Tuliyokuwa hatuyajui kuhusu LUKAKU na Kujiunga Man United

Deadbody

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2015
Posts
4,274
Reaction score
6,595
TULIOKUWA HATUYAJUI KUHUSU LUKAKU NA KUJIUNGA MAN UNITED:

Limekuwa dili la kushtukiza kwa man utd fans na hata mashabiki wengine wa soka lakini mchambuzi na mtangazaji wa kituo cha sky sport HQ anaefahamika kama James cooper amefichua kuwa lukaku alikuwa ni target number 1 ya mastriker aliowahitaji mourinho.

James cooper anasema kuwa baada ya ligi kumalizika jose mourinho alimkabidh Woodward list ya wachezaj aliowahitaji. Kwenye list kulikuwa na mahitaji ya wachezaj wa4. Striker kiungo mkabaji beki pamoja na left wing. Katika kila position kulikuwa na majina ya wachezaj wa4. Mfano ktk position ya mastriker kulikuwa n majina manne nayo ni 1.lukaku 2.morata 3.belloti na wa 4.harry kane.

James cooper anaendelea kusema kuwa lukaku ndo alikuwa chaguo la kwanza kwa mourinho sema Woodward aliona amfukuzie zaid morata sababu lukaku ilionekana zaidi angependa kurudi Chelsea. Pia Woodward aliona morata angepatikana kwa bei ndogo pauni million 60 tofaut na lukaku aliekuwa anapatikana kwa euromillion 100..hivyo Woodward aliona n faida zaidi kumsajir morata. Alipoona madrid wanamuza morata kwa paunmillion 80 akaona haina maana n bora amsajir lukaku kwa paun million 75 ambaye pia ndio first option ya mourinho.

[HASHTAG]#sports[/HASHTAG] iq: LUKAKU NI CHAGUO SAHIHI KWA UNITED?

Wazungu wanasema exactly yes..binafsi nawashangaa mashabiki wa united wanapokuwa na hofu juu ya LUKAKU..mm nasema n usajir sahihi na ningependa usajir ukamilike.

Kwanza kabla sijachambua kuhusu kufiti kwa lukaku united ningependa tujue kuwa mastriker wamekuwa bidhaa adimu sokoni. Harry kane hanunuliki.,belloti pesa ndefu tofaut n uwezo wake.,morata Madrid hawakuwa tayar kufanya biashara n United.

Msimu ulioisha lukaku amefunga magoli 25 akiwa na Everton. N magoli mengi sana kwa striker wa timu km Everton kuyafunga. Man united n moja kati ya timu inayotengeneza nafas nyingi za kufunga uwanjan tatizo lipo kweny umaliziaji.

Unapokuwa n watu km pogba mata mikhtaryan martial Kweny timu yako huhitaji kingine zaidi ya striker ambaye n finisher(goal pocher) yaani striker asiye n mambo mengi bali n kufunga tu. Vuta kumbukumbu nyuma kuna wakat mourinho alitaman chicharito angekuwepo kweny timu akimaanisha timu imekosa mtu anaejua kuji position n kufunga.

Ukiwatazama lukaku n morata..wanatofautiana sana.,morata n striker mweny mambo mengi km akina sanchez lkn lukaku akili yake inawaza kufunga tu km lewandowsky.

Pia Mourinho alimchagua lukaku kweny list yake km namba moja kwa sababu tayar LUKAKU ameshadhihirisha uwezo wake epl. Kumleta morata au belloti epl n sawa n kucheza kamari wanaweza wakachemsha epl c ya mchezo mchezo akina soldado negredo dzeko walichemka epl.

NOTE:ni heri kumsajir LUKAKU ili pia degea asiondoke kuliko kumsajir morata n degea kuondoka (wenye akili wamenielewa)

UPDATE 1

Premier League Fans
Everton will only receive £52.5 million from Man Utd on the sale of Lukaku

Reason:
1. Wayne Rooney will join Everton on a free transfer. Everton wanted £100 million but with Rooney he is worth £25 million
£100 million - £25 million = £75 million

2. Everton didn't finish paying Man Utd £15 Million for Schneiderlin who they signed in January
£75 million - £15 Million = £60 million

3. Everton have bought Michael Keane from Burnley and Man Utd will get 25% of the sales (£7.5 million)
£60 million - £7.5 million = £52.5 million

Let's talk abt football
 
Dah! Cjui kama tutafika kama Tanzania tuna vichaa kiasi hiki
Ahahahahaa....mbona tunafika mie kichaa ila mkulu chizi karogwa tena na nchi inapaa sahivi. Tanzania bila vichaa na machizi type yangu na magu itaendelea kuwa ya hovyohovyo tuu.
 
