Tuma salamu kwa watu 5 uwapendao hapa

Tuma salamu kwa watu 5 uwapendao hapa

Nilishawahi kukutaja kwenye uzi fulani hivi hukuja,naogopa kuchuniwa mara mbili

Mie pia ni binaadamu nina moyo ujue,nikiliwa buyu naumia
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] shemeji ndio nini hii unamfanyia mdogo wangu lakini?
 
Natumai hamjambo wanajamvi.

Wakuu kupitia uzi huu, kila mmoja wetu awatumie salam watu 5 awapendao hapa ndani, mi naanza kama ifuatavyo:

Salam za kwanza nazipeleka kwa KATOTO KAZURI, ujumbe: "mi napenda sana kusoma post zako na unapomaliza siku nyingi bila kupost hua nazimiss sana post zako"

Za pili ziende kwa NOELIA, ujumbe: "napenda sana kusoma & ku-reply comment zako"

Za tatu ziende kwa CHAKORII, ujumbe: "kupitia imagination naamini we ni waifu matirio unaestahili kuishi katika pango la moyo wangu sema ni vile tayari nina mke"

Za nne ziende kwa YNA2, ujumbe: "kupitia comment zako huamin we ni binti mpole sana japo bihaindi ze sini sijui kama upo hivo"

Za mwisho ziende kwa wana EM EM YU wote, ujumbe: "tuidumishe MMU coz ndo jukwaa linalotusaidia sana kujifunza na kutatua changamoto za mahusiano &ndoa zetu"

Haya karibuni nanyi mtiririshe salam zenu kwa wapendwa wenu.
mimi wewe yule wale na wao pia
 
Bogota

Denver

Arturo Roman

Nairobi

Alison

Moscow

Marsellasella

Berlin

Mornica

Lisbon

Tokyo

Gandia

Rio

Amanda

Berlin

Martin Barrote

Alicia


“When someone is in love, they look through rose-tinted glasses. Everything’s wonderful. They transform into a soft teddy bear that’s smiling all the time.”

“In this world, everything is governed by balance. There’s what you stand to gain and what you stand to lose. And when you think you’ve got nothing to lose, you become overconfident.”


“Weakness is not in us, it is what we have outside.”


“In the end, one cares about many things, and we should not give so much importance to things.”



The Professor
Kwa hiyo umeamua kutumia code ili tusilalamike hatujatajwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] daah
 
kwa mujibu wa tafsiri ya jina lako kwetu tunaita katwe, so ni mnyambulisho wa maneno tu
btw im sorry kama imekuchefua nilimaanisha khantwe..
ulivyoniita kuna mtu ndio anapenda kuniita hvo hadi nimemiss
Ohoo, ungesema sasa
 
Napenda kutuma salamu kwa Baba yangu aliye Nchi sa Nje Mlogolo
Nalog off
 
Back
Top Bottom