Tuliwaonya vijana wanunue magari yanayotumia mafuta kidogo hawakutusikia

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,307
Reaction score
47,210
Yaani vijana wa siku hizi wabishi na wapenda sifa za kijinga. Utamkuta kijana anakunja laki 8 kwa mwezi baada ya kodi, makato na tozo Yani kitaa hatuna amani fujooooo.

Tukawaonya na kuwashauri acheni kununua magari yanayotumia mafuta mengi baneni matumizi kwa kununua IST, Passo, vitz na zingine. Tukaambulia matusi na kejeli kutoka kwa hawa vijana uchwara hasa waliopanga Sinza. Ooh nyie vijana wa zamani wa seventeee na eiteez mnawivu wanga na wachawi. Ohh mnatuonea wivu. Tukala kimya.

Sasa hivi wamepaki ma crown yao wanang'ang'ania na sisi kupanda daladala na mwendo Kasi. Na Kila wakijaribu kuuza macrown yao wanakosa soko.
 
Yani vijana wa siku hizi wabishi na wapenda sifa za kijinga. Utamkuta kijana anakunja laki 8 kwa mwezi baada ya kodi, makato na tozo Yani kitaa hatuna amani fujooooo.

RRONDO mrangi
Kuna kitu hakiko sawa hapa
 
images.jpeg
 
Mkuu mimi sahivi nna mwaka wa 2 situmii gari hapa mjini mara mwisho nilikuwa na suzuki escudo grand
nikaliuzilia mbali, nikiwa mjini ni mwendo wa lift, naazima gari, daladala, bodada

Kama sahivi leo nna mishe Msasani na Obay Masaki natumia bodaboda na namaliza mishe zangu zote .....
RRONDO

Ova
20220903_121320.jpg
 
Yani vijana wa siku hizi wabishi na wapenda sifa za kijinga. Utamkuta kijana anakunja laki 8 kwa mwezi baada ya kodi, makato na tozo Yani kitaa hatuna amani fujooooo.

Tukawaonya na kuwashauri acheni kununua magari yanayotumia mafuta mengi baneni matumizi kwa kununua IST, Passo, vitz na zingine. Tukaambulia matusi na kejeli kutoka kwa hawa vijana uchwara hasa waliopanga Sinza. Ooh nyie vijana wa zamani wa seventeee na eiteez mnawivu wanga na wachawi. Ohh mnatuonea wivu. Tukala kimya.

Sasa hivi wamepaki ma crown yao wanang'ang'ania na sisi kupanda daladala na mwendo Kasi. Na Kila wakijaribu kuuza macrown yao wanakosa soko.

RRONDO mrangi
Ng'ombe haelemewi na nundu!
 
Back
Top Bottom