Tuliwambia Yemen ni moto Israel hawawezi hao

هُ سَاجِدِينَ
Al-Barwani
Basi nitakapo mkamilisha na nikampulizia roho yangu, basi mumwangukie kumsujudia.

Quran 15:29
 
Tunawapa na muda "leo kutwa" kesho watuonyeshe japo kijivideo(clip).
 
Kumbukeni mara ya mwisho drone moja ilisababisha bandari kulipuliwa.
Leo mmetuma BM lazima muwashiwe moto, Israel haachi kipoe
Ni bora umewaambia mapema mkuu. Wakae mkao wa kula.
 
Sasa unashindana na mtu ambae ni SUPREMACY kwako. Hata wewe umesadiki SUPREMACY ya myahudi
 
Kama Israel alivyo na airforce supremi basi Houthi ana missile na infantry supremacy dhidi ya Israel.
Jamani Eee; Tuwaachie uwanja waoneshane u-supremacy wao then tutajua yupi ni more supreme
 
It would make one look foolish to believe in such a nightmare, but all it takes is an insane mind to believe that the Yemenis can resist and beat the Israelis.
 
Basi wacha kipigwe ila asitokee mtu akakimbia nyuma ya mgongo wa mwanamke au mtoto au majengo ya shule au hospital.
Yep! Hivyo ndo viwe vigezo halali ikiwa ni pamoja na kuacha kuja kulialia hapa au kuziomba Jumuia za kimataifa ziingilie kati. Tunachotaka ss ni tusikizie vishindo:Tuff, Pah'pah' ; Buff-Buff' Tufff Yeah! halafu jioni tunapata taarifa ya idadi ya mizoga.
 
Mlisema hivyo hivyo kwa hesbollah.. Ooh anawaogopa oo cjui nn, walipelekewa moto kidogo tuu wakapoteana.
Hao ndugu zenu bado sana hapo midle east, na Israel ndo dawa sahihi ya Jihadist🤣
 

View: https://x.com/HilzFuld/status/1835352467149631549
 
Msikiti new Tv - Al Taqiyya
 
Kama ni kweli hilo kombora lilikua linatrmbea match 8 yaani 8000km kwa saa
 
Na wanasoma hesabu za functions and relations
Ok tunakubali.. Tuje kwa Allah tuone kama anajua Hesabu.. tujuavyo alipata zero hesabu kama mimi...
FOUR PAIR ni equal to 8, sasa pair moja ya mbuzi na pair moja ya Kondoo unapata 4. Allah anasema pair 4
Quran yote ni jokes ndio maana Mtume wenu anasema Quran ni word of Mohamad ndio maana stupid things from page to page

Quran Sura Mnyama Al anam 6:143
˹Allah has created˺ four pairs: a pair of sheep and a pair of goats—ask ˹them, O Prophet˺, “Has He forbidden ˹to you˺ the two males or the two females or what is in the wombs of the two females? Tell me with knowledge, if what you say is true.”—
— Dr. Mustafa Khattab,

Update: Islam without lies will die i just found Muslim scholars wameanza kujua upumbavu wa Quran wameanza kubadillisha Aya ili Allah asionekane kilaza wa Hesabu i just quote aya in English kumbe wameshaedit hahahaha Aya 6:143 original language ya Kilaza wa Hesabu Mr Allah
ثَمَـٰنِيَةَ أَزْوَٰجٍۢ ۖ مِّنَ ٱلضَّأْنِ ٱثْنَيْنِ وَمِنَ ٱلْمَعْزِ ٱثْنَيْنِ ۗ قُلْ ءَآلذَّكَرَيْنِ حَرَّمَ أَمِ ٱلْأُنثَيَيْنِ أَمَّا ٱشْتَمَلَتْ عَلَيْهِ أَرْحَامُ ٱلْأُنثَيَيْنِ ۖ نَبِّـُٔونِى بِعِلْمٍ إِن كُنتُمْ صَـٰدِقِينَ ١٤٣
Amekuumbieni namna nane za wanyama: Wawili katika kondoo, na wawili katika mbuzi. Sema je, ameharimisha yote madume wawili au majike wawili, au waliomo matumboni mwa majike yote mawili? Niambieni kwa ilimu ikiwa nyinyi mnasema kweli.
— Ali Muhsin Al-Barwani
Aya inayofuata 6:144
وَمِنَ ٱلْإِبِلِ ٱثْنَيْنِ وَمِنَ ٱلْبَقَرِ ٱثْنَيْنِ ۗ قُلْ ءَآلذَّكَرَيْنِ حَرَّمَ أَمِ ٱلْأُنثَيَيْنِ أَمَّا ٱشْتَمَلَتْ عَلَيْهِ أَرْحَامُ ٱلْأُنثَيَيْنِ ۖ أَمْ كُنتُمْ شُهَدَآءَ إِذْ وَصَّىٰكُمُ ٱللَّهُ بِهَـٰذَا ۚ
فَمَنْ أَظْلَمُ مِمَّنِ ٱفْتَرَىٰ عَلَى ٱللَّهِ كَذِبًۭا لِّيُضِلَّ ٱلنَّاسَ بِغَيْرِ عِلْمٍ ۗ إِنَّ ٱللَّهَ لَا يَهْدِى ٱلْقَوْمَ ٱلظَّـٰلِمِينَ ١٤٤