Pole kwa mourinho.. lukaku huwa anavioneaga vitimu vidogo vidogo tu
 
TULIOKUWA HATUYAJUI KUHUSU LUKAKU NA KUJIUNGA MAN UNITED:

Limekuwa dili la kushtukiza kwa man utd fans na hata mashabiki wengine wa soka lakini mchambuzi na mtangazaji wa kituo cha sky sport HQ anaefahamika kama James cooper amefichua kuwa lukaku alikuwa ni target number 1 ya mastriker aliowahitaji mourinho.

James cooper anasema kuwa baada ya ligi kumalizika jose mourinho alimkabidh Woodward list ya wachezaj aliowahitaji. Kwenye list kulikuwa na mahitaji ya wachezaj wa4. Striker kiungo mkabaji beki pamoja na left wing. Katika kila position kulikuwa na majina ya wachezaj wa4. Mfano ktk position ya mastriker kulikuwa n majina manne nayo ni 1.lukaku 2.morata 3.belloti na wa 4.harry kane.

James cooper anaendelea kusema kuwa lukaku ndo alikuwa chaguo la kwanza kwa mourinho sema Woodward aliona amfukuzie zaid morata sababu lukaku ilionekana zaidi angependa kurudi Chelsea. Pia Woodward aliona morata angepatikana kwa bei ndogo pauni million 60 tofaut na lukaku aliekuwa anapatikana kwa euromillion 100..hivyo Woodward aliona n faida zaidi kumsajir morata. Alipoona madrid wanamuza morata kwa paunmillion 80 akaona haina maana n bora amsajir lukaku kwa paun million 75 ambaye pia ndio first option ya mourinho.

[HASHTAG]#sports[/HASHTAG] iq: LUKAKU NI CHAGUO SAHIHI KWA UNITED?

Wazungu wanasema exactly yes..binafsi nawashangaa mashabiki wa united wanapokuwa na hofu juu ya LUKAKU..mm nasema n usajir sahihi na ningependa usajir ukamilike.

Kwanza kabla sijachambua kuhusu kufiti kwa lukaku united ningependa tujue kuwa mastriker wamekuwa bidhaa adimu sokoni. Harry kane hanunuliki.,belloti pesa ndefu tofaut n uwezo wake.,morata Madrid hawakuwa tayar kufanya biashara n United.

Msimu ulioisha lukaku amefunga magoli 25 akiwa na Everton. N magoli mengi sana kwa striker wa timu km Everton kuyafunga. Man united n moja kati ya timu inayotengeneza nafas nyingi za kufunga uwanjan tatizo lipo kweny umaliziaji.

Unapokuwa n watu km pogba mata mikhtaryan martial Kweny timu yako huhitaji kingine zaidi ya striker ambaye n finisher(goal pocher) yaani striker asiye n mambo mengi bali n kufunga tu. Vuta kumbukumbu nyuma kuna wakat mourinho alitaman chicharito angekuwepo kweny timu akimaanisha timu imekosa mtu anaejua kuji position n kufunga.

Ukiwatazama lukaku n morata..wanatofautiana sana.,morata n striker mweny mambo mengi km akina sanchez lkn lukaku akili yake inawaza kufunga tu km lewandowsky.

Pia Mourinho alimchagua lukaku kweny list yake km namba moja kwa sababu tayar LUKAKU ameshadhihirisha uwezo wake epl. Kumleta morata au belloti epl n sawa n kucheza kamari wanaweza wakachemsha epl c ya mchezo mchezo akina soldado negredo dzeko walichemka epl.

NOTE:ni heri kumsajir LUKAKU ili pia degea asiondoke kuliko kumsajir morata n degea kuondoka (wenye akili wamenielewa)

Let's talk abt football
Afadhali yenu mmemuwahi lukaku, ila upande wetu Chelsea tuna hali ngumu Sana maana hatuna mmaliziaji wa maana wanasua kusajili mpaka sasa tetesi tu
 
Lukaku wenu kumpata
Lacazetta anaingia mara 10
 
Mkuu,
Hizo timu ndogo ndio zina points muhimu za ubingwa kuliko ata big match.
Acha uongo wewe...huwezi kuwa bingwa wa EPL kama unazifunga timu ndogo na kufungwa ama kushindwa kuzifunga timu kubwa! Lazima uwachape wababe wenzio ili kujitenganisha kileleni.. Fikiria nyote mmeshinda mechi ndogo ndogo, kisha big mechi upigwe, utapataje ubingwa?
 
Hujui mpira Wa ligi mkuu, mfano man u last season imetoka droo zinazokaribia 10 tena kribu zote OT na timu kama stoke, burnley... N.k. mfano ukikusanya hzo points man u angetoka kwenye chumba chake cha 6, probably angekua top two. Lazma ushinde mechi ndogo ili ubebe ubingwa, mechi kubwa unaenda kwa mahesabu tu, kujazia points
 
Back
Top Bottom