Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Kumbe ulimpenda yule aliyekuwa anapora fedha watu hadharani.Nasisitiza nchi imemshinda.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe ulimpenda yule aliyekuwa anapora fedha watu hadharani.Nasisitiza nchi imemshinda.
fanya kazi bibie,awamu hii fursa kibao tofauti na kipindi kile Cha mtu wenu, sasaivi hakuna kusumbuliwa hovyo na TRA wala task force za kihuni,Nasisitiza nchi imemshinda.
Hajielewi huyoKumbe ulimpenda yule aliyekuwa anapora fedha watu hadharani.
Hao ni mapacha baba moja mama moja ispokuwa tu wamegawanyika kimajukumu.Tozo ni nini? Na Kodi ni nini
Mkuu but this Tanzania.... nimechagua tu kuwa positive. Ni kweli kuna mapungufu ila kuna mahali pia amefanya vizuri.Dah, nyie jamaa mna mambo, unamsifu yupo kwenye right track halafu unalalamikia tozo!
Upo kama wale wabunge wa CCM, kwenyr speech zao wanalalamikia mapungufu kibao, mwishoni utawaskia; "naunga mkono hoja"!.
Ila unampenda huyu anaepora kwa kisingizio cha tozo?Kumbe ulimpenda yule aliyekuwa anapora fedha watu hadharani.
Hivi watu mnaokula na kualala kwa shemeji zenu mbona mna shida sana?fanya kazi bibie,awamu hii fursa kibao tofauti na kipindi kile Cha mtu wenu, sasaivi hakuna kusumbuliwa hovyo na TRA wala task force za kihuni,
We endelea kumchukia Samia Kama kutakuletea ugali wa kula na mumeo, na 2030 anapita Tena kumalizia ingwe yake, hakuna wakumuangusha ndani ya chama Wala nje ya chama,
Kelele za nyinyi mazuzu ya marehemu hayatushughulishi sisi,
We endelea kuwaza hile awamu ya kupora watu fedha zao,
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kusema ukweli mkuu unapambana. Ni vile tu bahati haijawa upande wako.
nitake radhi binti, Mimi kiumri ni sawa na Babu yakoHivi watu mnaokula na kualala kwa shemeji zenu mbona mna shida sana?
Wanabodi,
Mimi ni mtu wa mastori mastori hivyo kama wewe sio mtu unaependa mastori mastori just jump this.
Self Proclaimed Psychoanalysis Teacher wa Jf
Naomba nisikutajie majibu yake, ila na mimi naomba kujiita humu Jf ni mwalimu wa somo liitwalo Psychoanalysis na nawaomba mnikubalie na msiniulize nimepewa na nani?!
Psychoanalysis ni Nini?
Kwa wale tunao endelea tuanze na Psychoanalysis ni nini na ya kazi gani au inasaidia nini?.
Psychoanalysis ya macho huwa yanasema kila kitu!
Jicho la binadamu linafanya kazi kama kamera na kutunza kumbukumbu kwenye retina yake. Nchi za wenzetu walioendelea wana mpaka uwezo wa ku print kumbukumbu za mwisho kwenye jicho la marehemu aliona nini mara ya mwisho hivyo kupata clue ya kilichosababisha mauaji yake!
Macho huwa yanasema kila kitu. Mimi na dada yangu mkubwa Maria (RIP) baada ya baba yetu Mzee Andrew Mayalla (RIP) kuhusishwa kwenye ile kesi ya mauaji Mwanza ya 1976, tulichukuliwa na baba yetu mdogo Mzee Mathew Kasanga na kulelewa nyumbani kwake, hivyo mimi nimepata malezi ya mama wa kiganda, Norah Katusabe Kasanga, mke wa Mzee Kasanga. Hivyo ni miongoni mwa watanzania wachache wanao wajua vizuri waganda, kitu ambacho ni plus katika lile jambo langu lile! Ukijumlisha ujana kuwa mchumba wa kikenya na baadae wa kinyarwanda ndio usiseme!
Mastory ya Kubaini Mhalifu kwa Kutumia Macho!
Jinsi ya kumbaini mhalifu kwa kumwangalia machoni tuu.
Macho yameumbwa na aibu, hivyo likitokea tukio namtazama mmoja mmoja kwa kumkazia macho, mtu ambaye hakusiki macho yake yatakuwa steady, nikifika kwa mhusika, lazima macho yatacheza cheza na hapo hapo namdakua na kumkazimisha kukiri, hii ikapelekea mimi kuitwa inspector.
