Ila kwa Israel namna inavyopambwa kuwa ina sophisticated ADS tulitarajia hilo kombora kudunguliwa.Hakuna Air defense duniani inayofanya kazi kwa 100% haipo
Kombora limetoka mbali sana na limepiga target kwa usahihi hapa Israel kaonyesha udhaifu, kwanza hiyo hypersonic sina hakika kama linazuilika, lakini kuhusu AD walau iron dome imejitahidi sana, kwanza ndio AD iliofanya interception kwa kiwango kikubwa kuliko AD nyingi duniani.Ila kwa Israel namna inavyopambwa kuwa ina sophisticated ADS tulitarajia hilo kombora kudunguliwa.
Tena ukizingatia limetoka masafa marefu kilometa 2000+ yani ni sawa kutoka hapa hadi mpakani mwa Congo huko.
ItajeIp
Oo mkuu
Ni kwasababu Israel inashambuliwa kila mara ndio maana inafanya interception sana.Kombora limetoka mbali sana na limepiga target kwa usahihi hapa Israel kaonyesha udhaifu, kwanza hiyo hypersonic sina hakika kama linazuilika, lakini kuhusu AD walau iron dome imejitahidi sana, kwanza ndio AD iliofanya interception kuliko AD nyingi duniani.
Hao houth au Hamas wangekuwa wanapata sapoti kama anayopewa Israel leo hii vita vingekuwa vinapiganwa ndani ya Israel, yani jamaa wanashambuliwa/kuuwawa kila siku lakini hawakati tamaa.Ni kwasababu Israel inashambuliwa kila mara ndio maana inafanya interception sana.
Ila Kaskazini ilionesha kufeli hiyo iron dome.
Wacha tusubiri atajibuje Israel.
Yeye ndio asubiri kipigo kingine kutoka Yemen.Wasubiri majibu
Muongo mbona ameshajurikana,kwani Yemen hakuna nyasi mpaka tukapige nyasi Israel 🇮🇱?AL HOUTH wanasema wamepiga target ya kijeshi na Israel anasema wamepiga Nyansi sa hapo nadhani kuna mmoja lazima ni muongo.
View: https://youtu.be/3KikLf2keGw?si=lQFBeIU4oyyXlAri
Mi afrika c vilaza hapo inazani inapigania Vita na taifa teuleBREAKING 🔥🚨 Israel to deport all Africans migrants who serving in IDF AGAINST Hezbollah and Hamas.
🚨 Israel making 'Greater Israel' by Using mercenary from africa, Asia and Europe to save Israel and deport them all.
Why African trust Israel?
Unatumia nguvu nyingii mnooo bila faida ..chuki mpk yesu unamtumikia atakushangaaOk tunakubali.. Tuje kwa Allah tuone kama anajua Hesabu.. tujuavyo alipata zero hesabu kama mimi...
FOUR PAIR ni equal to 8, sasa pair moja ya mbuzi na pair moja ya Kondoo unapata 4. Allah anasema pair 4
Quran yote ni jokes ndio maana Mtume wenu anasema Quran ni word of Mohamad ndio maana stupid things from page to page
Quran Sura Mnyama Al anam 6:143
˹Allah has created˺ four pairs: a pair of sheep and a pair of goats—ask ˹them, O Prophet˺, “Has He forbidden ˹to you˺ the two males or the two females or what is in the wombs of the two females? Tell me with knowledge, if what you say is true.”—
— Dr. Mustafa Khattab,
Update: Islam without lies will die i just found Muslim scholars wameanza kujua upumbavu wa Quran wameanza kubadillisha Aya ili Allah asionekane kilaza wa Hesabu i just quote aya in English kumbe wameshaedit hahahaha Aya 6:143 original language ya Kilaza wa Hesabu Mr Allah
ثَمَـٰنِيَةَ أَزْوَٰجٍۢ ۖ مِّنَ ٱلضَّأْنِ ٱثْنَيْنِ وَمِنَ ٱلْمَعْزِ ٱثْنَيْنِ ۗ قُلْ ءَآلذَّكَرَيْنِ حَرَّمَ أَمِ ٱلْأُنثَيَيْنِ أَمَّا ٱشْتَمَلَتْ عَلَيْهِ أَرْحَامُ ٱلْأُنثَيَيْنِ ۖ نَبِّـُٔونِى بِعِلْمٍ إِن كُنتُمْ صَـٰدِقِينَ ١٤٣
Amekuumbieni namna nane za wanyama: Wawili katika kondoo, na wawili katika mbuzi. Sema je, ameharimisha yote madume wawili au majike wawili, au waliomo matumboni mwa majike yote mawili? Niambieni kwa ilimu ikiwa nyinyi mnasema kweli.
