Kumbe na wewe miongoni mwa vijana uchwara. Vipi hapo TRAMbona hizo IST, Passo,VITZ tunazikutaga tu zimezimika njiani kwa kuishiwa mafuta...😀😀😀
Kuna kitu hakiko sawa hapaYani vijana wa siku hizi wabishi na wapenda sifa za kijinga. Utamkuta kijana anakunja laki 8 kwa mwezi baada ya kodi, makato na tozo Yani kitaa hatuna amani fujooooo.
Tukawaonya na kuwashauri acheni kununua magari yanayotumia mafuta mengi baneni matumizi kwa kununua IST, Passo, vitz na zingine. Tukaambulia matusi na kejeli kutoka kwa hawa vijana uchwara hasa waliopanga Sinza. Ooh nyie vijana wa zamani wa seventeee na eiteez mnawivu wanga na wachawi. Ohh mnatuonea wivu. Tukala kimya.
Sasa hivi wamepaki ma crown yao wanang'ang'ania na sisi kupanda daladala na mwendo Kasi. Na Kila wakijaribu kuuza macrown yao wanakosa soko.
RRONDO mrangi
Sure thing [emoji23]
TRA kuna nini huko mkuu...Kumbe na wewe miongoni mwa vijana uchwara. Vipi hapo TRA
Ng'ombe haelemewi na nundu!Yani vijana wa siku hizi wabishi na wapenda sifa za kijinga. Utamkuta kijana anakunja laki 8 kwa mwezi baada ya kodi, makato na tozo Yani kitaa hatuna amani fujooooo.
Tukawaonya na kuwashauri acheni kununua magari yanayotumia mafuta mengi baneni matumizi kwa kununua IST, Passo, vitz na zingine. Tukaambulia matusi na kejeli kutoka kwa hawa vijana uchwara hasa waliopanga Sinza. Ooh nyie vijana wa zamani wa seventeee na eiteez mnawivu wanga na wachawi. Ohh mnatuonea wivu. Tukala kimya.
Sasa hivi wamepaki ma crown yao wanang'ang'ania na sisi kupanda daladala na mwendo Kasi. Na Kila wakijaribu kuuza macrown yao wanakosa soko.
RRONDO mrangi
Ha ha ha unarekodi kabisa huna hata wasiwasi!