Uwezo huu wa kumtazama tuu mtu machoni na kumbaini mkweli na muongo ni tool muhimu kwenye kubaini haki, niliwahi kushauri hata majaji wetu na mahakimu wetu wafunzwe technic hii ya kuwa na jicho la kuibaini haki, kuna circumstances mtu unakutwa kwenye tukio la mauaji with all circumstantial evidence pointing to you, kama Jaji hana jicho la kubaini haki, mtu huyu atahukumiwa kunyongwa na anaweza kunyongwa bila hatia
Naangalia possibility ya kupata course materials nim-convince Mtendaji Mkuu wa Mahakama Prof. Elisante Ole Gabriel, ili tuwapige msasa majaji na mahakimu wetu semina ya Jung Psychology. Itawasaidia sana kutenda haki kwenye mhimili wa mahakama kama nilivyo shauri hapa Ukosekanaji wa Haki kwenye Mhimili wa Mahakama, kunaweza kuwa kunachangiwa na Majaji/Mahakimu wenye uwezo mdogo kubaini haki?
Mambo maovu mabaya ya awamu ya 5.
Hakuna ubishi kuhusu kutokea kwa matukio maovu wakati wa awamu ya 5, yakiwemo ya miili yenye majeraha kuokutwa ikielea kwenye viroba, kupotea kwa baadhi ya watu, kwa mtindo wa vanishing into thin air kama alivyopotea mwenzetu humu Ben Saanane na mwanahabari Azory Gwanda na tukio kubwa kabisa ni kuibuka kwa kundi linaloitwa "wasiojulikana" na kushambuliwa kwa Tundu Lissu mchana kweupe kwenye eneo la makazi ya viongozi lenye ulinzi mkubwa.
Matukio yote haya yanahusishwa na serikali ya awamu ya 5. Siwezi kusema kama ni kweli serikali ilihusika au la, ila Tanzania tunao watu wenye uwezo wa kuwabaini wasiojulikana hawa, na wakajitolea kuisaidia serikali yao, kama hapa Serious Media inaweza kuwabaini "wasiojulikana" Deo Masakilija na hapa WanaJF, Je tuisaidie Serikali yetu inaposhindwa au tusubiri ishindwe, tuibeze na kuizomea kuwa haiwezi? lakini serikali haikuonyesha any positive response ya kuuhitaji msaada huu, hivyo kuhesabiwa...
Wakati yote hayo yakitokea, Rais wa sasa Samia Suhuhu Hassan ndio alikuwa VP, hivyo kuna watu wanamlaumu na kumshutumu kuwa na yeye ni mhusika wa matukio hayo, na ndio maana sasa nawafundisha watanzania wenzangu hili somo la kuyatumia macho ya mtu, na kubaini uhusika wake katika tukio fulani la uhalifu, hivyo mtuhumiwa wetu huyu jee alihusika na uhalifu huu?
Sasa kuna hoja hii imeletwa humu Rais Samia amejaa hofu ya Mungu, ndiyo maana unaona akihubiri haki
Japo sisi wana Jf as wana Jf we all equal, ila hatulingani! Kuna wana Jf wa kila aina na hadhi tofauti tofauti na tuna command Jf respect ki tofauti tofauti, hivyo hoja ikiletwa au kuchangiwa na wana Jf wanao command much respect na high respect sio ya kupuuzwa, hivyo miongoni mwa walio changia uzi huu ni mwana Jf huyu anaye command much respect
Hivyo hapa ni kumhusisha Samia na yaĺiyotokea awamu ya 5, hivyo mimi nami ni miongoni mwa tulio changia
Mkuu Mag3, japo aliyeulizwa si mimi ila kwa vile baadhi ya majibu ninayajua, naomba kuchangia
She was not the big boss, naamini unaijua kanuni ya the collective responsibility kwenye utawala husika, hata kama hukubaliani unakaa kimya.
Naamini uliwahi kuisikia ile tetesi ya yule dada wa taifa kumhusu huyu mama, naomba mimi nisiseme it was true kwasababu its not for me to say, natumia kanuni ya uadilifu wa mke wa Kaizari, just tetesi is enough!
Yes angeendelea
She was not the boss then, she is the boss now anakemea
Atakuwa alihoji ila vitu vya ndani havitoki nje. One thing for sure is though alikuwa sehemu ya utawala ule but she was not a part to it, macho aliyomtazama Lissu pale Nairobi hospital speaks everything.
