Tum-judge Rais Samia kwa mawazo, maneno, na matendo yake ya sasa akiwa ni Rais wa JMT na siyo kwa alivyokuwa VP!

Nasisitiza nchi imemshinda.
fanya kazi bibie,awamu hii fursa kibao tofauti na kipindi kile Cha mtu wenu, sasaivi hakuna kusumbuliwa hovyo na TRA wala task force za kihuni,
We endelea kumchukia Samia Kama kutakuletea ugali wa kula na mumeo, na 2030 anapita Tena kumalizia ingwe yake, hakuna wakumuangusha ndani ya chama Wala nje ya chama,

Kelele za nyinyi mazuzu ya marehemu hayatushughulishi sisi,

We endelea kuwaza hile awamu ya kupora watu fedha zao,
 
Dah, nyie jamaa mna mambo, unamsifu yupo kwenye right track halafu unalalamikia tozo!

Upo kama wale wabunge wa CCM, kwenyr speech zao wanalalamikia mapungufu kibao, mwishoni utawaskia; "naunga mkono hoja"!.
Mkuu but this Tanzania.... nimechagua tu kuwa positive. Ni kweli kuna mapungufu ila kuna mahali pia amefanya vizuri.
 
Hivi watu mnaokula na kualala kwa shemeji zenu mbona mna shida sana?
 
Tanzania ni salama na Samia hatuna wasiwasi
 
Nchi imemshinda unajua hilo.
Imemshinda wapi? Huoni namna mh Rais wetu alivyofanya kazi kubwa katika kuleta matumaini na Iman kubwa waliyonayo watanzania kwake, kwa Sasa watanzania wanajiona wanayo Nafasi katika kuijenga nchi yao, wanajiona Ni sehemu ya maendeleo yanayopatikana hapa nchini na wanaona Ni yao na wanapaswa kujivunia, hii yote ni kutokana na mh Rais wetu kujenga umoja wa kitaifa na mshikamano wetu watanzania
 
Kumbe ulimpenda yule aliyekuwa anapora fedha watu hadharani.
Hadi sasa sijapenda Kiongozi wowote wa Tanzania. Na usiwasulubu watu waliokuwa wanampenda Magufuli wana haki sawa kama wewe unavyopenda Samia. Mimi napenda maendeleo kwa wote na siyo maneno, ahadi na michakato.
 
Jiwe ndio Nchi ilimshinda akabakia kuteka watu na kuwapa kesi, Rais wa Sasa Ni mchamungu na muwazi kwa kila kitu kwenye serikali yake,

Ni matahila tu na misukule ya bwana yule ndio inampinga na kumtukana Rais
Huyu wa sasa ndio sifuri kabisa mambo hayaendi maisha magumu
 
Utakuta mwisho mwezi unasubiri ka mshahara ka milioni tano.
 
Wewe ni maskini wa mawazo na akili bado nikipofu japo unadhani unaona.
 
Umesema ukweli Paskali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…