Tuma salamu kwa watu 5 uwapendao hapa

Tuma salamu kwa watu 5 uwapendao hapa

In Kurian voice....

Eeee saramu zangu za kwanza zimfikie kurwa wangu bubie Joanah ujumbe atambue kuwa nampenda sana

Eeeh saramu zangu za piri, zimfikie popote aripo mrembo na kisura mtoto ariye barikiwa Goddess
Saramu zangu za tatu, ziwafikie wale hustlers wote kwenye ule uzi wa wanahisa tusio rasmi, ujumbe vipigo vimezidi lakini siku moja tutaboa.
Saramu zangu za tatu zimfikie popote alipo baharia Mbao za Mawe nasikia kawekwa ndani na jimama hata kuperuzi jf anashindwa.
Saramu zangu za mwisho zimfikie Sakayo popote alipo ajue bado sijamsamehe.
 
Naweza kuwa most connected person humu ila sipendi show off Kama za kina @khatwe demu baayaaa na @yn2
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwamba mimi napenda show off? Nashow nini sasa sina hata cha kushow off
 
Back
Top Bottom