Amini nakuambia kuna vitu vinafanyika behind your back na wewe huvijui kwasababu you were kept in the dark.
Je, unajua ile kabla ya March 17, she was on the dark on what was going on.
She was not the boss then, alikuwa anakemea ndani kwa ndani na Mungu anasikia, kwani kuna mtu yoyote anayejua ni kwanini Mungu alifanya vile?.Vitu vingine acheni.
Mpaka sasa hakuna uthibitisho wowote kama wasiojulikana wale ni wasiojulikana kweli au ni 'wasiojulikana' tuu, as long as sasa hawapo, ni jambo la kushumuru Mungu.
Hili nimeisha kujibu tangu mwanzo ila kwa sababu hapa nachangia tuu na aliyeulizwa atakujibu pia.
Maadam sasa ni yeye, tunamuona tunamshuhudia akisema na akitenda tofauti, naomba tuwe watu wa shukrani kwa haya, badala ya kuendelea kulalamika na kulaumu yaliyopita, tuwe appreciative kwa haya tunamshukuru sana Mungu kwa mtu huyu.
Sasa ndio naomba niwapeleke kwenye somo la kujifunza kusoma body language na kubaini uhusika wa mtu katika tukio kwa kuangalia macho
Kwanza angalia hizi picha na video, concentration yako ikiwa ni macho.
View attachment 2341546View attachment 2341547View attachment 2341549View attachment 2341553View attachment 2341545View attachment 2341556
Google Image Result for https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2017/11/lissu.jpg
Sasa twende Ubelgiji
Hatua ya pili ni uyatazame macho ya Samia anavyo mwangalia Lissu, halafu ujiulize ndani ya moyo wako je, mtu huyu anayeongea na Lissu kwa upendo hivi, anaweza kweli akawa ni mhusika wa tukio hili? Sauti ndani ya moyo wako itakueleza. Hicho unachoelezwa ndio ukweli wenyewe.
Huu uwezo wa kutumia macho na kusikiliza sauti ya ndani yako, ndio uwezo nilio shauri majaji wetu wawe nao ili kuwatendea haki Watanzania.
Hitimisho
Nasisitiza Rais Samia sio malaika ni binadamu, na kwa sisi binadamu, no one is perfect, anaweza kutenda makosa, hivyo akitenda makosa ahukumiwe kwa mawazo yake, maneno yake na matendo yake ya sasa akiwa ni Rais wa JMT na sio kuendelea kumlaumu na kumshutumu na kumkosoa kwa kile ambacho kilitokea awamu iliyopita ambayo japo she was also a part and parcel, kwasababu mtindo wetu wa uongozi ni wa a collective responsibility.
Serikali ikifanya mazuri ni wote, na kukitokea maovu pia lawama ni kwa wote, ila kwa kauli zake za sasa, maneno na matendo, ya sasa, ameonyesha kwa kauli na matendo yenye uthibitisho tosha na ushahidi usiotia shaka kuwa japo she was part and parcel ya awamu iliyopita, she was just silent kutimiza takwa la a collective responsibility but she was not supporting maovu yale na kulithibitisha hili, now on the drivers seat, in full control amebadili mwelekeo kwa kuwaza, kusema na kutenda tofauti.
Paskali
Rejea za Psychoanalysis za mwandishi huyu
- Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!”
- Psychoanalysis Trends za Viongozi Wetu, Humbleness ya Rais Samia ni Bonafide Genuine, ni asili yake, ni nature yake, ndivyo alivyo, Ila...
- Psychoanalysis: Superiority Complex ni Dalili ya Inferiority Complex!. Maneno Mafupi Vitendo Virefu.
- Psychoanalysis ya Waomba Msamaha Kwa Rais, Makamba Snr is the Next, Membe Will Never for Pride, Kiburi na Jeuri, Kinana Will Never for Integrity
- Psychoanalysis: Je, wajua dress code ya mtu ina represent the soundness of his mind?
- This man is either a sadist or alimuua kibaka, akanywa bia kusherehekea?
- Character Assassination ni Modus Oparandi ya Madikiteta Katili Wote Duniani!
Sheria zetu zinaruhusu hili?Huu uwezo wa kutumia macho na kusikiliza sauti ya ndani yako, ndio uwezo nilio shauri majaji wetu wawe nao ili kuwatendea haki Watanzania.
