Ndio nakuambia kulikuwepo na makundi ya kiarakati ya kiyahud na kiarabu wanaviziana kupigana ndio maana uingereza baada ya kuona hawez tena kuyacontrol alipeleka kesi un iamuliwe huko maana alishindwa amkabidhi nan nchiSoma mkuu utaelewa.
Anzia 1917 kuja hadi 1948.
Mkuu kuna mapigano ya kikabila ama kiasili kati ya wayahudi na waarabu na kuna uanzishwaji wa taifa la Israel.Ndio nakuambia kulikuwepo na makundi ya kiarakati ya kiyahud na kiarabu wanaviziana kupigana ndio maana uingereza baada ya kuona hawez tena kuyacontrol alipeleka kesi un iamuliwe huko maana alishindwa amkabidhi nan nchi
Hizo vurugu chanzo ninini na mpaka Israel afikie kutangaza taifa. Kwamba unataka kukataa Israel hawakuwa na kundi la migambo na waarabu nao hivyo hivyo na wote walikuwa wanapigana kila wakati. Tena Israel walikuwa na makund mawili. Ukiacha kundi Ben Gurion kuna kundi lingine nalo lilikuwa linaongozwa na jamaa jina limenitokaMkuu kuna mapigano ya kikabila ama kiasili kati ya wayahudi na waarabu na kuna uanzishwaji wa taifa la Israel.
Taifa la Israel halijaanzishwa kwa mapigano ama kwa vita,limeanzishwa kwa majadiliano yaliyochochewa na vurugu baina ya waarabu na wayahudi.
Doh bro unanipa mashaka na uelewa wako.Hizo vurugu chanzo ninini na mpaka Israel afikie kutangaza taifa. Kwamba unataka kukataa Israel hawakuwa na kundi la migambo na waarabu nao hivyo hivyo na wote walikuwa wanapigana kila wakati. Tena Israel walikuwa na makund mawili. Ukiacha kundi Ben Gurion kuna kundi lingine nalo lilikuwa linaongozwa na jamaa jina limenitoka