Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekumiss mno 😘 ila mambo mengi babe! Nitapita kule baadaye...Umemisika wakishua
Pamoja sana mamyloo leo nipo mbaudaniAhsante arifu. Salamu pia zikufikie hapo 8 8 [emoji41]
Nimependa ubunifu pia nimecheka sana bro haswa hapo kwa Arturo [emoji3]
Salamu zimefika nashukuru sana bro, nakusalimu pia
Huu ubunifu ni next level hakii the professor salamu zangu mingi mingi zikufikie ulipo [emoji8]
lisbon
[emoji12][emoji12]Kuwa mswahili tu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] shemeji ndio nini hii unamfanyia mdogo wangu lakini?Nilishawahi kukutaja kwenye uzi fulani hivi hukuja,naogopa kuchuniwa mara mbili
Mie pia ni binaadamu nina moyo ujue,nikiliwa buyu naumia
mimi wewe yule wale na wao piaNatumai hamjambo wanajamvi.
Wakuu kupitia uzi huu, kila mmoja wetu awatumie salam watu 5 awapendao hapa ndani, mi naanza kama ifuatavyo:
Salam za kwanza nazipeleka kwa KATOTO KAZURI, ujumbe: "mi napenda sana kusoma post zako na unapomaliza siku nyingi bila kupost hua nazimiss sana post zako"
Za pili ziende kwa NOELIA, ujumbe: "napenda sana kusoma & ku-reply comment zako"
Za tatu ziende kwa CHAKORII, ujumbe: "kupitia imagination naamini we ni waifu matirio unaestahili kuishi katika pango la moyo wangu sema ni vile tayari nina mke"
Za nne ziende kwa YNA2, ujumbe: "kupitia comment zako huamin we ni binti mpole sana japo bihaindi ze sini sijui kama upo hivo"
Za mwisho ziende kwa wana EM EM YU wote, ujumbe: "tuidumishe MMU coz ndo jukwaa linalotusaidia sana kujifunza na kutatua changamoto za mahusiano &ndoa zetu"
Haya karibuni nanyi mtiririshe salam zenu kwa wapendwa wenu.
Kwa hiyo umeamua kutumia code ili tusilalamike hatujatajwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] daahBogota
Denver
Arturo Roman
Nairobi
Alison
Moscow
Marsellasella
Berlin
Mornica
Lisbon
Tokyo
Gandia
Rio
Amanda
Berlin
Martin Barrote
Alicia
“When someone is in love, they look through rose-tinted glasses. Everything’s wonderful. They transform into a soft teddy bear that’s smiling all the time.”
“In this world, everything is governed by balance. There’s what you stand to gain and what you stand to lose. And when you think you’ve got nothing to lose, you become overconfident.”
“Weakness is not in us, it is what we have outside.”
“In the end, one cares about many things, and we should not give so much importance to things.”
The Professor
Kumbe ni wewe
Daah hivi kwa nini sikuiona hii, ahsante babe [emoji7][emoji7] Ila ujumbe sijaelewaNawasalimu wafuatao,
1. My babe Khantwe
2. My bro Ushimen
3. My dear kada Drone Camera
4. My shost cocastic
5. My rafiki amu
Ujumbe; Zimwi likujualo halikuli ukaisha,
[emoji23][emoji23][emoji23]
Katwe ndio nini na wewe mbona unakuwa kama mjinga wakati nakuaminia we kipanga wanguNimimi katwe
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] shemeji ndio nini hii unamfanyia mdogo wangu lakini?
Ohoo, ungesema sasakwa mujibu wa tafsiri ya jina lako kwetu tunaita katwe, so ni mnyambulisho wa maneno tu
btw im sorry kama imekuchefua nilimaanisha khantwe..
ulivyoniita kuna mtu ndio anapenda kuniita hvo hadi nimemiss
Tabia yake sio nzuri kabisaDon Clericuzio dada anakuuliza