Imemshinda wapi? Huoni namna mh Rais wetu alivyofanya kazi kubwa katika kuleta matumaini na Iman kubwa waliyonayo watanzania kwake, kwa Sasa watanzania wanajiona wanayo Nafasi katika kuijenga nchi yao, wanajiona Ni sehemu ya maendeleo yanayopatikana hapa nchini na wanaona Ni yao na wanapaswa kujivunia, hii yote ni kutokana na mh Rais wetu kujenga umoja wa kitaifa na mshikamano wetu watanzaniaNchi imemshinda unajua hilo.
Hadi sasa sijapenda Kiongozi wowote wa Tanzania. Na usiwasulubu watu waliokuwa wanampenda Magufuli wana haki sawa kama wewe unavyopenda Samia. Mimi napenda maendeleo kwa wote na siyo maneno, ahadi na michakato.Kumbe ulimpenda yule aliyekuwa anapora fedha watu hadharani.
Huyu wa sasa ndio sifuri kabisa mambo hayaendi maisha magumuJiwe ndio Nchi ilimshinda akabakia kuteka watu na kuwapa kesi, Rais wa Sasa Ni mchamungu na muwazi kwa kila kitu kwenye serikali yake,
Ni matahila tu na misukule ya bwana yule ndio inampinga na kumtukana Rais
Utakuta mwisho mwezi unasubiri ka mshahara ka milioni tano.fanya kazi bibie,awamu hii fursa kibao tofauti na kipindi kile Cha mtu wenu, sasaivi hakuna kusumbuliwa hovyo na TRA wala task force za kihuni,
We endelea kumchukia Samia Kama kutakuletea ugali wa kula na mumeo, na 2030 anapita Tena kumalizia ingwe yake, hakuna wakumuangusha ndani ya chama Wala nje ya chama,
Kelele za nyinyi mazuzu ya marehemu hayatushughulishi sisi,
We endelea kuwaza hile awamu ya kupora watu fedha zao,
Wewe ni maskini wa mawazo na akili bado nikipofu japo unadhani unaona.Imemshinda wapi? Huoni namna mh Rais wetu alivyofanya kazi kubwa katika kuleta matumaini na Iman kubwa waliyonayo watanzania kwake, kwa Sasa watanzania wanajiona wanayo Nafasi katika kuijenga nchi yao, wanajiona Ni sehemu ya maendeleo yanayopatikana hapa nchini na wanaona Ni yao na wanapaswa kujivunia, hii yote ni kutokana na mh Rais wetu kujenga umoja wa kitaifa na mshikamano wetu watanzania
Wanabodi,
Mimi ni mtu wa mastori mastori hivyo kama wewe sio mtu unaependa mastori mastori just jump this.
Self Proclaimed Psychoanalysis Teacher wa Jf
Naomba nisikutajie majibu yake, ila na mimi naomba kujiita humu Jf ni mwalimu wa somo liitwalo Psychoanalysis na nawaomba mnikubalie na msiniulize nimepewa na nani?!
Psychoanalysis ni Nini?
Kwa wale tunao endelea tuanze na Psychoanalysis ni nini na ya kazi gani au inasaidia nini?.
Psychoanalysis ya macho huwa yanasema kila kitu!
Jicho la binadamu linafanya kazi kama kamera na kutunza kumbukumbu kwenye retina yake. Nchi za wenzetu walioendelea wana mpaka uwezo wa ku print kumbukumbu za mwisho kwenye jicho la marehemu aliona nini mara ya mwisho hivyo kupata clue ya kilichosababisha mauaji yake!
Macho huwa yanasema kila kitu. Mimi na dada yangu mkubwa Maria (RIP) baada ya baba yetu Mzee Andrew Mayalla (RIP) kuhusishwa kwenye ile kesi ya mauaji Mwanza ya 1976, tulichukuliwa na baba yetu mdogo Mzee Mathew Kasanga na kulelewa nyumbani kwake, hivyo mimi nimepata malezi ya mama wa kiganda, Norah Katusabe Kasanga, mke wa Mzee Kasanga. Hivyo ni miongoni mwa watanzania wachache wanao wajua vizuri waganda, kitu ambacho ni plus katika lile jambo langu lile! Ukijumlisha ujana kuwa mchumba wa kikenya na baadae wa kinyarwanda ndio usiseme!
Mastory ya Kubaini Mhalifu kwa Kutumia Macho!
Jinsi ya kumbaini mhalifu kwa kumwangalia machoni tuu.