Na wawili katika ngamia, na wawili katika ng'ombe. Sema: Je, ameharimisha yote madume wawili au majike wawili, au waliomo matumboni mwa yote majike? Au, nyinyi mlikuwapo Mwenyezi Mungu alipo kuusieni haya? Basi ni nani dhaalimu mkubwa kuliko yule aliye mzulia Mwenyezi Mungu uwongo, kwa ajili ya kuwapoteza watu bila ya ilimu? Hakika Mwenyezi Mungu hawahidi watu madhaalimu.
— Ali Muhsin Al-Barwani

Ukihesabu Pair 8 ili upate 18animal hapo kwenye aya nime bold red wanyama kihesabu Allah unapata 8 na sio 16

Quran 51:49 And of all things We created two mates; perhaps you will remember.
Jua mate wake ni Mwezi? and Iblis mate wake ni Allah? hebu elezea
 
Hivi hakuna aliyewahi kukutambia kuwa kiakili ni umevurugikiwa!?..I can't picture the way unavyoishi na watu wako wa karibu, you're a mental case
 
هُ سَاجِدِينَ
Al-Barwani
Basi nitakapo mkamilisha na nikampulizia roho yangu, basi mumwangukie kumsujudia.

Quran 15:29
This navyojaribu kuwatoeni kwenye makucha ya iblis muwe mnaniheshimu.. Umesoma hiyo Aya Tafsir ya English? nimecheka wameweka mabano Allah aliposema my (Created) soul this is proof uislam umebase kwenye uongo.. Tafsir halisi ni Allah ameingia ndani ya mwili wa binadamu just like mtu anapopandisha masheani.
And Kichekesho ukiendelea kusoma aya 30 na 31 utakuta Iblees hana makosa ya kutomsujudia Adam kwa sababu Iblees ni Jini na si Malaika so amri ya kumsujudia Adam ni Shirki ilikuwa ni kwa Malaika tu.. ndio maana Iblees alikuja lalamika ameonewa na Allah na kusema atawapoteza binadamu wote Allah akamuambia kasoro watu wake.. Mtume wenu aliingiliwa na huyo Iblees akaja kudai amemsilimisha so Iblees ni Muislam mwenzenu. Allah ndie mdhambi wa Kwanza ndie Shetan

So many Aya kwenye Quran zinaproove Quran is not from God and Mtume wenu ana proof kuwa quran ni maneno yeke. Quran 69:40 na 81:19
Sahih International:
[That] indeed, the Qur’an is the word of a noble Messenger.

Tafsir zingine ukisoma waeza cheka ufe mara Mohamad mara Jibreel.

Jesus is Word = Hajaumbwa and even Jibreel alimtokea Mariam na kumuambia utazaa Mtoto Holly na Holly ni Mungu tu.
 
Ukiongea hivi mbele Hamas watakuchapa makofi. Unafikiri wanajificha kwenye makazi ya raia kwa kupenda?
Unajua ninyi mashabiki wa Israel nawashaangaa Sana mnaposema hamas wanajificha kwa Wanamake, kwa hiyo Hao wanawake wana miili ya chuma risasi hazingii?? Na kama wao ndo ngao hizo risasi zikishawapata wao kwa hamas hazifiki?? Labda hizo risasi za mabua,, za kuambiwa changanya na zako,,, Hao Israel mnaowasifia vita pekee waliopigana kwa miongo mitatu ni dhidi ya hamas ambao silaha yao kubwa manati na gobore,, mbona hakwenda Iran alikovurumishiwa mvua ya makombora?,, basi hata Yemen hatothubutu kuingia zaidi ya kuwapoza mashabaki zake na vidroni vya kushoot video kama kile alichorusha Iran baada ya kuvurumishiwa mvua ya makombora.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…