mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilikuona ukipita hapo me ndo Yule jamaa kapaki paleMkuu mimi sahivi nna mwaka wa 2 situmii gari hapa mjini mara mwisho nilikuwa na suzuki escudo grand
nikaliuzilia mbali, nikiwa mjini ni mwendo wa lift, naazima gari, daladala, bodada
Kama sahivi leo nna mishe Msasani na Obay Masaki natumia bodaboda na namaliza mishe zangu zote .....
RRONDO
Ova
View attachment 2348870
hahahahaaNilikuona ukipita hapo me ndo Yule jamaa kapaki pale
Si unaona mzee nko mitaa ya tandale sasa napepea tu kama upepoNilikuona ukipita hapo me ndo Yule jamaa kapaki pale
Nimekuona hapo unapitaSi unaona mzee nko mitaa ya tandale sasa napepea tu kama upepo
Ova
View attachment 2348914View attachment 2348915
Mkuu kwanini uliuza suzuki escudo grand?Mkuu mimi sahivi nna mwaka wa 2 situmii gari hapa mjini mara mwisho nilikuwa na suzuki escudo grand
nikaliuzilia mbali, nikiwa mjini ni mwendo wa lift, naazima gari, daladala, bodada
Kama sahivi leo nna mishe Msasani na Obay Masaki natumia bodaboda na namaliza mishe zangu zote .....
RRONDO
Ova
View attachment 2348870
Na sasi wa apeche alolo unatushauirijeAcheni mawazo ya kimasikin WaTz... Ni heri ununue gari ya Mamillion ya pesa kwa wiki ukaitumia ×4 hizo siku 3 ukapanda daladala... Kuliko ununue IST VITZ PASSO PORTE SPACIO na hizo vidude vingine [emoji28] ni aibu ni ushamba na kujishusha thamani ya kujiamini mjini [emoji23] sometimes mnakosa fursa kwasabab ya mitazamo hasi au negativity, sometimes mnakosa connection kwasabab hamjiamini mnatokea kinyonge mbele za watu, Ladies and Gentlemen FIRST IMPRESSION MATTER popote pale duniani... Vijana msiogope kununua magari ya CC kubwa au Mamillion ya pesa kwani ukiliendesha weekend pekeake ni dhambi au litaoza..?
Mimi mwaka fulani nikiwa na maisha ya kawaida sana nikiwa early 20's nikanunua gari fulani yaan gari likionekana sehem kilamtu anasema Yes hilo ndio gari sasa na huyo ni mwanaume, ilikua full tinted nikishuka kilamtu alikua haamini kama ni langu mwanzo watu walihis nimeazima au nauzia sura tu, siku zikazid kwenda miez mwanaume nipo nalo wakaanza majungu litamshinda tu huyu dogo mafuta na service... You know what..? Nilipata ma deal mengi ya pesa kwasabab ya status ya gari langu tu, watu wanakushirikisha ktk ma deal ya pesa ndefu wanakupa connection kwasabab ya unavyo ji brand... From there nikaanza hadi kujenga na kufungua miradi ya hapa na pale...
Kwahio ktk maisha ukitaka kuanza kujenga nyumba jenga nyumba kilamtu akiiona anasema waoooh... Ukitaka kununua gari nunua gari mtu akiliona anakupisha road, traffic akiliona anakupungia mkono wa safar njema... Maisha yenyew mafupi halafu mnaanza kuogopeshana kuishi
Tungetengeneza mitandao kazi nyingi za maofisini na manunuzi vifanyike kwenye mitandao. Tutapunguza sana haja za kusafiri.Lakini mimi naona Wabongo tunaishi kitajiri.
Wazungu wengi wa East Europe wanatumia usafiri wa baiskeli, mwendo kasi na train. Na wamejengwa kisaikolojia kuona kuwa hicho ni kitu chema kwa vile unafanya mazoezi, unapunguza kuchafua hewa, una sevu hela na pia unapata opportunity ya ku socialize.
Ni kwa vile tu hatutalii kwenda kujifunza kwa wenzetu.
