Isike Moses
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 2,789
- 4,245
Zimefika mkuuPopote walipo salamu ziwafikie
1. Venossah
2. Stunter
3. Mshana
Pamoja sana mkuuZimefika mkuu
haah aaahaa tuma tena kwa watu watatuSalamu zangu ziende kwa 1. Mtu aliyetoa wazo la kununua bombadia 2. Mtu aliye chora wale twiga katika bombadia 3. Kwa Profesa wa uchumi anayelala ofisi ya chama buguruni....
Ujumbe: Utamu wa asali siyo uzuri wa ua bali ufundi wa nyuki....
Naachia line...
Sinaga hasira mie namzungumzia huyo mlioachana naeHahaaaa!!! Kwani bado una hasira!
Duh ! naona magamba yanavuliwa hadharani hapa yaani ni sawa na kusema fanya ujinga nilete upumbavu!Kwani uongo? Si ulichepuka wewe!
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] namuwahi baby wangu.
Oooh kumbe ana hasira!! Sasa hasira ya nini?Sinaga hasira mie namzungumzia huyo mlioachana nae
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Duh ! naona magamba yanavuliwa hadharani hapa yaani ni sawa na kusema fanya ujinga nilete upumbavu!
duhhhKutoka virunga nchini Congo napenda nimtumie salama zangu za dhati Rafiki yangu JPM, salam zangu za pili ziende kwa mshana Jr akiwa pale shamba la wachawi chato, tatu na mwisho ziende kwa lara1 kubwa la maadui Ujumbe ukiona vyaelea jua vimeumbwa. Naachia laini
Mbona watoka nduki bibie?[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Mbona watoka nduki bibie?
Mweeeeh!usiku mwema ngoja kwanza nimpikie baby wanguOooh kumbe ana hasira!! Sasa hasira ya nini?
Haya pika mama.Mweeeeh!usiku mwema ngoja kwanza nimpikie baby wangu
Ila poa mmefumaniana na kumwagana hadhalal watu kila mtu kachukua ustaarabu wake uzuri kila mtu kapata pa kutua kila la kheri[emoji3] [emoji3] [emoji3]
huhuhuhuuuuuuu am back with the same smile bbyto. am happy you around making my world very small and happiest ever.Eyoo eyooo
STUNTER Hapa All the Way From Duniani...
Natuma salamu Kwa Mahabuba Wangu Muhibu Tabibu Wa yanayonisibu Kipenzi changu jje's
-Salamu zingine nazirudisha kwa ninja langu jerrysonkiria
Alafu zamwisho Ziende kwa masela na Masistaduu wote Wa humu Mjengoni..
UJUMBE
Nimeusahau...
Yaani Wewe ni Mchizi wangu, Mshkaji wangu, Best, rafiki, Mpenzi, mke, Mshauri , msaidizi, yani babe una-full package ndomana hata sitamani mwenginehuhuhuhuuuuuuu am back with the same smile bbyto. am happy you around making my world very small and happiest ever.
i love you every second honeyYaani Wewe ni Mchizi wangu, Mshkaji wangu, Best, rafiki, Mpenzi, mke, Mshauri , msaidizi, yani babe una-full package ndomana hata sitamani mwengine