Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Hata muimba taarabu ana afadhariWeka na picha/video za huo mkutano ili tujiridhishe. Kinyume na hapo, utakuwa huna tofauti na muimba taarab.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata muimba taarabu ana afadhariWeka na picha/video za huo mkutano ili tujiridhishe. Kinyume na hapo, utakuwa huna tofauti na muimba taarab.
Mgosi kuna wakati pears zinafanya kazi vizuri.Weka na picha/video za huo mkutano ili tujiridhishe. Kinyume na hapo, utakuwa huna tofauti na muimba taarab.
Sawa nasubiriMku
Mkutano saa kumi mda bado.
walijifanya wajuaji waliambiwa kuongelea na kusimamia misingi ya Kero za wananchi wakakengeuka wakawa hawaambiliki wakashupaza shingo wakafikiri wanapendwa ndugu zangu bora msingeomba maridhiano uchwara mnaaibika wananchi wa mwanza wana hasira na nyie hawataki kuwasikia uwanja mweupe hakuna mtu ama kweli Magufuli a anaishi mioyoni mwa Watanzania wanampenda sana Watanzania wamelipia gharama ya upendo kwa Magufuli kwa kuwasusia Hawa wapinzani wasiojitambua
Kuna vitu vingine hauwezi kusema!.
P
Wewe mbwakoko nani anahitaji uwepo wako kwenye mikutano yetu? Mfuate dhalim huko jehanam mkateseke pamojaChadema ni wa kupuuzwa wanawakejeli tu wananchi.
Kuhudhuria mitukano yao ni wastage of time.
Je!
Mnasusiwa sababu mliuwawa!?
Na bado tunasisitiza shetani Magufuli aendelee kuwaka moto kadri Mwenyezi Mungu itakavyompendeza!
Shetani stahili yake ni moto wa kuzimu!
Hao matapeli hakuna mwenye mda wa kwenda kuwasikiliza.Wewe mbwakoko nani anahitaji uwepo wako kwenye mikutano yetu? Mfuate dhalim huko jehanam mkateseke pamoja
Kaka yake na Mbowe alikufa kwa corona, na mbowe ndiyo alitangaza kifo huku akitoa machozi
Eti kuna bango limeandikwa "Bila katiba mpya hakuna uchaguzi 2025"
Utafikiri wanamaanisha.Debe tupu.
Hao matapeli hakuna mwenye mda wa kwenda kuwasikiliza.
Mtaijaza mitukano yenu nyie na koo zenu tu maana mnafanana akili.
Umeelewa hata nilichoandika. Yaani wana uwezo wa kuzuia Uchaguzi?Kususia kama kawaida yao ndio lakini kuzuia!Hawana huo ubavu.Walitaka mikutano imekuwa, mengine wakitaka yatakuwa.
Chadema ni wa kupuuzwa wanawakejeli tu wananchi.
Kuhudhuria mitukano yao ni wastage of time.
Umeelewa hata nilichoandika. Yaani wana uwezo wa kuzuia Uchaguzi?Kususia kama kawaida yao ndio lakini kuzuia!Hawana huo ubavu.
Hofu inakusumbuaKama kawaida chama kimejaa matusi. Ngoja tuone leo kama mtajaza lidaladala lenu😂🤣😎🤔😏
Hahahaaa naona unaweweseka tu, subiri kishindo cha cdm leo hii, chawa wote lazima mjificheBaada ya dalili zote za mkutano wa Chadema jijini Mwanza kudoda, katibu mkuu wa chama hicho bwana Mnyika ameonekana akizurula mitaani na masokoni akikagua bei ya vyakula na changamoto mbalimbali zinazowakumba wananchi, lakini namshauri ili apate angalau uungwaji mkono kidogo kutoka kwa wananchi wa Mwanza aende atembelee miradi yote waliyokuwa wakiipinga kama daraja la kigongo- busisi na ujenzi wa meli mpya ziwa victoria maarufu kama Mv Mwanza hapa kazi tu.
Akifika kwenye hiyo miradi awaombe wananchi wasimame kwa dakika moja kama heshima kwa mwasisi wa miradi hiyo hayati rais Magufuli na kisha awaombe radhi wana Mwanza kwa yote yaliyopita.