Tuliyokuwa hatuyajui kuhusu LUKAKU na Kujiunga Man United

Mkumbushe huyo dogo kamjulia cadabra uzeeni....ahahahaaa. wacha wajipe moyo na lacanyeti wao watqmkimbia kama walivyomkimbia sanogo na welbeck....huyo jamaa angekuwa mzuri asingeanzia bench giroud analianzisha national team.
 
Wao wanajua striker ni lacanyeti...ahahaaaha. watulie ndio wajuwe mnyama lukaku ni nani hasa....
 
Nanyi mlitukebehi mno, mkatuambia wa mchangani, [emoji16] [emoji16] [emoji16] , nanyi mpo huko heheheh.

[HASHTAG]#utd[/HASHTAG]
Hivi unakaaje kwenye tv kuangalia mechi ijumaa? Muda wa kukaa club unafurahia unaanza kufuatilia timu inacheza ijumaa...daah. hivi vitimu vidogodogo hivi...kero tupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…