— Ali Muhsin Al-Barwani
Aya inayofuata 6:144
وَمِنَ ٱلْإِبِلِ ٱثْنَيْنِ وَمِنَ ٱلْبَقَرِ ٱثْنَيْنِ ۗ قُلْ ءَآلذَّكَرَيْنِ حَرَّمَ أَمِ ٱلْأُنثَيَيْنِ أَمَّا ٱشْتَمَلَتْ عَلَيْهِ أَرْحَامُ ٱلْأُنثَيَيْنِ ۖ أَمْ كُنتُمْ شُهَدَآءَ إِذْ وَصَّىٰكُمُ ٱللَّهُ بِهَـٰذَا ۚ
فَمَنْ أَظْلَمُ مِمَّنِ ٱفْتَرَىٰ عَلَى ٱللَّهِ كَذِبًۭا لِّيُضِلَّ ٱلنَّاسَ بِغَيْرِ عِلْمٍ ۗ إِنَّ ٱللَّهَ لَا يَهْدِى ٱلْقَوْمَ ٱلظَّـٰلِمِينَ ١٤٤
Na wawili katika ngamia, na wawili katika ng'ombe. Sema: Je, ameharimisha yote madume wawili au majike wawili, au waliomo matumboni mwa yote majike? Au, nyinyi mlikuwapo Mwenyezi Mungu alipo kuusieni haya? Basi ni nani dhaalimu mkubwa kuliko yule aliye mzulia Mwenyezi Mungu uwongo, kwa ajili ya kuwapoteza watu bila ya ilimu? Hakika Mwenyezi Mungu hawahidi watu madhaalimu.
— Ali Muhsin Al-Barwani
Ukihesabu Pair 8 ili upate 18animal hapo kwenye aya nime bold red wanyama kihesabu Allah unapata 8 na sio 16
Quran 51:49 And of all things We created two mates; perhaps you will remember.
Jua mate wake ni Mwezi? and Iblis mate wake ni Allah? hebu elezea
We sijui nani anaye kudangan'ya kama mtoto mdogo wapi hiyo Aya inayosema aliye sahau kumemories Qur'an atafufuliwa kipofu. Qur'an inasema hivi; Wamini Aradhi Ani Dhikri Faina Lahu Maisha Dhanka Wanahushuruuh Yaoum Al Qiyama Amah.Wewe ndio huijui and Quran imewaambia mtabakizwa Motoni kwasabau mnasahu aya za Quran siku ya kiama mtafufuliwa vipofu.
Safi sana kwa hio unakiri Qur'an inakiri Yesu ni Messenger wa Mungu, sa nini mana ya Messenger si mtu anaye tumwa na Mungu. Anaye tumwa na Mungu vipi awe Mungu 😄Tumezungumzia kuhusu Utatu na sio Mariam. Quran ipo clearlly inasema Jesus ni 3 in 1 at same time Jesus is World of Allah,Jesus is a Messenger of Allah and Jesus is Spirit of Allah inayoishi ndani ya mwili wa Yesu so jesus was just a human body form
Kwa hio Malaika hawana dhambi hapo patamu sana naona unasogea taratibu usikwepe tu. Malaika hawana dhambi sababu hawakosei. Nani mwingine, utaniambia Yesu sio 😄 Haya twende kazini kuna malaika wangapi wa Mungu? Hapo tutapata wengi =1 au sio+ tunamjumlisha na Mungu ambaye ndio kaumba vyote hivyo. Huoni kama ukristo ni uharo mtupu.Ukishasema Holly ni kuwa hakuna dhambi hapo and wenye sifa hizo havijaumbwa pia yaani walikuwepo.
Mnaitumia Qur'an kuthibitisha Yesu ni Spirit ya Mungu na mnakiri Mungu kwenye Qur'an ni Spirit afu mnakuja tena mnasema Mungu sio Spirit ni Physical thing. Wapi Qur'an imesema Mungu ni sanamu? Sisi tunawambia The Holy Spirit ni Gabriel mtake msitake hakuna 1=3 hata bibilia zenu zinakiri The Holy Spirit ni Gabriel nenda ukasome bibilia utakubaliana na mimi.Waislam ndio wanakwama likija suala la Holl Spirit kwasabu Allah is not spirit hadi fatwa ipo.. Allah niPhysical thing Sanamu..