Kwahio unatumiaga billion ngapi kwa hizo siku 3 mkuu?Duu, yaani laki 8 mwezi mzima, hata kwa siku 3 hiyo haitoshi kufanya fujo yeyote ya maana
Mara paaaaaaaaaaaaap umeshtuka kutoka ndotoni.Acheni mawazo ya kimasikin WaTz... Ni heri ununue gari ya Mamillion ya pesa kwa wiki ukaitumia ×4 hizo siku 3 ukapanda daladala... Kuliko ununue IST VITZ PASSO PORTE SPACIO na hizo vidude vingine 😅 ni aibu ni ushamba na kujishusha thamani ya kujiamini mjini 😂 sometimes mnakosa fursa kwasabab ya mitazamo hasi au negativity, sometimes mnakosa connection kwasabab hamjiamini mnatokea kinyonge mbele za watu, Ladies and Gentlemen FIRST IMPRESSION MATTER popote pale duniani... Vijana msiogope kununua magari ya CC kubwa au Mamillion ya pesa kwani ukiliendesha weekend pekeake ni dhambi au litaoza..?
Mimi mwaka fulani nikiwa na maisha ya kawaida sana nikiwa early 20's nikanunua gari fulani yaan gari likionekana sehem kilamtu anasema Yes hilo ndio gari sasa na huyo ni mwanaume, ilikua full tinted nikishuka kilamtu alikua haamini kama ni langu mwanzo watu walihis nimeazima au nauzia sura tu, siku zikazid kwenda miez mwanaume nipo nalo wakaanza majungu litamshinda tu huyu dogo mafuta na service... You know what..? Nilipata ma deal mengi ya pesa kwasabab ya status ya gari langu tu, watu wanakushirikisha ktk ma deal ya pesa ndefu wanakupa connection kwasabab ya unavyo ji brand... From there nikaanza hadi kujenga na kufungua miradi ya hapa na pale...
Kwahio ktk maisha ukitaka kuanza kujenga nyumba jenga nyumba kilamtu akiiona anasema waoooh... Ukitaka kununua gari nunua gari mtu akiliona anakupisha road, traffic akiliona anakupungia mkono wa safar njema... Maisha yenyew mafupi halafu mnaanza kuogopeshana kuishi
kila jambo na wakat wake, mtegemee Mungu soon Atakubariki sawa na matarajio yakoNa sasi wa apeche alolo unatushauirije
Wewe ni dalali?
Kiswahili kinaharibika sana nowadays fujo ya maana ndo nini?Duu, yaani laki 8 mwezi mzima, hata kwa siku 3 hiyo haitoshi kufanya fujo yeyote ya maana
Mkuu kama ulikua hauna taarifa ulaya au nchi zilizoendelea hakuna hela za pembeni kama unalipwa $800 dawa ni kupunguza tu matumizi tofauti na kwetu unaweza kua unalipwa 900,000 lakini siku ukaotea dili ukapiga 5m au hata 10m aisee hapo sasa ndo unaenda unakunja crown athlete 2GR...na kama kawaida unavimba...😂😂😂Lakini mimi naona Wabongo tunaishi kitajiri.
Wazungu wengi wa East Europe wanatumia usafiri wa baiskeli, mwendo kasi na train. Na wamejengwa kisaikolojia kuona kuwa hicho ni kitu chema kwa vile unafanya mazoezi, unapunguza kuchafua hewa, una sevu hela na pia unapata opportunity ya ku socialize.
Ni kwa vile tu hatutalii kwenda kujifunza kwa wenzetu.
Service tu nlianza kuchemkaMkuu kwanini uliuza suzuki escudo grand?
Gari yangu naitumia naikubali sana engine yake japo kwasasa nimei park mafuta changamoto.
I know the guy. Gari namba A hio mpe salute. Ni DrService tu nlianza kuchemka
Nlijua mbeleni huko gari sitoitendea
Haki
Si unamuona huyu mwanangu Ana porsch cayan cheki linvyomtesa
Unaipeleka kwa mafundi wa chini ya muembe [emoji1] (sorry mwana)
Ova
RRONDO
View attachment 2350394View attachment 2350395
Tayari umeshanijua. Mkuu naomba usiniweke hadharaniI know the guy. Gari namba A hio mpe salute. Ni Dr