Tuliwasaidia watu wa Afrika kusini ili wapate uhuru. Ukweli ni kuwa hawako huru huku sisi tukibakia kuwa masikini bila msaada wowote

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
Nenda Afrika ya kusini waafrika wanataabika na kuteseka maana hawapo huru kiuchumi bali wapo huru kisiasa tu.

Wana uhuru wa kuzurula na kuropoka tu.

Uhuru wa kiuchumi hawana. Wengi ni masikini na wanataabika.

Sisi watanzania tulipoteza mali zetu badala ya kujikita kujiinua kiuchumi.
 
Ulipoteza Mali IPI?
 
Usitegemee kutenda wema ukasibiri malipo!
 
Nenda Afrika ya kusini waafrika wanataabika na kuteseka maana hawapo huru kiuchumi bali wapo huru kisiasa tu.

Wana uhuru wa kuzurula na kuropoka tu.

Uhuru wa kiuchumi hawana. Wengi ni masikini na wanataabika.

Sisi watanzania tulipoteza mali zetu badala ya kujikita kujiinua kiuchumi.
Dunia yote iko hivyo hata kwetu baada ya uhuru ni wachace wanaendeleea kufaidi matunda ya uhuru wa kiuchumi, mfano wafanyakazi na wakulima walio wengi Wana uhuru wakuongea lakini hawezi kujiamulia hatma ya maisha yao.yanaamuliwa na kikundi kidogo Cha watu wanao itwa Wana siasa. Mfano mshahara na kikokotoo vimewekwa na nani?
 
Nenda Afrika ya kusini waafrika wanataabika na kuteseka maana hawapo huru kiuchumi bali wapo huru kisiasa tu.

Wana uhuru wa kuzurula na kuropoka tu.

Uhuru wa kiuchumi hawana. Wengi ni masikini na wanataabika.

Sisi watanzania tulipoteza mali zetu badala ya kujikita kujiinua kiuchumi.
Kwani Watanzania enzi za Mwendazake mlikuwa huru?
 
Mtoa mada wewe ni bwege kweli kweli walahi!
Watanzania tulichotaka ni nchi iwe huru kama tulivyo fanya Mozambique [emoji1174] na kwingine kwingi
Hiyo treasure tuliyo iweka kwa Mwenye Enzi Mungu ni kubwa sana, tume mwaga damu yetu, tume wasomesha wakimbizi kama wote mpaka university tuliwajengea, sasa wewe kibuyu unafikiri hii amani tuliyo nayo ime toka wapi? Pesa tulizo nazo, huyo mkenya mjinga mwingine kama wewe analilia hovyo hata pesa ya kulipa wafanyakazi hana, hakuna nchi inayo taka kumkopesha pesa kwa kuwa hana kitu wakati sisi tuna tetea uhuru wa Africa yote, yeye ndio alikuwa ana wa host wazungu sasa yuko wapi?
Hao wa South Africa [emoji1221] weusi itachukua miaka kama 50+ ndipo watu wata tulia, ile violent na aggressive generation wakisha kufa na kuzeeka ndio hapo watakuja generation ambayo hawana hizo tabia za fujofujo za kupigana na wazungu!
Holy Bible inaelezea vizuri tu, Mwenye Enzi Mungu alivyo waacha Waisraeli jangwani kwa muda wa miaka 40 ndio swingier Kanani, maana mtoto aliyetoka Misri akiwa na mwaka mmoja atakuwa na miaka 40 na hawajui utumwa na wala kupigwa mijeledi!
Hawa wa SA ni hivyo hivyo
That’s all!
 
Back
Top Bottom