Tuliwaonya hawakusikia walipendwa wakadeka wanaaibika mwisho wa ubaya ni aibu! poleni Chadema hii ndio maana ya kufariki kwa chadema

Tuliwaonya hawakusikia walipendwa wakadeka wanaaibika mwisho wa ubaya ni aibu! poleni Chadema hii ndio maana ya kufariki kwa chadema

Chadema ni wa kupuuzwa wanawakejeli tu wananchi.

Kuhudhuria mitukano yao ni wastage of time.
 
walijifanya wajuaji waliambiwa kuongelea na kusimamia misingi ya Kero za wananchi wakakengeuka wakawa hawaambiliki wakashupaza shingo wakafikiri wanapendwa ndugu zangu bora msingeomba maridhiano uchwara mnaaibika wananchi wa mwanza wana hasira na nyie hawataki kuwasikia uwanja mweupe hakuna mtu ama kweli Magufuli a anaishi mioyoni mwa Watanzania wanampenda sana Watanzania wamelipia gharama ya upendo kwa Magufuli kwa kuwasusia Hawa wapinzani wasiojitambua
Screenshots_2023-01-21-14-57-19.jpg
 
Eti kuna bango limeandikwa "Bila katiba mpya hakuna uchaguzi 2025"
Utafikiri wanamaanisha.Debe tupu.
 
Wewe mbwakoko nani anahitaji uwepo wako kwenye mikutano yetu? Mfuate dhalim huko jehanam mkateseke pamoja
Hao matapeli hakuna mwenye mda wa kwenda kuwasikiliza.

Mtaijaza mitukano yenu nyie na koo zenu tu maana mnafanana akili.
 
Kaka yake na Mbowe alikufa kwa corona, na mbowe ndiyo alitangaza kifo huku akitoa machozi

Ila Cha muhimu yule shetani kaondoka. Leo wana Mwanza wameona nuru mpya. Leo ni furahisha baada ya miaka Saba CHADEMA wamerudi, wema umeushinda ubaya.
 
Walitaka mikutano imekuwa, mengine wakitaka yatakuwa.
Umeelewa hata nilichoandika. Yaani wana uwezo wa kuzuia Uchaguzi?Kususia kama kawaida yao ndio lakini kuzuia!Hawana huo ubavu.
 
Umeelewa hata nilichoandika. Yaani wana uwezo wa kuzuia Uchaguzi?Kususia kama kawaida yao ndio lakini kuzuia!Hawana huo ubavu.

Wanao uwezo, Kama wameweza kupambana mpaka mikutano imeruhusiwa sembuse Uchaguzi. Nani atatamani kupigia kura bunge lililojaa CCM?.
 
Baada ya dalili zote za mkutano wa Chadema jijini Mwanza kudoda, katibu mkuu wa chama hicho bwana Mnyika ameonekana akizurula mitaani na masokoni akikagua bei ya vyakula na changamoto mbalimbali zinazowakumba wananchi, lakini namshauri ili apate angalau uungwaji mkono kidogo kutoka kwa wananchi wa Mwanza aende atembelee miradi yote waliyokuwa wakiipinga kama daraja la kigongo- busisi na ujenzi wa meli mpya ziwa victoria maarufu kama Mv Mwanza hapa kazi tu.
Akifika kwenye hiyo miradi awaombe wananchi wasimame kwa dakika moja kama heshima kwa mwasisi wa miradi hiyo hayati rais Magufuli na kisha awaombe radhi wana Mwanza kwa yote yaliyopita.
Hahahaaa naona unaweweseka tu, subiri kishindo cha cdm leo hii, chawa wote lazima mjifiche
 
Back
Top Bottom