Tuma Salaam Kwa Watu Watatu

Natuma salamu kwa:-
1.mfetere
2.Taste-tester
3.nur
Ujumbe: Be a good person but never waste time to prove it!
 
Natuma salamu kwa;

1. Think Again
2. Think Again
3. The Book

Line imeachiwa
 
Namtumia salam Majoto akiwa amelala
Namtumia tena huyo Majoto akiwa amesimama
halafu namtumia tena akiwa amechuchumaa..... Ujumbe...raha jipe mwenyewe!
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Na mm nipo hapo
 
Kutoka virunga nchini Congo napenda nimtumie salama zangu za dhati Rafiki yangu JPM, salam zangu za pili ziende kwa mshana Jr akiwa pale shamba la wachawi chato, tatu na mwisho ziende kwa lara1 kubwa la maadui Ujumbe ukiona vyaelea jua vimeumbwa. Naachia laini
 
We utakuwa ushavuta mpunga nadhani..Mbona zamani ulikuwa mjumbe mzuri tu
Mume wangu jamani nisamehe, mie ndio wako wa kufa na kuzikana.
Kweli aisee..Yani sijui kwann sisi wanaume tulio tulia uwa tunapata wake wenye mambo mengi...
Mume wangu jamani nisamehe, mie ndio wako wa kufa na kuzikana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…