Walnut Creek
JF-Expert Member
- Mar 17, 2009
- 5,830
- 6,315
Laki 5? halafu unatetea CCM.Duh, milion Tano au laki tano mkuu? Fanya editing umeniweka parefu mzee baba!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Laki 5? halafu unatetea CCM.Duh, milion Tano au laki tano mkuu? Fanya editing umeniweka parefu mzee baba!
Sitetei Ccm,Bali penye mazuri ya Samia lazima apongezweLaki 5? halafu unatetea CCM.
Kusema kweli wewe ni mtukufu mzalendo.Sitetei Ccm,Bali penye mazuri ya Samia lazima apongezwe
Serikali ikifanya mazuri ni wote, na kukitokea maovu pia lawama ni kwa wote, ila kwa kauli zake za sasa, maneno na matendo, ya sasa, ameonyesha kwa kauli na matendo yenye uthibitisho tosha na ushahidi usiotia shaka kuwa japo she was part and parcel ya awamu iliyopita, she was just silent kutimiza takwa la a collective responsibility but she was not supporting maovu yale na kulithibitisha hili, now on the drivers seat, in full control amebadili mwelekeo kwa kuwaza, kusema na kutenda tofauti.
Paskali
Mhusika mkuu wa hayo, kesha hukumiwa, naendelea kusisitiza, Tum-judge Rais Samia kwa mawazo, maneno, na matendo yake ya sasa akiwa ni Rais wa JMT na siyo kwa alivyokuwa VP!abarikiwe huku walipora uchaguz na yeye amekalia hicho kitu kwa matunda ya wiz wa kura labda kama hizo baraka huwa zinakuja kwa majiz ya kura na mauwaji sawa.
As days goes by, Rais Samia anazidi kuthibitisha, although she was there kwenye awamu iliyopita na anahusika na yote yaliyotokea kwa mujibu wa kanuni ya a collective responsibility lakini in reality she was not the part to it from her heart ndio maana sasa anapindua meza na kuzidi kuliponya taifa.Wanabodi,
kwa kauli zake za sasa, maneno na matendo, ya sasa Samia, ameonyesha kwa kauli na matendo yenye uthibitisho tosha na ushahidi usiotia shaka kuwa japo she was part and parcel ya awamu iliyopita, she was just silent kutimiza takwa la a collective responsibility but she was not supporting maovu yale na kulithibitisha hili, now on the drivers seat, in full control amebadili mwelekeo kwa kuwaza, kusema na kutenda tofauti.
Paskali
Naunga mkono hoja 100%lakini in reality she was not the part to it from her heart ndio maana sasa anapindua meza na kuzidi kuliponya taifa.
Big up sana Mama.
P
.
Serikali ikifanya mazuri ni wote, na kukitokea maovu pia lawama ni kwa wote, ila kwa kauli zake za sasa, maneno na matendo, yake ya sasa, ameonyesha kwa kauli na matendo yenye uthibitisho tosha na ushahidi usiotia shaka kuwa japo she was part and parcel ya awamu iliyopita, she was just silent kutimiza takwa la a collective responsibility but she was not supporting maovu yale na kulithibitisha hili, now on the drivers seat, in full control amebadili mwelekeo kwa kuwaza, kusema na kutenda tofauti.
Paskali