Tuma salamu kwa watu 5 uwapendao hapa

Shukran saana Shadeeya, kweli hujachelewa ngoja nianze kujisogeza pande hizo maana najua kuchinja ni ndani ya masiku matatu baada ya siku kuu, sina shaka kichinjwa kitakuwepoπŸ˜€πŸ€£
 
Acha kutupanga, hamna mwanamke wa nyakanazi anaejua blowjob. Labda kama ana blow upepo kuchochea kuni mchome ndizi kwa ajili kifungua kinywa asubuhi
 
Jamaniiiiiiiih baaas ntaacha mapepeh dea, nakupenda pia moaaah [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
 
Natuma salam kwa
MK254, Tony254, Teargass, pingli-nywee and Kevin85ify
Ujumbe: mwaka huu lazima tuzae na nyie andaeni vyakula vya kuongeza maziwa machotara wetu wa kikenya msiwaue kwa utapiamlo.
Na kwa watanzania chawa kama Wyatt methewson, BAK, Kim Jong Jr, G Sam nk nawashauri punguzeni uchawa sisi kama nchi tunapoamua kupambania maslahi ya nchi. Usnitch haulipi.
Na mwisho kabisa ni kwa dada zetu ndani ya Jf, tunashindwa kuelewa mko upande gani kwenye ugomvi wetu na wakenya. Hua hamchangii kabisa linapotokea tifu na mshikemshike dhidi ya wakenya. Tunaomba muache hii tabia ya kutoguswa kaka zenu tunapokuwa tunawashikisha adabu. Mjue kabisa mnapotunyima support siku maji yakizidi unga nyie na wapwa zetu ndo waathirika wakuu, mtabaki mnahangaika wakati sisi hatupo. Shauri yenu
 
Ahsante sana swahiba,dah!kumbe uwa unapita pita kule jukwaa la wale wajivuni
 

Inapendeza sana kichaa wangu... chukua gwala...
Pamoko sana...

Ila sema nini, wangeweka option ya kutoa reaction zaidi ya moja kwa wakati huo huo...


Cc: mahondaw
 
Salamu imetulia hii. Tamu kama pilau ya Eid. Shukrani sana best. Weekend iwe njema kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…