Tuma Salaam Kwa Watu Watatu

Tuma Salaam Kwa Watu Watatu

Salamu zangu ziende kwa 1. Mtu aliyetoa wazo la kununua bombadia 2. Mtu aliye chora wale twiga katika bombadia 3. Kwa Profesa wa uchumi anayelala ofisi ya chama buguruni....

Ujumbe: Utamu wa asali siyo uzuri wa ua bali ufundi wa nyuki....

Naachia line...
 
haah aaahaa tuma tena kwa watu watatu
 
Kwani uongo? Si ulichepuka wewe!
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] namuwahi baby wangu.
Duh ! naona magamba yanavuliwa hadharani hapa yaani ni sawa na kusema fanya ujinga nilete upumbavu!
 
Kutoka virunga nchini Congo napenda nimtumie salama zangu za dhati Rafiki yangu JPM, salam zangu za pili ziende kwa mshana Jr akiwa pale shamba la wachawi chato, tatu na mwisho ziende kwa lara1 kubwa la maadui Ujumbe ukiona vyaelea jua vimeumbwa. Naachia laini
duhhh
 
Eyoo eyooo
STUNTER Hapa All the Way From Duniani...
Natuma salamu Kwa Mahabuba Wangu Muhibu Tabibu Wa yanayonisibu Kipenzi changu jje's
-Salamu zingine nazirudisha kwa ninja langu jerrysonkiria
Alafu zamwisho Ziende kwa masela na Masistaduu wote Wa humu Mjengoni..
UJUMBE
Nimeusahau...
huhuhuhuuuuuuu am back with the same smile bbyto. am happy you around making my world very small and happiest ever.
 
huhuhuhuuuuuuu am back with the same smile bbyto. am happy you around making my world very small and happiest ever.
Yaani Wewe ni Mchizi wangu, Mshkaji wangu, Best, rafiki, Mpenzi, mke, Mshauri , msaidizi, yani babe una-full package ndomana hata sitamani mwengine
 
Yaani Wewe ni Mchizi wangu, Mshkaji wangu, Best, rafiki, Mpenzi, mke, Mshauri , msaidizi, yani babe una-full package ndomana hata sitamani mwengine
i love you every second honey
 
Back
Top Bottom