Macho yameumbwa na aibu, hivyo likitokea tukio namtazama mmoja mmoja kwa kumkazia macho, mtu ambaye hakusiki macho yake yatakuwa steady, nikifika kwa mhusika, lazima macho yatacheza cheza na hapo hapo namdakua na kumkazimisha kukiri, hii ikapelekea mimi kuitwa inspector.
Uwezo huu wa kumtazama tuu mtu machoni na kumbaini mkweli na muongo ni tool muhimu kwenye kubaini haki, niliwahi kushauri hata majaji wetu na mahakimu wetu wafunzwe technic hii ya kuwa na jicho la kuibaini haki, kuna circumstances mtu unakutwa kwenye tukio la mauaji with all circumstantial evidence pointing to you, kama Jaji hana jicho la kubaini haki, mtu huyu atahukumiwa kunyongwa na anaweza kunyongwa bila hatia
Naangalia possibility ya kupata course materials nim-convince Mtendaji Mkuu wa Mahakama Prof. Elisante Ole Gabriel, ili tuwapige msasa majaji na mahakimu wetu semina ya Jung Psychology. Itawasaidia sana kutenda haki kwenye mhimili wa mahakama kama nilivyo shauri hapa Ukosekanaji wa Haki kwenye Mhimili wa Mahakama, kunaweza kuwa kunachangiwa na Majaji/Mahakimu wenye uwezo mdogo kubaini haki?
Mambo maovu mabaya ya awamu ya 5.
Hakuna ubishi kuhusu kutokea kwa matukio maovu wakati wa awamu ya 5, yakiwemo ya miili yenye majeraha kuokutwa ikielea kwenye viroba, kupotea kwa baadhi ya watu, kwa mtindo wa vanishing into thin air kama alivyopotea mwenzetu humu Ben Saanane na mwanahabari Azory Gwanda na tukio kubwa kabisa ni kuibuka kwa kundi linaloitwa "wasiojulikana" na kushambuliwa kwa Tundu Lissu mchana kweupe kwenye eneo la makazi ya viongozi lenye ulinzi mkubwa.
Matukio yote haya yanahusishwa na serikali ya awamu ya 5. Siwezi kusema kama ni kweli serikali ilihusika au la, ila Tanzania tunao watu wenye uwezo wa kuwabaini wasiojulikana hawa, na wakajitolea kuisaidia serikali yao, kama hapa Serious Media inaweza kuwabaini "wasiojulikana" Deo Masakilija na hapa WanaJF, Je tuisaidie Serikali yetu inaposhindwa au tusubiri ishindwe, tuibeze na kuizomea kuwa haiwezi? lakini serikali haikuonyesha any positive response ya kuuhitaji msaada huu, hivyo kuhesabiwa...
Wakati yote hayo yakitokea, Rais wa sasa Samia Suhuhu Hassan ndio alikuwa VP, hivyo kuna watu wanamlaumu na kumshutumu kuwa na yeye ni mhusika wa matukio hayo, na ndio maana sasa nawafundisha watanzania wenzangu hili somo la kuyatumia macho ya mtu, na kubaini uhusika wake katika tukio fulani la uhalifu, hivyo mtuhumiwa wetu huyu jee alihusika na uhalifu huu?
Sasa kuna hoja hii imeletwa humu Rais Samia amejaa hofu ya Mungu, ndiyo maana unaona akihubiri haki
Japo sisi wana Jf as wana Jf we all equal, ila hatulingani! Kuna wana Jf wa kila aina na hadhi tofauti tofauti na tuna command Jf respect ki tofauti tofauti, hivyo hoja ikiletwa au kuchangiwa na wana Jf wanao command much respect na high respect sio ya kupuuzwa, hivyo miongoni mwa walio changia uzi huu ni mwana Jf huyu anaye command much respect
Hivyo hapa ni kumhusisha Samia na yaĺiyotokea awamu ya 5, hivyo mimi nami ni miongoni mwa tulio changia
Mkuu Mag3, japo aliyeulizwa si mimi ila kwa vile baadhi ya majibu ninayajua, naomba kuchangia
She was not the big boss, naamini unaijua kanuni ya the collective responsibility kwenye utawala husika, hata kama hukubaliani unakaa kimya.
Naamini uliwahi kuisikia ile tetesi ya yule dada wa taifa kumhusu huyu mama, naomba mimi nisiseme it was true kwasababu its not for me to say, natumia kanuni ya uadilifu wa mke wa Kaizari, just tetesi is enough!
