Tuliwambia Yemen ni moto Israel hawawezi hao

Mpaka wafe wangapi ndo vita isitishwe?
 
Vipi ngoma ikienda uso kwa uso hakuna mtu kukimbilia nyuma ya migongo ya wanawake na watoto. Hapo vipi jamaa
Hiyo ndio ngumu kabisa IDF hawataweza tunaenda mwaka sasa pale Gaza wanasumbuliwa na wanamgambo wa Hamas. Mateka wayahudi zaidi ya 100 wapo Gaza IDF imejikatia tamaa wamebaki kulipua majengo hovyo na kuuwa raia wasio na hatia.
 
Mazayuni nae atajibu tu. Ila ndio anavutwa kwenye tope ambalo lita mgharim maana atataka kushindana na hivi vikundi ambavyo havina cha kupoteza. Ata waweka raia wake kwenye hofu siku zote, Yemen waga wapo kama hawapo vile mmarekani anawapiga kila siku ila wao wanamwambia tu red Sea marufuku
 
Za abunuwasi
 
Hii nimeisoma nikasikitika sana na kumkumbuka ndugu yetu Joshua.
 

View: https://youtu.be/p7sb1x_CZbY?si=I5_V1v2iQV908zYc
Wa Israel wanajiuliza vipi
Kumbukeni mara ya mwisho drone moja ilisababisha bandari kulipuliwa.
Leo mmetuma BM lazima muwashiwe moto, Israel haachi kipoe
Hahaha Yemen alikuwa na test hio Long range missile yake aone vipi hio Arrow ambayo wanajisifia ni system eti designed to intercept long range missiles itazuia kweli hio missile. Wameona hamna lolote sa wasubiri mvua.
 
Na wasiwasi mzee wako wako alikuwa ni mara gwanda za jeshi
 
Sasa kama yametua kwenye empty place ulitaka wasemeje? Mbona wewe umeishia kuonyesha yakiwa hewani?
Ngoja nikupe link yenye taarifa zaidi na kwa taarifa yako tu hayajajeruhi hata mtu mmoja
Imefika 6km karibu ya Air port ya Ben Gurion Air port hakuna hata Rada ya Israel imeiona imetembea 2000km kwa dakika 15 tu kutoka Yemen.
Acha uongo basi, kufika central Israel huwa haimaanishi kwamba mfumo wa ulinzi haujaona. Makombora mengi hulengwa kupiga central, kinachotokea yale yanayoelekea kupiga maeneo yenye watu yanapanguliwa na yale yanayielekea kutoa maeneo yasiyo na madhara huachwa yatue.
 
Vipi ngoma ikienda uso kwa uso hakuna mtu kukimbilia nyuma ya migongo ya wanawake na watoto. Hapo vipi jamaa
Thubutuu ISRAEL HAINA UWEZO WA KU BATTLE CROSS FIRE NA HOUTHI.
Uliza Saudi Arabia na USA.
Waliwafadhili hadi Al Qaeda wawaue Houthi pale Yemeni.
Kilichowakuta Yesu mwenyewe hapendi.
Kwa vita za ardhini ISRAEL HAMUWEZI MUARABU.
Israel kinachomlinda ni Air force supremacy yake tu
.
 
Central Tela Waviv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…