Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hahahaaa. Napika vingine bana Mtani vile viliisha.Nije kula viporo
#Shushumubashara. Lol
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaa. Napika vingine bana Mtani vile viliisha.Nije kula viporo
😂😂😂 Ila kajua kunishushua bana. lolKula tu havidhuru hivyo🤣🤣
Shukran saana Shadeeya, kweli hujachelewa ngoja nianze kujisogeza pande hizo maana najua kuchinja ni ndani ya masiku matatu baada ya siku kuu, sina shaka kichinjwa kitakuwepo😀🤣Lol. Nimekumbuka mambo ya redio Tanzania.
1. Mzee mwenzangu Sesten Zakazaka akiwa kule Siasani.
2. Rafiki wa mie Numbisa akiwa kule wanakokulaga likes.
3. Kaka yangu DellaPina akiwa humu humu.
4. Swahiba Mgagaa na Upwa akiwa kule kwenye Battle la Tanzania na Kenya.
5. Mdogo wa mie ukhuty huyu akiwa huko kunakomfanya awe adimu siku hizi bila kumsahau Rafiki mahondaw akiwa na shem Smart911.
Ujumbe:- Najua sijachelewa karibuni sana huku madongo kuinama tuimalizie sikukuu wandugu. 🙏 Karibuni mnoo. 🙏
Ewaaaa!!!Shukran saana Shadeeya, kweli hujachelewa ngoja nianze kujisogeza pande hizo maana najua kuchinja ni ndani ya masiku matatu baada ya siku kuu, sina shaka kichinjwa kitakuwepo😀🤣
Acha kutupanga, hamna mwanamke wa nyakanazi anaejua blowjob. Labda kama ana blow upepo kuchochea kuni mchome ndizi kwa ajili kifungua kinywa asubuhiWa kwanza kabisa ni mimi mwenyewe mfukua makaburi
Salamu zangu za pili zimfikie Field Marshal Mfukua Makaburi akiwa Nyakanazi, njia panda ya kigoma.
Salamu zangu za tatu na za mwisho zimfikie si mwingine bali mtakatifu mfukua makaburi muda huu akiwa na mpenzi wake mtoto mzuri mrefu aliebarikiwa mwili mzuri Grace akiwa anampa blow job. Hakika wanawake wengine wameumbwa ila Grace amebarikiwa.
Jamaniiiiiiiih baaas ntaacha mapepeh dea, nakupenda pia moaaah [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]Salamu zangu za Kwanza zimfikie
Smart911 a.k.a brazaaa [emoji23] nakukubali Sana mwamba kula gwala kwaza[emoji109]
Za pili zimfikie Makiseo nakupendaga Sana mdada.. ujumbe ubaki hapo hapo kwenye kutoa likes.
Za tatu zimfikie Depal kipenzi changu Cha ukorofi.. ujumbe Nakupenda tu ivyo ivyo nifanyeje sasa.
Za nne zimfikie cocastic ..ujumbe mfyuuuu Nakupenda ovyoo..punguza mapepe.
Za tano zimfikie Mjep mchizi wanguuuu..ujumbe acha uchoyo kwenye vitamu hatualikani Ila poa tu.
Ovaaaa
😃😃😃😃usipate shida sis na mimi nimejitahidi kumkata jirani yako Mtoto halali na hela stimu😂😂
Yaani mimi ni namba nne? Kweli???
Ahsante sana swahiba,dah!kumbe uwa unapita pita kule jukwaa la wale wajivuniLol. Nimekumbuka mambo ya redio Tanzania.
1. Mzee mwenzangu Sesten Zakazaka akiwa kule Siasani.
2. Rafiki wa mie Numbisa akiwa kule wanakokulaga likes.
3. Kaka yangu DellaPina akiwa humu humu.
4. Swahiba Mgagaa na Upwa akiwa kule kwenye Battle la Tanzania na Kenya.
5. Mdogo wa mie ukhuty huyu akiwa huko kunakomfanya awe adimu siku hizi bila kumsahau Rafiki mahondaw akiwa na shem Smart911.
Ujumbe:- Najua sijachelewa karibuni sana huku madongo kuinama tuimalizie sikukuu wandugu. 🙏 Karibuni mnoo. 🙏
Awww1- Shadeeya
2- Depal
3- Chakorii
4- Khantwe
5- madam cute
Ujumbe muache uchoyo wa kutoalika watu sikukuu
Tanteeeeeeeeeeh shostieeeeeeeh lop u moaaaah [emoji7][emoji7][emoji7]Nawasalimu wafuatao,
1. My babe Khantwe
2. My bro Ushimen
3. My dear kada Drone Camera
4. My shost cocastic
5. My rafiki amu
Ujumbe; Zimwi likujualo halikuli ukaisha,
[emoji23][emoji23][emoji23]
Jamani babe! Me mbona niko mpole mnoo...Za tatu zimfikie @Depal kipenzi changu Cha ukorofi.. ujumbe Nakupenda tu ivyo ivyo nifanyeje sasa.
kwani wapo humu mkuu?
Salamu zangu za Kwanza zimfikie
Smart911 a.k.a brazaaa 😂 nakukubali Sana mwamba kula gwala kwaza👊
Za pili zimfikie Makiseo nakupendaga Sana mdada.. ujumbe ubaki hapo hapo kwenye kutoa likes.
Za tatu zimfikie Depal kipenzi changu Cha ukorofi.. ujumbe Nakupenda tu ivyo ivyo nifanyeje sasa.
Za nne zimfikie cocastic ..ujumbe mfyuuuu Nakupenda ovyoo..punguza mapepe.
Za tano zimfikie Mjep mchizi wanguuuu..ujumbe acha uchoyo kwenye vitamu hatualikani Ila poa tu.
Ovaaaa
Lol. Nimekumbuka mambo ya redio Tanzania.
1. Mzee mwenzangu Sesten Zakazaka akiwa kule Siasani.
2. Rafiki wa mie Numbisa akiwa kule wanakokulaga likes.
3. Kaka yangu DellaPina akiwa humu humu.
4. Swahiba Mgagaa na Upwa akiwa kule kwenye Battle la Tanzania na Kenya.
5. Mdogo wa mie ukhuty huyu akiwa huko kunakomfanya awe adimu siku hizi bila kumsahau Rafiki mahondaw akiwa na shem Smart911.
Ujumbe:- Najua sijachelewa karibuni sana huku madongo kuinama tuimalizie sikukuu wandugu. 🙏 Karibuni mnoo. 🙏
Huu ni wivu wa maendeleo babe...[emoji23][emoji23]Yaani mimi ni namba nne? Kweli???