrahim hakuwa Mtume wa Allah wala Nabii wa Allah.. nilikuuliza wewe useme wapi Makamu Ibrahim alipoanza kumfahamu Allah maana Story zote kwenye Quran au Hadithi Ibrahim hana uhusiano na Allah Ibrahim aliabudu Akbar Jua,Nyota na Mwezi vyote hivyo ni Upagani he never heard about Allah wala kukutana naye Allah... Alafu mji unaotajwa kaaba ipo ni Bakkah ambopo ndio kulikuwa na nyumba ya worship ya wapagani wa Yemen jiwe mojawapo la Temple iliyobomolewa ndio imeunganishwa kwenye kaaba Yemeni Corner
Aya hujui inasema nini kama huko juu unasema Yesu ata Judge, wapi kuna Aya ya Qur'an inasema Yesu ndio ata Judge watu haha.
In the Quran 2:127 it states “And [mention] when Abraham was raising the foundations of the House and [with him] Ishmael, [saying], "Our Lord, accept [this] from us. Indeed You are the Hearing, the Knowing
umesema hapo juu kutetea aya yako kuwa maneno ya Allah ndio remembrace so Yemeni corner kasema Mtume wenu hahaha we know ni harakati zake kuwavuta wapagani waingie katika uislam akawaruhusu na miungu yao shrine zao ziendelee, ukiacha copy za uyahudi na ukristo katika Quran vilivyokabia vyote ni upagani na ushatani,Kaaba Upagani,Hija hindu tena ilifanyika uchi upagani,Salat ya Marwa na Safa ni upagani,Allat,KManat na Aluzza ni upagani,Ramadhani ishara ya moona God upagani, Allah na majina 99 ya kipagani ikiwepo Yah-sin goddess
Upagani ni huo mlio fundishwa 1=3 😄
Hujafika hata picha historic hata hilo jiwe ni second stone na yapo kibao huko mecca na yemen eti limetoka mbinguni nendeni basi na mbeya kuna kimondo kilianguka miaka kibao mkalikiss
Bibilia zinakubali jiwe lilikuwa peponi wewe unabisha, si ajabu hii pia Jesus confirmed the Black stone in the book of Matthew 21:42-43.
nyie lenu ni white lililogeuka ila we know the all story ibada za kipagani wamama walikuwa hawashiki mimba walikuwa wakipaka damu zao za hedhi kuomba goddess wameze pata mimba ndio maana marwa na safa walifanya mapenzi wakageuka mawe na mtume wenu aliyaahima hadi kilimani hayo masanamu
Kasome bibilia utapata jibu lilikuwa jeupe limebadilika na kuwa Jeusi, we usidhani hilo la mbeya this stone was given to Adam on his expulsion from paradise in order to obtain forgiveness of his sins. Kwa Adam lilikuwa jeupe mlipozidisha dhambi limebadilika na kuwa jeusi msidhani sisi tulilipaint 😄
who told we need Hja for what? Jesus said ukisikiliza mafundisho yake ukayaamini na ukayamuafa upo nae we have new covenant fro Jesus
We endelea tu na 1=3 tuwacheni sisi tunaye amini Mungu ni mmoja hazaliwi, hazai, hafananishwi na chochote kile