Who Cares?
JF-Expert Member
- Jul 11, 2008
- 3,507
- 3,371
Sawa sheikh sharif majini...aksante kwa utabiri wako ila records zinaku prove wrong....Lukaku ni mzigo, i bet msimu ujao hafikishi zaidi ya goli 15.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa sheikh sharif majini...aksante kwa utabiri wako ila records zinaku prove wrong....Lukaku ni mzigo, i bet msimu ujao hafikishi zaidi ya goli 15.
Mkumbushe huyo dogo kamjulia cadabra uzeeni....ahahahaaa. wacha wajipe moyo na lacanyeti wao watqmkimbia kama walivyomkimbia sanogo na welbeck....huyo jamaa angekuwa mzuri asingeanzia bench giroud analianzisha national team.Usimfananishe simba na mwanadamu wewe......
Ibrah kacheza Netherlands, Italy twice, Spain, France na England....kote huko with success...
Unamfananisha na huyo kinda....[emoji1] [emoji1] [emoji1] ....
Wenger alimtaka Ibra kwa majaribio...unajua alijibiwa nini..."Zlatan don't do auditions"......[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Wao wanajua striker ni lacanyeti...ahahaaaha. watulie ndio wajuwe mnyama lukaku ni nani hasa....Si kweli,
Chelsea walkuwa wanamtaka pia,that depicts his abilities. Lakini pia kama unataka top striker na sokon wanaopatikana ni morata, lukaku, harry kane (kwa kuvizia) lewandosk (not 4 sale)...utakuwa Wa ajabu kutokujaribu kumsajl lukaku. I believe the lad wil produce.
Hivi unakaaje kwenye tv kuangalia mechi ijumaa? Muda wa kukaa club unafurahia unaanza kufuatilia timu inacheza ijumaa...daah. hivi vitimu vidogodogo hivi...kero tupu.Nanyi mlitukebehi mno, mkatuambia wa mchangani, [emoji16] [emoji16] [emoji16] , nanyi mpo huko heheheh.
[HASHTAG]#utd[/HASHTAG]