Wewe unaye bisha ulisha fika huko ukaona? Wewe ulikuwa unasema jiwe jeusi mnabudu actually sisi hatuabudi jiwe tunabudu Mungu, hilo jiwe jeusi lipo makamu Ibrahim halitudhuru wala halitusaidi lolote. Ni dalilil mana yake kujulisha watu lilitokea mbinguni lilikuwa Jeupe likabadilika kuwa Jeusi kwa ajili ya dhambi zilivyo zidi duniani. Bibilia Yenu inawambia Yakobo aliweka jiwe jeusi ndio akawa anasali au Yakobo na yeye kapotezwa na Shetani kama sisi waislamu 😄Kama Nyie mnavyoamini kuwa kuna vitu siku ya kiama vitageuka na kuwa na uwezo wa kuongea laike Jiwe la Kaaba,Quran n.k Allah ana beautiful Ugoko ataushusha motoni siku ya kiama akisema yatosha yatosha
Shida kweli kweli afu ikitoka huko inarudi na kuwa mijambazi.Mi afrika c vilaza hapo inazani inapigania Vita na taifa teule
Habari umepata wapi kijana? nachukia uongo na uongo ni cheo cha ShetaniKombora limetoka mbali sana na limepiga target kwa usahihi hapa Israel kaonyesha udhaifu,
Mnatakiwa muoneshe madhara ya kombora kama yanafana na midomo yenu mnayoaminisha watu..kwanza hiyo hypersonic sina hakika kama linazuilika, lakini kuhusu AD walau iron dome imejitahidi sana, kwanza ndio AD iliofanya interception kwa kiwango kikubwa kuliko AD nyingi duniani.
Sina chuki hata kidogo ila mafundisho ya kishetani ya Mohamad ni ya kupingwa na Shetani sisi tumefundishwa tumpige na kumtoa nishai Allah ndie Shetani na mafundisho yake hayana faida zaidi ya hasara. Yesu alimtoa nishai Shetani.Unatumia nguvu nyingii mnooo bila faida ..chuki mpk yesu unamtumikia atakushangaa
Maana uko tofauti na mafundisho yako
Hayo mliosema Yemen hata jibu mko wapi, huko Israel kunawaka moto. Missiles za Al Houth zimeisha fika Central Israel na bado watajuta, wanafatwa kwa miguu safari hii.
View: https://youtu.be/dIWXyXTnj3k?si=YrLy3AD2WsCCrH67
Tela Aviv watasema zime land kwenye empty spaces kama kawaida yao 😄
Imefika 6km karibu ya Air port ya Ben Gurion Air port hakuna hata Rada ya Israel imeiona imetembea 2000km kwa dakika 15 tu kutoka Yemen.
View: https://youtu.be/rq0FwQRyf78?si=cMwLbRQcUUUJ12vp
Mkuu tuwekee chanzo cha habari, itapendeza zaidi na kapicha jinsi kombora likifanya uharibifu. Mwone kwanza.Hayo mliosema Yemen hata jibu mko wapi, huko Israel kunawaka moto. Missiles za Al Houth zimeisha fika Central Israel na bado watajuta, wanafatwa kwa miguu safari hii.
View: https://youtu.be/dIWXyXTnj3k?si=YrLy3AD2WsCCrH67
Tela Aviv watasema zime land kwenye empty spaces kama kawaida yao 😄
Imefika 6km karibu ya Air port ya Ben Gurion Air port hakuna hata Rada ya Israel imeiona imetembea 2000km kwa dakika 15 tu kutoka Yemen.
View: https://youtu.be/rq0FwQRyf78?si=cMwLbRQcUUUJ12vp
Nyie wa houthi wa bupandagila, kombora lenu lilifika tel Aviv vipande mbona hamuelewi? Mtuonyeshe lilivyofanya uharibifu basi.AL HOUTH wanasema wamepiga target ya kijeshi na Israel anasema wamepiga Nyansi sa hapo nadhani kuna mmoja lazima ni muongo.
View: https://youtu.be/3KikLf2keGw?si=lQFBeIU4oyyXlAri
Ushahidi uliwekea thread tofauti kombora lilifika zima.Nyie wa houthi wa bupandagila, kombora lenu lilifika tel Aviv vipande mbona hamuelewi? Mtuonyeshe lilivyofanya uharibifu basi.