Yes angeendelea
She was not the boss then, she is the boss now anakemea
Atakuwa alihoji ila vitu vya ndani havitoki nje. One thing for sure is though alikuwa sehemu ya utawala ule but she was not a part to it, macho aliyomtazama Lissu pale Nairobi hospital speaks everything.
Amini nakuambia kuna vitu vinafanyika behind your back na wewe huvijui kwasababu you were kept in the dark.
Je, unajua ile kabla ya March 17, she was on the dark on what was going on.
She was not the boss then, alikuwa anakemea ndani kwa ndani na Mungu anasikia, kwani kuna mtu yoyote anayejua ni kwanini Mungu alifanya vile?.Vitu vingine acheni.
Mpaka sasa hakuna uthibitisho wowote kama wasiojulikana wale ni wasiojulikana kweli au ni 'wasiojulikana' tuu, as long as sasa hawapo, ni jambo la kushumuru Mungu.
Hili nimeisha kujibu tangu mwanzo ila kwa sababu hapa nachangia tuu na aliyeulizwa atakujibu pia.
Maadam sasa ni yeye, tunamuona tunamshuhudia akisema na akitenda tofauti, naomba tuwe watu wa shukrani kwa haya, badala ya kuendelea kulalamika na kulaumu yaliyopita, tuwe appreciative kwa haya tunamshukuru sana Mungu kwa mtu huyu.
Sasa ndio naomba niwapeleke kwenye somo la kujifunza kusoma body language na kubaini uhusika wa mtu katika tukio kwa kuangalia macho
Kwanza angalia hizi picha na video, concentration yako ikiwa ni macho.
View attachment 2341546View attachment 2341547View attachment 2341549View attachment 2341553View attachment 2341545View attachment 2341556
Google Image Result for https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2017/11/lissu.jpg
Sasa twende Ubelgiji
Hatua ya pili ni uyatazame macho ya Samia anavyo mwangalia Lissu, halafu ujiulize ndani ya moyo wako je, mtu huyu anayeongea na Lissu kwa upendo hivi, anaweza kweli akawa ni mhusika wa tukio hili? Sauti ndani ya moyo wako itakueleza. Hicho unachoelezwa ndio ukweli wenyewe.
Huu uwezo wa kutumia macho na kusikiliza sauti ya ndani yako, ndio uwezo nilio shauri majaji wetu wawe nao ili kuwatendea haki Watanzania.
Hitimisho
Nasisitiza Rais Samia sio malaika ni binadamu, na kwa sisi binadamu, no one is perfect, anaweza kutenda makosa, hivyo akitenda makosa ahukumiwe kwa mawazo yake, maneno yake na matendo yake ya sasa akiwa ni Rais wa JMT na sio kuendelea kumlaumu na kumshutumu na kumkosoa kwa kile ambacho kilitokea awamu iliyopita ambayo japo she was also a part and parcel, kwasababu mtindo wetu wa uongozi ni wa a collective responsibility.
Serikali ikifanya mazuri ni wote, na kukitokea maovu pia lawama ni kwa wote, ila kwa kauli zake za sasa, maneno na matendo, ya sasa, ameonyesha kwa kauli na matendo yenye uthibitisho tosha na ushahidi usiotia shaka kuwa japo she was part and parcel ya awamu iliyopita, she was just silent kutimiza takwa la a collective responsibility but she was not supporting maovu yale na kulithibitisha hili, now on the drivers seat, in full control amebadili mwelekeo kwa kuwaza, kusema na kutenda tofauti.
Paskali
Rejea za Psychoanalysis za mwandishi huyu
- Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!”
- Psychoanalysis Trends za Viongozi Wetu, Humbleness ya Rais Samia ni Bonafide Genuine, ni asili yake, ni nature yake, ndivyo alivyo, Ila...
- Psychoanalysis: Superiority Complex ni Dalili ya Inferiority Complex!. Maneno Mafupi Vitendo Virefu.
- Psychoanalysis ya Waomba Msamaha Kwa Rais, Makamba Snr is the Next, Membe Will Never for Pride, Kiburi na Jeuri, Kinana Will Never for Integrity
- Psychoanalysis: Je, wajua dress code ya mtu ina represent the soundness of his mind?
- This man is either a sadist or alimuua kibaka, akanywa bia kusherehekea?
- Character Assassination ni Modus Oparandi ya Madikiteta Katili Wote Duniani!
Duh, milion Tano au laki tano mkuu? Fanya editing umeniweka parefu mzee baba!Utakuta mwisho mwezi unasubiri ka mshahara ka milioni tano.