Tuma salamu kwa watu 5 uwapendao hapa

Tuma salamu kwa watu 5 uwapendao hapa

Natumai hamjambo wanajamvi.

Wakuu kupitia uzi huu, kila mmoja wetu awatumie salam watu 5 awapendao hapa ndani, mi naanza kama ifuatavyo:

Salam za kwanza nazipeleka kwa KATOTO KAZURI, ujumbe: "mi napenda sana kusoma post zako na unapomaliza siku nyingi bila kupost hua nazimiss sana post zako"

Za pili ziende kwa NOELIA, ujumbe: "napenda sana kusoma & ku-reply comment zako"

Za tatu ziende kwa CHAKORII, ujumbe: "kupitia imagination naamini we ni waifu matirio unaestahili kuishi katika pango la moyo wangu sema ni vile tayari nina mke"

Za nne ziende kwa YNA2, ujumbe: "kupitia comment zako huamin we ni binti mpole sana japo bihaindi ze sini sijui kama upo hivo"

Za mwisho ziende kwa wana EM EM YU wote, ujumbe: "tuidumishe MMU coz ndo jukwaa linalotusaidia sana kujifunza na kutatua changamoto za mahusiano &ndoa zetu"

Haya karibuni nanyi mtiririshe salam zenu kwa wapendwa wenu.


Natuma salamu za rambi rambi pale zimfikie mwajuma ndelemaaaa😆😆😆😆😆
 
Nimemsamehe,siku hizi nasamehe haraka sana

Halafu nimekumiss,sijakuona siku nyingi dia sister
Basi ni vizuri. Nipo sana sema niko bush ndio maana muda wa kuingia humu ni mdogo
 
MLETA MADA ! tuna tumaje sasa? any way!!!...ngoja kidogo,

Mbali na Yuzazifu!!!
Natuma risalamu Lenye mashamshamu kutoka kwenye sakafu la Mooyo waangu, kwako weye Mpendwa wangu unayeanza kunisoma hapa, wewe ni role Model wangu, tembea popote kifua mbele, iko siku tutaonana, usijali. nime kumiss!! haijalishi hali uliyo nayo kiuchumi, kisiasa na kiutamaduni bali tukumbukane ktk sala na sadaka!

salamu langu la pili kwenye fungu la kwanza lenye jumla ya watu watano wataosoma hapa wote nawapa hi! ujumbe; ombea upate matatizo na jinsi ya kuyatatua, kwa kufanya hivi utagundua kipaji chako!

Salamu langu la pekee la tatu kwa mdada anaye fungua hili fungu la pili la watu watano kunisoma mimi Nyarusare! ujumbe nipende mimi kwa moyo wako wote, utafungua moyo wangu.

Nne watakao fuata woote kundi hili la tatu la mdada mpendwa, ujumbe tuzidi kupendana maisha ni matamu!

Tano na mwisho,zimwendee mwana jamii forum, kama unajua ni mwana JF sema ndiyo!....

watano tayari
 
Back
Top Bottom